Labda ungetuambia yy ana act vipi towards you? Is she always there ukimuhitaji? Je ni MTU wa ndio kwny kila kitu? Is she working? Je anajipendezesha kukupa excitment ? May b tunaeza shauri from thereThe Boss kwakwel kwa sasa sitajali sana kama nitagundua hayo,zaidi nitatumia nafasi hiyo ku move out..I cant just leave her man.Ukiacha tofauti za kawaida she is a good wife.Nkimwacha tu nitafeel guilty sana.
Mulhat Mpunga Nafikiri ni mimi nayehitaji kujirekebisha.Kuna mawazo ya msingi humu nitayafanyia kazi.Wasaalam.SASA TATIZO NI NINI KAMA NI GOODWIFE? NN KINAKUKERA MWELEZE AJIREKEBISHE UFURAHIE MAISHA
karibu sana boss hata yeye kama kuna anachokuudhi mweleze baba kile kinachokusumbuaMulhat Mpunga Nafikiri ni mimi nayehitaji kujirekebisha.Kuna mawazo ya msingi humu nitayafanyia kazi.Wasaalam.
Umeconclude vizuri sana daddy. Partners should not only love each other, but also they should "like each other". Marry your best friend. In reality, tunawatreat rafiki zetu vizuri zaidi kuliko partners wetu.
Mkitreatiana kama bff kuchokana sidhani kama kutakuwepo sana. Mtaheshimiana, mtapendana, hata mwenzio anapokosea utamcriticize with caution, utamjali, mtafanya utaahira wenu wote na mtacheka etc. Sijawahi kumchoka bff wangu, despite miaka mingi ya urafiki wetu. Partners ikiwa marafiki inasaidia sana kunogesha mahaba. Afu mke na mume kupendana tu haitoshi coz love ni changeable feeling, leo nakupenda sana , kesho nakupenda kidogo, kesho kutwa sijielewi, but urafiki upo tu siku zote. Ifike stage usiwaze kama nyumbani Nimemuacha mke/mume, ila waza Nimemuacha best friend angu. Ukipata ka habari, mume/mke ndo wa kwanza kujua. Have crazy moments together... tanianeni, pigeni kaumbea, bishaneni kuhusu mpira sijui, chezeni mziki etc. Kupigiana simu isiwe kwa sababu kuna matatizo nyumbani, pigianeni tu hata kutaniana "usirudi home leo, sijakumiss hata", unampa kaumbea yani mambo fresh hivi. Msiwe serious as if mnaishi mtu na mkwe wake akhaa
N:B hapo kwenye hobby/interest daddy nina allergy na mpira, maana nauonaga kama uke wenza hivi. Ila siku hizi najitahidi tu nipende, Maana nikiuchukia itakula tu kwangu teh,
Thanks doll.. I kinda miss you and your x-pozha lol...always on point girl!
very true dear, marry your best friend changamoto zipo ndio lakini kuishi na mume/ mke kama bff wako ni raha, wote mna common interests, partners in crime and hata likitokea tatizo ni rahisi kumu approach mwenzio.. hakuna mtu anayependa kumuumiza best friend wakeUmeconclude vizuri sana daddy. Partners should not only love each other, but also they should "like each other". Marry your best friend. In reality, tunawatreat rafiki zetu vizuri zaidi kuliko partners wetu.
Mkitreatiana kama bff kuchokana sidhani kama kutakuwepo sana. Mtaheshimiana, mtapendana, hata mwenzio anapokosea utamcriticize with caution, utamjali, mtafanya utaahira wenu wote na mtacheka etc. Sijawahi kumchoka bff wangu, despite miaka mingi ya urafiki wetu. Partners ikiwa marafiki inasaidia sana kunogesha mahaba. Afu mke na mume kupendana tu haitoshi coz love ni changeable feeling, leo nakupenda sana , kesho nakupenda kidogo, kesho kutwa sijielewi, but urafiki upo tu siku zote. Ifike stage usiwaze kama nyumbani Nimemuacha mke/mume, ila waza Nimemuacha best friend angu. Ukipata ka habari, mume/mke ndo wa kwanza kujua. Have crazy moments together... tanianeni, pigeni kaumbea, bishaneni kuhusu mpira sijui, chezeni mziki etc. Kupigiana simu isiwe kwa sababu kuna matatizo nyumbani, pigianeni tu hata kutaniana "usirudi home leo, sijakumiss hata", unampa kaumbea yani mambo fresh hivi. Msiwe serious as if mnaishi mtu na mkwe wake akhaa
N:B hapo kwenye hobby/interest daddy nina allergy na mpira, maana nauonaga kama uke wenza hivi. Ila siku hizi najitahidi tu nipende, Maana nikiuchukia itakula tu kwangu teh,
Kwani unamuacha, we mpe ruhusa akatembee kwao, itakusaidia kuona umuhim wake kwako! Sometimes tunachukulia vitu vingi for granted, visipokuwepo ndo tunajutia. Itakupa muda wa kufikiria vzr umuhim wake kwakoUna ndoa? Una watoto? Fikiria kuhusu watoto sio wewe na mpenzi wako, yaani niishi bila watoto wangu? Hahahaha
Hahaaa partners in crime indeed, mjikute sasa mmefumwa kwenye crime yenu tehvery true dear, marry your best friend changamoto zipo ndio lakini kuishi na mume/ mke kama bff wako ni raha, wote mna common interests, partner in crimes and hata likitokea tatizo ni rahisi kumu approach mwenzio.. hakuna mtu anayependa kumuumiza best friend wake
Labda ungetuambia yy ana act vipi towards you? Is she always there ukimuhitaji? Je ni MTU wa ndio kwny kila kitu? Is she working? Je anajipendezesha kukupa excitment ? May b tunaeza shauri from there
hahahaha pataaamu hapooHahaaa partners in crime indeed, mjikute sasa mmefumwa kwenye crime yenu teh
Umeongea kila kitu Douta..Mkiwa marafiki raha sana..Mnashare moments kibao pamoja kiasi kwamba hata mtu akiwa mbali anammiss mwenzake.. Sio mnakuwa kwenye ndoa kama mko kwenye chumba cha mtihani,Kila mtu na hamsini zake..Unaanzaje kummiss mwenzio kwa mfano..Kwa lipi hasa..Umeconclude vizuri sana daddy. Partners should not only love each other, but also they should "like each other". Marry your best friend. In reality, tunawatreat rafiki zetu vizuri zaidi kuliko partners wetu.
Mkitreatiana kama bff kuchokana sidhani kama kutakuwepo sana. Mtaheshimiana, mtapendana, hata mwenzio anapokosea utamcriticize with caution, utamjali, mtafanya utaahira wenu wote na mtacheka etc. Sijawahi kumchoka bff wangu, despite miaka mingi ya urafiki wetu. Partners ikiwa marafiki inasaidia sana kunogesha mahaba. Afu mke na mume kupendana tu haitoshi coz love ni changeable feeling, leo nakupenda sana , kesho nakupenda kidogo, kesho kutwa sijielewi, but urafiki upo tu siku zote. Ifike stage usiwaze kama nyumbani Nimemuacha mke/mume, ila waza Nimemuacha best friend angu. Ukipata ka habari, mume/mke ndo wa kwanza kujua. Have crazy moments together... tanianeni, pigeni kaumbea, bishaneni kuhusu mpira sijui, chezeni mziki etc. Kupigiana simu isiwe kwa sababu kuna matatizo nyumbani, pigianeni tu hata kutaniana "usirudi home leo, sijakumiss hata", unampa kaumbea yani mambo fresh hivi. Msiwe serious as if mnaishi mtu na mkwe wake akhaa
N:B hapo kwenye hobby/interest daddy nina allergy na mpira, maana nauonaga kama uke wenza hivi. Ila siku hizi najitahidi tu nipende, Maana nikiuchukia itakula tu kwangu teh,
Hahahah bora chumba cha mtihani, wengine tutapiga tu chabo. Imagine unaishi na mume as if ni baba mkwe wako, khaa mbona balaaUmeongea kila kitu Douta..Mkiwa marafiki raha sana..Mnashare moments kibao pamoja kiasi kwamba hata mtu akiwa mbali anammiss mwenzake.. Sio mnakuwa kwenye ndoa kama mko kwenye chumba cha mtihani,Kila mtu na hamsini zake..Unaanzaje kummiss mwenzio kwa mfano..Kwa lipi hasa..
Teh teh..Huo mpira wala usikupe shida..Watoto wengi wa kike hilo ni shida..Mi mama ako sio mfwatiliaji wa mpira ila ameamua tu kuwa mpinzani wangu..Siku tukishinda ataponda,tukifungwa ataponda basi vurugu tu..Uwa naenjoy comments zake btw
Kiongozi, ndoa ni zaidi ya utamu wa K.K ni tamu ukimpata mwanamke anayejua maunjanja hata 20 utapiga na kitu kinaendelea kuhitaji, tanga raha sana