The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,667
Actually nimeuliza kama umemwona, siyo umemsoma....😀.
Nilimuona few weeks ago....some lips ....ha haa
Actually nimeuliza kama umemwona, siyo umemsoma....😀.
The Boss kwakwel kwa sasa sitajali sana kama nitagundua hayo,zaidi nitatumia nafasi hiyo ku move out..I cant just leave her man.Ukiacha tofauti za kawaida she is a good wife.Nkimwacha tu nitafeel guilty sana.
Kuna watu wanaacha mke halafu inapita miaka hata 10
wanagundua walikosea wanarudi unaweza kukuta keshaolewa tena
mke kama ni mzuri usimuache
tafuta kichenchede kikiku keep busy...ila utarudi tu mwisho wake
jizuie kuzaa nje usimuumize....mpe kila kitu
au kubalini kila mtu aanze ku date nje kimyakimya...
...you advocating for an open relationship?!, kama the Smiths?
Not bad kama kweli wamechokana
How about just working it out?!, then ikishindikana kabisa kila mtu asepe,...kivyake, ....na kihalali, ijulikane moja.
Mambo ya mke ku share kitanda na mwanaume mwengine, na mume ku share kitanda na mwanamke mwingine halafu mnakutana mbele ya watoto mnajikausha!,...shuuli!
A lot depends na wife atakavyo feel...
ikiwa mutual basi anything is good..
ila mke akiwa bitter je?
utamueleza nini?
The Boss kwakwel kwa sasa sitajali sana kama nitagundua hayo,zaidi nitatumia nafasi hiyo ku move out..I cant just leave her man.Ukiacha tofauti za kawaida she is a good wife.Nkimwacha tu nitafeel guilty sana.
Ukitaka kujua uzuri wa mke boring, sikiliza habari za wenye ndoa zenye drama.
True ni mpaka asikie mke wa fulani kamnyoa mumewe nywele usiku apeleke kwa mganga...