Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

Mhh Mkuu kua makini sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ya kuzaana na binti yangu yameanza lini[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Haya mambo ya kuzaana na binti yangu yameanza lini[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Kamati bado inajadili mustakabali wa namna ya kumuokoa mwenzetu na kumshauri.

Wewe najua ni mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya, tulia kwanza tumalize kikao au kama unaweza toa neno la Faraja kwa masopakyindi

Kuhusu kuzaana na Dota wako tutakuja nyumbani rasmi na ubuyu.
 
Aah mwanakulifind......
Apambane na hali yake.

Kuhusu dota wangu ukae mbali sana, nisikuone!!
 
Aah mwanakulifind......
Apambane na hali yake.

Kuhusu dota wangu ukae mbali sana, nisikuone!!

Huyo ni mtumishi ndio ananipatia mafunzo ya kiroho ujue. Vinginevyo na mimi ningekua nimeshaleta thread hapa.
Ananiombea kuliko maelezo. Sasa naachanaje na Dota wa aina hiyo Rafiki?
 
Huyo ni mtumishi ndio ananipatia mafunzo ya kiroho ujue. Vinginevyo na mimi ningekua nimeshaleta thread hapa.
Ananiombea kuliko maelezo. Sasa naachanaje na Dota wa aina hiyo Rafiki?
Kwahiyo umeingia kwa gia ya maombi eeh?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
PART II
Nawashukuru sana wadau kwa kulitolea neno na maini kwa mkasa huu ambao tayari umenipata kimaisha.
Ni mkasa mrefu, ila niwataarifu tu kuwa ni mkasa uliotokea muda mrefu, ingawaje niliyohadithia ni ya kweli kabisa.
Na sasa tuendelee....

Yule mtoto mzuri baada ya kunipa yake ya moyoni kuwa kwanza ameolewa, pili, mume wake hana uwezi kimwili kuzaa kwa vile madaktari wamesha sema hana mbegu za kutia mimba, tatu binti naye kanichunguza vizuri, ananipenda, na haja yake ya moyo ni kupata mimba na kuzaa.

Hili kwangu kama anavyosema Evelyn Salt, ndio bomu la Hiroshima.
Bibie kwa kweli nimempenda bure, ni mzuri na kuongea naye tu inatia hamasa.
Wanaume tulio wengi ukumpata bibi kama huyu unajipiga kifua cha u hero.
Lakini mmmm.... mke wa mtu.
Tena hataki condom, na anataka mtoto.
Hayo masharti na hali ni ngumu.
Nikaomba poo ili tuonane siku nyingine.

Bibie akatambua, nataka kuchomoka.
Na alishaona nimeshaingia mtego, mie nataka vitu, yeye ana shida, sharti ni kumpa mtoto.

Hapo nikakutana na Eva, yule aliyemtongoza Adam ili ale tunda.
Mwanamke uliyemtaka kwa kumtongoza, akikubali, kumchomoka ni miujiza!
Yule dada akajirembua na kuwa laini, sauti laini na si muda mrefu nami nikaingia line.

Tulipanga tukutane siku ya pili , lakini I took no chances, nilibeba kinga,condom.

Tukaenda hoteli ya hadhi nzuri, na baada ya maongezi, kula na kunywa, tukaingia swala la msingi. Na alipovua nguo ndio nilipigwa butwaa!
Yule dada alikuwa viwango vingine kabisa.
Nikisema alikuwa mzuri kwa kumwona kwenye nguo, basi alipotoa nguo zote nilichanganyikiwa.

Mimi napenda beutiful girls, hata mke wangu ni bomba, lakini huyu alipendelewa zaidi.

Wanaume tuna matatizo, tatizo kubwa ni hisia, ukiona mwamke mzuri tayari hisia zako zinakimbilia kula tunda uone utamu wake.
Nami vivyo.
Ila ukweli kuna wanaume, mimi simo, ambao wakiona tu vile alivyo binti mzuri, uchi kama alivyozaliwa, lazima anapata mfadhaiko na wengine kujikojolea!.

Nilichokuwa naona mbele yangu ni mwanamke aliyeumbika haswa, tako lipo ni zuri la wastani, paja na hips zimelifanya tako kuwa na mvuto wa pekee.
Matiti ni makubwa ya wastani, mviringo na chuchu zipo katikati, na hayo matiti wala hayajaanguka , yako imara.
Kakiuno kapo kazuri sana, kadogo na tumbo dogo.
Ndiyo ile figure 8 niliyikuwa naiongelea.
Akili ikanirudia kidogo!
Kwanza nikajiulizwa ,what am I doing?
Na nikatoa condom na kuanza kuchana kifungashio.
Bibie alipoona hivyo akatishia kuvaa nguo na kuindoka!
Nikaitupa condom na kumkubatia
, baada ya romance kidogo mie wazimu kama unanipanda.

Tukala vitu!
Lakini mi nilikuwa over excited, sikudumu dk 3.
Kwishney!

Cha ajabu sana, bibie haraka haraka akavaa nguo, na kushika pochi yake, na kusema naondoka.
Hakuenda kunawa wala nini!
Nikawa bado kama sielewi, ndo nikakumbuka, lengo la bibie ni kupata mimba!
Nikalielewa hilo.
Nami nikarudi Dar nikiwa na mawazo mchanganyiko.

Baada ya kupita mwezi nikarudi tena mkoani.
Nikitaka rematch maana ile ya kwanza nilipigwa off side.
Sasa nataka full match!

Lakini nilipo onana na bibie Clara, I was in for a shock!
Tukaenda mgahawa maridadi na tukala chakula.
Biebie alionekana kuwa na furaha na katika maongezi, bado ni kama ana swala ambalo halijapata ufumbuzi.
Lakini alianza kwa kuangusha bomu!
"Mpenzi "aliniambia,
"nina mimba, ila kuna jambo sikukueleza"

Moyo ukaruka , na nikajiuliza baada ya hili bomu la mimba, kuna nini tena?

PART III inakuja!

Evelyn Salt,​

Heaven Sent,​

The Monk,​

Habun,​

Vishu Mtata,​

Smart911


 
Unavyosimulia kwa hamasa sasa, shwain zako kwa kumchepukia wifi yangu. Na ulete muendelezo mwana kuliget[emoji21][emoji21]
 

Ikifika hapo huwa wanaokoka ghafla[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
👏👏 Vizuri mkuu ila the way unaileta ni kama story ya kusisimua na kuburudisha si ya kutaka ushauri🤔.

Yote kwa yote imekaa poa, nangoja part 3.

Usisahau kunitag, shukran kwa tag ya kibabe hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…