Ushawahi choka mkeo?

Ushawahi choka mkeo?

Duuh! Hivi namie nitakuja kumchoka mume wangu kweli? Ooh ooh
 
Hata Mme anachosha pia.mana unatamani hata asirudi kutoka kazini.wote tumechokana tu na hivi kila kukicha maisha yanabadilika na kuwa magumu zaidi ndio kabisaa.pia ukiona mwanaume hayuko responsible na family wanawake tunamchoka Mara mbili.
Ni kweli kabisa kuchokana kwakweli ni sehemu ya maisha ya kila siku ingawa kuna kumisiana pia
 
Kawaida sana kwenye ndoa!
Very simple, mpe ruhusa aende kwao na watoto for 1month, akirudi mapenzi yatakuwa motomoto
 
Kawaida sana kwenye ndoa!
Very simple, mpe ruhusa aende kwao na watoto for 1month, akirudi mapenzi yatakuwa motomoto
Una ndoa? Una watoto? Fikiria kuhusu watoto sio wewe na mpenzi wako, yaani niishi bila watoto wangu? Hahahaha
 
Habari zenu,

Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili.
Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring.

Hisia zangu kwa huyu mwanamke kama hazijafa basi ni kidogo sana.Yaani narudi home kwasababu ya mazoea and nothing else.She is a good wife and a good mother.

But feelings arent there anymore.Is this normal?Sina mchepuko na vile vile siwezi muacha labda anipe sababu ya kufanya hivyo naweza sema kwa hali niliyonayo naomba hata aniache yeye.

Pumba na Point zinaruhusiwa.

Karibuni.
Mkuu jaribu kumuweka kwenye mazingira ya mbali na wewe yaan labda aende kijijini kuwasalimia wazazi wake hata kwa wiki mbili...na uwe unawasiliana nae ili asikuhisi vibaya....ninauhakika hamua yake itarudi
 
Naaaam, na ikitokea tu hahahaah unikumbuke kwenye ufalme wako hahahahaa nacheka tu
Ha haa shindwa

Mi ikinitokea hivo mapema naomba ruhusa nisafiri nikae miezi hata mi3. Yani ntageuka kua business woman gafla
 
Ha haa shindwa

Mi ikinitokea hivo mapema naomba ruhusa nisafiri nikae miezi hata mi3. Yani ntageuka kua business woman gafla
Hahahahaha nikishindwa basi na wewe utakua umeshindwa hahahahahaaa MUNGU awabariki msichokane daima, mkaone watoto wa watoto wenu daima
 
The Boss kwakwel kwa sasa sitajali sana kama nitagundua hayo,zaidi nitatumia nafasi hiyo ku move out..I cant just leave her man.Ukiacha tofauti za kawaida she is a good wife.Nkimwacha tu nitafeel guilty sana.
SASA TATIZO NI NINI KAMA NI GOODWIFE? NN KINAKUKERA MWELEZE AJIREKEBISHE UFURAHIE MAISHA
 
Mwambie ajaribu kuchepuka utamuona mtamu tena... umeboreka nae kwa sababu yupo kwa ajili yako 100%...
 
wewe mpeleke saloon, mpe nguo fashion za kisasa basi utaona mabadiliko fasta
 
Umeconclude vizuri sana daddy. Partners should not only love each other, but also they should "like each other". Marry your best friend. In reality, tunawatreat rafiki zetu vizuri zaidi kuliko partners wetu.

Mkitreatiana kama bff kuchokana sidhani kama kutakuwepo sana. Mtaheshimiana, mtapendana, hata mwenzio anapokosea utamcriticize with caution, utamjali, mtafanya utaahira wenu wote na mtacheka etc. Sijawahi kumchoka bff wangu, despite miaka mingi ya urafiki wetu. Partners ikiwa marafiki inasaidia sana kunogesha mahaba. Afu mke na mume kupendana tu haitoshi coz love ni changeable feeling, leo nakupenda sana , kesho nakupenda kidogo, kesho kutwa sijielewi, but urafiki upo tu siku zote. Ifike stage usiwaze kama nyumbani Nimemuacha mke/mume, ila waza Nimemuacha best friend angu. Ukipata ka habari, mume/mke ndo wa kwanza kujua. Have crazy moments together... tanianeni, pigeni kaumbea, bishaneni kuhusu mpira sijui, chezeni mziki etc. Kupigiana simu isiwe kwa sababu kuna matatizo nyumbani, pigianeni tu hata kutaniana "usirudi home leo, sijakumiss hata", unampa kaumbea yani mambo fresh hivi. Msiwe serious as if mnaishi mtu na mkwe wake akhaa

N:B hapo kwenye hobby/interest daddy nina allergy na mpira, maana nauonaga kama uke wenza hivi. Ila siku hizi najitahidi tu nipende, Maana nikiuchukia itakula tu kwangu teh,


Yeah hiyo inaweza kuchangia..Ila saanyingine kuchokana wala hakuhusiani ni muonekano wa mtu..Wengine wana wake wazuri ila still wamewachoka...Hilo la kutokuwa na common interest linachangia nalo kwa kiasi kikubwa..Ndo mana utakuta watu wapo ndani ya ndoa lakini hawana story au story ni zile zile deile

Imagine labda we ni mtu ambaye unapenda kudiscuss trending issues lakini wife wako hata hajui kinachoendelea uraiani..Utajikuta unatafuta watu nje wa kujadili nao...Au unakuwa na mke antisocial wakati we unapenda kujamiana ..We unapenda burudani lakini wife hamjui hata Diamond ni nani..

Wife akiwa rafiki yako kumchoka ni kazi..Na hawezi kuwa rafiki kama hamuendani
 
Jaribu kwenda naye vacation hata ya siku tatu utaona tofauti
 
Back
Top Bottom