Ushawahi choka mkeo?

Ushawahi choka mkeo?

Nashauri pia zidisha maombi sana,Mungu arudishe mapenzi na amani kwenye ndoa yenu,hamna kipindi wanawake wanaroga wanaume kama hiki,Mungu ndie mlinzi na kimbilio letu hata kama ikichukua muda Mungu atashinda tu
Yani umeongea neno zito. Sio tu wanawake, jamani vibinti vya siku hizi kwa ushirikina mmh, sijui hadi vizeeke vitakuwaje. Vilivyo visister duu hata kiswahili havijui, utajiuliza huko kilingeni wanaongeaje. Mungu atusaidie
 
Nakwambia Acha tuu,yani Acha tuu,nilipo ni kwa neema ya Mungu tu,.vibinti vidogoo ila vichawii kama nini na mbaya zaidi wanaume huwa hawachukulii serious kabisa haya mambo wao tamaa mbele wanakuja kutupa shida wanawake tunalia na Mungu tu
No wonder ndoa nyingi mitikisiko sana mambo ya kiimani yanapuuzwa,tujihimu tusiyapuuzie kabisa
 
Eeh yani umeongea ya maana mnoo. Wanaume wanaonaga tu hizi ni kama story za vijiweni. Ila kwa kuhangaika kwao, wanayoyabeba huko ni Mungu tu anajua. Sasa shukuru Mungu akikupa mke anayejua kuomba, ndo mke naye awe anakuchawia hehehhehe bado michepuko nayo ikuchawie, mbona utakuwa taahira muda si mrefu
 
Habari zenu,

Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili.
Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring.

Hisia zangu kwa huyu mwanamke kama hazijafa basi ni kidogo sana.Yaani narudi home kwasababu ya mazoea and nothing else.She is a good wife and a good mother.

But feelings arent there anymore.Is this normal?Sina mchepuko na vile vile siwezi muacha labda anipe sababu ya kufanya hivyo naweza sema kwa hali niliyonayo naomba hata aniache yeye.

Pumba na Point zinaruhusiwa.

Karibuni.
Mshukuru Mungu huyo wako ni mke mwema.

Mimi mke niliyenaye ni mgomvi sijawahi kuona. Na anataka kunitawala yaani unakuta mke ananiagiza kama mtoto.

Wakati mwingine hata napompa bakora badala afurahie unashangaa ameluanzisha katikati ya game.

Kwa dhati kabisa nakiri kashindwa na ni suala la muda tu namwaga mboga
oa mke wa pili ww kwann uteseke bas hiyo ndo likizo kubwa sn
 
Yani umeongea neno zito. Sio tu wanawake, jamani vibinti vya siku hizi kwa ushirikina mmh, sijui hadi vizeeke vitakuwaje. Vilivyo visister duu hata kiswahili havijui, utajiuliza huko kilingeni wanaongeaje. Mungu atusaidie

...eti hata kiswahili havijui vizuri, lakini kwa waganga vinaenda...lol!

Halafu utegemee wadada wa hivi kuwa na enough confidence to keep a man without using back ways but, I guess hawajiamini ati!
 
Mungu wanguuuu.

Me nnavomtamani mke wangu mpaka natoraka kazini kumbe kuna watu wanawachoka wake zao?
Kuna sometimes nakufuru kwa uwepo wa siku za kwenda angani (unajimu/hedhi)

Ushauri. Jaribu kumremba mkeo mpe manukato na mfundishe maujanja
 
Hahah!, sikujua hili!, aisee confidence muhimu sana maishani.
Yeah nafikiri hawajiamini kwamba mwanaume anaweza akakupenda wewe kama wewe na hata asihangaike huko. .

Wengine tatizo wanapenda sana mapenzi ya "kugombania". Yani mtu anajua kabisa tunaochanganywa tupo 6 kwa huyu bwana, but na yeye yumo tu. So kwa kuwa anataka yeye ndo aibuke mshindi ndo anawahi tu kupuliza kilingeni. Ni kukosa tu ufahamu + kutojua thamani yako, bwana kama huyo wa kazi gani sasa khaa

Wengine wana roho tu za uharibifu ndani yao. Ataona kabisa fulani anadate/ameoana na fulani, but huyo kupuliza vidawa wenzie waachane. Mungu wetu atusaidie tu, tena hawa wanaume ndo wanalishwa kila aina ya uchafu mweee
 
Nafikiri wazee zamani walikuwa hawaachi wake zao sababu walikuwa na wake wengi
huwezi kumchoka mkeo kama ungekuwa unapata mda wa kum miss...
wanasema 'how can i miss you if you are always here'

labda ni phase tu itapita
au labda umemchoka kweli for good....

hebu safiri alone kama wiki mbili ujitathmini
ushauri mzuri saaana[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Yeah nafikiri hawajiamini kwamba mwanaume anaweza akakupenda wewe kama wewe na hata asihangaike huko. .

Wengine tatizo wanapenda sana mapenzi ya "kugombania". Yani mtu anajua kabisa tunaochanganywa tupo 6 kwa huyu bwana, but na yeye yumo tu. So kwa kuwa anataka yeye ndo aibuke mshindi ndo anawahi tu kupuliza kilingeni. Ni kukosa tu ufahamu + kutojua thamani yako, bwana kama huyo wa kazi gani sasa khaa

Wengine wana roho tu za uharibifu ndani yao. Ataona kabisa fulani anadate/ameoana na fulani, but huyo kupuliza vidawa wenzie waachane. Mungu wetu atusaidie tu, tena hawa wanaume ndo wanalishwa kila aina ya uchafu mweee

Umesema yote dada wa mabusara!

Hii ya mapenzi ya kugawana, I'll never understand it. Mtu sijui anaanzaje ku seduce mume wa mwenzie vividly knowing he's already taken, and they're just going to be 'the other woman'
Halafu ndo wanajitoa ufahamu kabisa na kuanza kupiga tumba to win the man.

Lakini as you said, ni kutojua thamani yako. Hata kama ME anakuona wa maana kuliko his first, the whole point about sharing doesn't sit well with me. But I guess it's okay with some people, as the saying goes, "sharing is caring" ?!!

Haya ya wenye michepuko kulishwa vitu vya ajabu ili waendelee kunogewa, we acha tu!..
 
Confidence baby confidence

Some women are not confident enough in themselves to feel like they are worth being the main chicks. Where is their pride though mmmh?, It doesn't make sense to me, seeing someone proudly wearing a "side kick" hat. Even though I respect their choice, kwa kweli it shall never be my portion IJN

Anakuona wa maana wapi bana, wewe kazi yako kufichwa fichwa tu huko hata watu wasikujue teh. Navyopenda kumflaunt my man sasa. Daah yani mtu kuwa naye kwa masharti, kumuona kwa masharti, kumpigia tu simu kwa masharti arghaaaaaaaa
 
Eeh yani umeongea ya maana mnoo. Wanaume wanaonaga tu hizi ni kama story za vijiweni. Ila kwa kuhangaika kwao, wanayoyabeba huko ni Mungu tu anajua. Sasa shukuru Mungu akikupa mke anayejua kuomba, ndo mke naye awe anakuchawia hehehhehe bado michepuko nayo ikuchawie, mbona utakuwa taahira muda si mrefu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Pyschologically... ukikaa au ishi na mtu muda mrefu... mnazoeana sana kupelekea kuchokana... inabidii inafika kipindi mnakaa mbali kidogo...
 
Tatizo ni kuruhusu hizo hisia za kumuona mkeo anaboa....wengine huita ndoa ni pingu za maisha, hivyo ni bora ukajiweka huru kisaikolojia na kuamini huyo ndio ubavu wako....la utakuja kumkufuru Mungu kwa kutamanai mwenzako atangulie mbele za haki ili ubaki huru.....

Chukulia kama umepata matatizo ya macho na kulazimika kutumia Miwani kwa muda wote wa maisha yako yaliyobaki...siku ukisema hiyo Miwani imekuchosha utakuwa tayari kutumia fimbo nyeupe (white cane)
 
Confidence baby confidence

Some women are not confident enough in themselves to feel like they are worth being the main chicks. Where is their pride though mmmh?, It doesn't make sense to me, seeing someone proudly wearing a "side kick" hat. Even though I respect their choice, kwa kweli it shall never be my portion IJN

Anakuona wa maana wapi bana, wewe kazi yako kufichwa fichwa tu huko hata watu wasikujue teh. Navyopenda kumflaunt my man sasa. Daah yani mtu kuwa naye kwa masharti, kumuona kwa masharti, kumpigia tu simu kwa masharti arghaaaaaaaa

Mwenzangu si afadhali kofia, sa wanaovaa t shirt proudly!, with capital letters flashing 'side kick' 🙂

Lakini uongo mbaya kufichwa fichwa noma, kuna raha yake kudeka free-ly. Anytime, Anyway, Anyhow, Anywhere. Truth be told.
 
Hahaha raha mnooo, kweli mtu chake . Sio unakaa mara Unawaza daah sijui anamfanyia nini mwenzangu huko teh
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom