nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
...boring is a too general term...labda ufafanue anavyo ku bore...labda na yeye huko aliko analalamika kwa wenzake kuwa wewe una m bore....fafanua ana ku bore kivipi..ili usaidiwe specifically... Isije ikawa wewe ndie tatizo...ambalo hulioni....wanawake nao hubadilika kutokana na wanawaume wao....mfano.. We zamani ulikuwa unamchapa miti vema kabla hajakuzalia watoto...lakini leo ukimpiga bao moja unampa mgongo... Lazima nae abadilike...ama umeacha zile compliments ulizokuwa unampa zamani....etc etc...jiulize we kwanza ulivyobadilika....then mkeo ni matokeo tu....especially kama umekiri kuwa ni nzuri(bila kueleza anaku bore vipi)...be specific bana...ili usaidiwe..