Kwa uzi huu halafu upewe uongozi wa shule, hapana. Pamoja na masters yako, bado una safari ndefu ya kufanya speech.Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa.
Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na sifa alizonazo akaandika barua, lakini still maboss wake wakagoma kumpitishia barua zake kwa madai Walimu hawatoshina mengine mengi.
Hivyo basi, tunaomba wizara husika itoe mwongozo ambao utapunguza hujuma za kupata vyeo na nafasi mbalimbali za hawa walimu wenye Masters/PhD.
Hata ikiwezekana wafanyiwe interview kupata hizo nafasi za uongozi ili hujuma zipungue/ziishe kabisa.
Kwani ww unanijua au unaropoka tu kiazi we! Eti nipewe uongoz wa shule mburula we!Kwa uzi huu halafu upewe uongozi wa shule, hapana. Pamoja na masters yako, bado una safari ndefu ya kufanya speech.
Endelea kujifunza utafanikiwa.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ngumi ya gizani imefanya kazi. Pole msomi.Kwani ww unanijua au unaropoka tu kiazi we! Eti nipewe uongoz wa shule mburula we!
Hapana, buheri wa afya ya mwili na akili.Unaumwa we kiazi
Kwa mawazo yako, but ukubali kuwa ni punguani fulani hivi ulienda shule.Unahomon za kinyumbu mkuu
Mshikaji alienda kusoma apewe madaraka. Imekula kwake ameamua kulalamika.Wanasema mna viherere vya kwenda kusoma wakati hizo masters na PhD ni anasa!
Mwombe mama yako kadi ya klinik Kama anayo uipitiee ujifanyie tathimin utagundua kuwa ww ni mgonjwaKwa mawazo yako, but ukubali kuwa ni punguani fulani hivi ulienda shule.
Hiyo wizara siyo wajinga kumpa madaraka mwenye digrii na kumwacha wa masters. Lazima una mapungufu.
Elimu si kigezo pekee kupewa madaraka. Pana mengi hutazamwa. Usijione kuwa na hiyo elimu ndo unaweza zaidi.
Jinga kubwa wewe!
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
We jamaa hebu chuchumaa Basi😀 nisje nikawa naongea na tahilaMshikaji alienda kusoma apewe madaraka. Imekula kwake ameamua kulalamika.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nikubaliane na wewe. Hata hoja ya mshikaji inakosa mashiko kwa kuweka kigezo cha elimu badala ya ufanisi, ingawa elimu huchangia pia ufanisi.ufanisi ungekuwa kipimo cha kwanza kuoanda madaraja na sio kiwango cha elimu, labda kama huko serikali hamjui nini maana ya ufanisi.
Ungejua maana ya hilo jina ungepiga salute.Kuweni makini na hayo majina yenu hata akili inafata jina
Naona umevurugwa hadi kila mmoja unamwona adui.Hayakuhusu after all hatufahamiani acha kulabudisha Mambo, au ww Ni mganga wa kienyeji?