Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Eti kuna watu wanakuja hapa kumtetea zitto,hata aibu hawana

washirikina sisi tuna haja nao gani??hata mkisema cdm ni chama cha kikabila,au taasisi si dawa ya kuponya uasi wa zitto aliouonesha wazi wazi

aondoke zake tuh,hatufugi wanga chadema
 
ZITTO ZUBEIR KABWE hakika wewe ni ZITTO kweli. Tunajua ulivyojitolea kwenye CDM muda akili na mali zako sasa kama kuna watu ndani ya CDM wanakuchukia wewe usilipize chuki kwa chuki .Unakubalika sana huku mitaani na nyota yako imepangiwa kung'aa itang'aa tu .Wewe ni mtu wa misimamo na wala hutetereki kufikia maamuzi. CDM ni chama au taasisi kam vile TLP UDP na ADC. Kwanza nakusifu ulivo mvumilivu usibabaishwe na hiv kina sa nane watoto wa dogo hawa na historia itawahukumu wote wanaokupangia mabaya yakufike. Ni wakat wako wa kujiondoa chamani hata kama familia yako haitaridhia waachie wenye chama wafanye wanavyotaka ..nakumbuka sana mzee mtei alipoacha kuvuna kahawa kule moshi ns kuja haraka dar kuja kukuomba umuachie mkwe wake kiti cha uongozi wa mwenyekiti. HAMA CHADEMA HAWAKUTAKI WAACHIE CHAMA CHAO.

Vipi masalia bado mnaendelea kutengeneza account? ngoja ben aje .
Kwanza hebu jitaje wewe ndo yupi Prezzo ama? au hii ni ya pamoja kama tuntemeke
 
wachaga kwa majungu,Zitto ndio Taswira ya chadema kitaifa,wengine hakuna kitu ni ukanda tu unawasumbua chadema

Unavyolazimisha kama wale walazimishao wanaume kuwa wanawake .Kw aujumla hapo alipo anatamani sana asingekuwa yeye aliyefanya plot za kijinga.Sasa itabidi atoke chama chenye kubeba identity ya wapigania haki na kuingia chama cha wapigania kuficha haki.
 
Vipi masalia bado mnaendelea kutengeneza account? ngoja ben aje .
Kwanza hebu jitaje wewe ndo yupi Prezzo ama? au hii ni ya pamoja kama tuntemeke

Mkuu huyu bila shaka atakuwa ndiye Mchange a.k.a MDUDE au Mtela mwampamba a.k.a KONY
 
Last edited by a moderator:
Zitto mzembe kweli, eti mimi ni mtu wa msimamo, mimi ni mzalendo na ujinga mwingine kam avile hajui, ktk wezi na wachawi kuna wazalendo wa hayo maendeo.Hajui kuwa talibani walikuwa na mismamo ila ni misimamo iliyopotoka.Sasa hicho anachokisema lazim aathibitishe kwa vitendo.Huyu prezoo kaishiwa sana kifikra,sijui alikuwa na demu kamdanganya kuw anaweza kuwa rais?

Hizi ni product za kishenzi za university of UDSM.Hata maprof wao ni vimeo, wapika researches ni wanaojikomba kwa wanasiasa,ndio wanaona bado kuna roll model ktk CCM ya leo na jana. CCM haijaawahi kuwa chama kizuri ktk uhai wake.Iliwahi kuw ana watu wazuri ila haikuwa hawakuwa wengi kwa kiasi cha kukiita chama makini.

Miaka yote watanzania wamekuwa na fikra duni sana mbele ya mataifa dhaifu, kwa ujinga wa ccm na propaganda za kijamaa zenye influence ya middle of all madness zilizokuwa zikihubiriwa ktk UDSM.last Time namsikiliza marehemu Prof ahroub othman BBC idhaa ya kiswahili, na ktk VOA akionge katika simu ktk kipindi cha Shaka SSali nilipata sana shida kuamini kuwa alikuwa akiongea prof.alikuwa na fikra kama za Ritz,mwepesi kubadili anchoongea mara anapoona reaction ya watu, mwepesi kushambua US na Israel, mwepesi kudandia mawazo ya analyst wengine bil akuweka chake.Huo uchafu upo miwingi san UDSM hasa political science.

Mbaya wamekuwa wakialika watu wa kishenzi wenye mitizamo ya kishenzi kuwa wasemaji wao.
 
Msaliti huyu mjinga njaa kama wengine tu, toka leo azomewe na Wananchi huyo
 
alwatan kizigo

join date : 21st december 2012
posts : 10
rep power : 303
likes received1
likes given0



muanzisha hii thread nina uhakika atakua ni kitila mkumbo tuh kaja ili kujikosha na kumkosha zitto kabwe,hebu mods mlingalie kwa tahadhari hilo,,

masalia yanazid kutapa tapa kujinasua,hawasafishiki kamwe
 
zitto mzembe kweli, eti mimi ni mtu wa msimamo, mimi ni mzalendo na ujinga mwingine kam avile hajui, ktk wezi na wachawi kuna wazalendo wa hayo maendeo.hajui kuwa talibani walikuwa na mismamo ila ni misimamo iliyopotoka.sasa hicho anachokisema lazim aathibitishe kwa vitendo.huyu prezoo kaishiwa sana kifikra,sijui alikuwa na demu kamdanganya kuw anaweza kuwa rais?


na aende akaage tena,kwa maana alivoaga inaonesha kuna miiko kakiuka,,

ooh mara nimeacha kuchukua seating allowances,zinawakandamiza watz,kujifanya ana uchungu na nchi hii,ana uchungu na chama,kumbe ni mshinda kwa waganga anawanga??

Ikulu ni sehemu takatifu,utaenda vipi pale na matunguri??

What a shame...!!
 
wachaga kwa majungu,Zitto ndio Taswira ya chadema kitaifa,wengine hakuna kitu ni ukanda tu unawasumbua chadema

hakuna kosa kubwa kama zitto kuwaachia wasanii chadema

KABWE,usitoke chadema komaa na hawa wachaga mpaka wakaa,wewe unaakili nyingi sana japo chadema hawataki watu wenye akili si munaona wanavyoanza kumsakama na Kitila Mkumbo? musiondoke chadema
user-online.png
chepe kubwa

Today 13:22
#28
Member Array


Join Date : 19th December 2012
Posts : 48
Rep Power : 310
Likes Received3
Likes Given1
 
Huwezi kusafisha kaniki iwe nyeupe, wala hata siku 1 feni huwa haifungwi beach.
 
Eti kuna watu wanakuja hapa kumtetea zitto,hata aibu hawana

washirikina sisi tuna haja nao gani??hata mkisema cdm ni chama cha kikabila,au taasisi si dawa ya kuponya uasi wa zitto aliouonesha wazi wazi

aondoke zake tuh,hatufugi wanga chadema
Nakuona Le Big show na shimizi yako.
 
nakuona le big show na shimizi yako.


mwanga mwenzako ritz yuko wapi??

mshachukua posho kutoka kwa mabosi wenu zito na mkumbo mje kuwasafisha humu,waambie waendelee tuh kuwanga,chama kinasonga mbele na kiko imara

vihiyo kama hao sisi hawatushughulishi wala kutunyima usingizi,,hadi wakaage??wapi na wapi sasa

wanga sifa yao kubwa ni woga,thats why wanapenda kufanyia mambo yao gizani,,

chadema kiboko yaoo
 
Zitto nakuamini na nina imani na wewe. Nafsi za wa kuchafuao zina wasuta, na wale wasio elewa ukweli na kukaa kutafari wataishia kupelekwa kama tiara liyumbishwapo na upepo

Hesabu 23:23" HAKUNA UCHAWI WALA UGANGA UTAKAOINUKA KINYUME KTK ISRAEL"

ikulu ni mahali patakatifu.
 
ben 14:00 ni nouma.kaletabriefing nzuri sana ya ku update watu,halafu vitu muhimu akaviweka kwa ajili ya mkutano vikao vya ndani vya chama.Hao masalia wameropoka hadi wakamaliza vyote na vyote vinawahukumu wao.This is a golden chance ya CDM kuwamaliza mamluki wote hadi wale waliopo ktk vijiwe kama NCCR na CUF, na kwingine.sasa hadi mzee rungwe mpuuzi kihivyo?anataka ushujaa upi wakati kachoka, na bado anataka shafu a mafisadi?
 
Zitto you did the right thing in a wrong!! All the wise will realize this!
Zitto just accept what am telling you and move for the next level!

WHICH is

Learn where you went wrong ... apologize STRONGLY

THEN

SIMPLY DO THE RIGHT THING, FOR THE RIGHT REASON, IN A RIGHT WAY!!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom