The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
You are right Sirokay well understood sir, madam
You are right Sirokay well understood sir, madam
Mhh Mkuu kua makini sanaMimi si mwanachama na mchanguaji sana huku MMU, lakini hata bubu aking'atwa ataongea hata neno.
Huku kuna walimwengu wa maisha halisi ya kibantu.
Hadithi ni ndefu lakini nitaifupisha.
Nina mke na watoto, tena wakubwa tu.
Katika mishe mishe za safari mikoani huko, sitaji mkoa lakini nilikaa mwaka.
Hili na lile katika kuchapa ripoti za kazi tukaelewana sana dada mmoja, kwa kweli alikuwa mzuri na ni figure 8.
Kwa utani tu nikatongoza, hakujibu wala kukataa.
Bado nikaendelea kutongoza, mwisho baada ya miezi 3, akakakubali na akasema nikuambie kitu?
Nikastuka kidogo, ila akaniambia nitakuambia tukionana.
Kweli tukaenda outing, na tukala na kunywa.
Kwa kweli tuli enjoy.
Fukuto langu lilikuwa kujua anachotaka kuniambia.
Na wakati huo alivyo mzuri na umbo la kutia hamasa, moyo unanidunda ndi.. ndi..ndi...!
Nikamsihi aniambie.
Akaanza taratibu.
Kaka mimi nimeolewa.
Moyo wangu ukadondoka pwaa....!
Sasa itakuwaje tena kumpenda mke wa mtu?
Nikamwuliza na kujiuliza, na nikaanza kusononeka.
Yule dada aliona kusononeka kwangu, lakini akanituliza, akaniambia usijali kaka.
Akaniambia amenichunguza sana muda wote huu licha ya kuolewa, na amenipenda ndio maana ana kitu cha kunieleza.
Ha!
Nikajiuliza , kuna kingine tena ?
Nikamwuliza kuna kitu gani?
Yule dada kwa unyonge akasema nitakuwa pamoja na wewe ila nifichie siri yetu!
Nikamwambia mbona hilo si tatizo mpenzi!
Akanidakia tena, akaniambia tukisex hataki condom!
Hapo nikapigwa butwaa!
Sasa nami nikadakia, mbona sielewi?
Nikamwambia si utapata mimba?
Huku nikijzuia kumwambia magonjwa je?
Hapo ndii akanieleza taratibu, kuwa ameoana na mume wake miaka miwili na hajapata mimba.
Ikabidi waende hospitali wapimwe na ikagundulika mume wake hana uwezo wa kutengeneza mbegu za kiume.
Na kwamba wameenda hospitali tatu tofauti, majibu ni yale yale.
Akaniambia ,nami natafuta mtoto, nimekupenda.
Nilichanganyikiwa!
END OF PART I
Wadau ushauri wenu, part zingine NNE zitakuja mbele.
Haya mambo ya kuzaana na binti yangu yameanza liniHayo tutaongea faragha mpendwa, kwa sasa acha kwanza tumpe ushauri jemedari. Japo kimsingi, wanaume wote tunahitaji ushauri...kinachotutofautisha ni level ya majanga tu.
Heaven Sent sijakuzaa narudia tena, mwaka bado una makaratasi mpyaaa ndio tunaufungua, sijakuzaa.

Haya mambo ya kuzaana na binti yangu yameanza lini![]()
Aah mwanakulifind......Kamati bado inajadili mustakabali wa namna ya kumuokoa mwenzetu na kumshauri.
Wewe najua ni mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya, tulia kwanza tumalize kikao au kama unaweza toa neno la Faraja kwa masopakyindi
Kuhusu kuzaana na Dota wako tutakuja nyumbani rasmi na ubuyu.
We masopakyindi unatuchora sio bure. Au unasubiri mwenye hicho kisa apost na ww upaste hapa??Mkuu, part II inakuja.
Dunia mviringo!
Aah mwanakulifind......
Apambane na hali yake.
Kuhusu dota wangu ukae mbali sana, nisikuone!!
Kwahiyo umeingia kwa gia ya maombi eeh?Huyo ni mtumishi ndio ananipatia mafunzo ya kiroho ujue. Vinginevyo na mimi ningekua nimeshaleta thread hapa.
Ananiombea kuliko maelezo. Sasa naachanaje na Dota wa aina hiyo Rafiki?

Tayari mkuuUkiweka unijulishe kaka
Duh....!Unachelewa sana unamtumia kitochi

PART II
Nawashukuru sana wadau kwa kulitolea neno na maini kwa mkasa huu ambao tayari umenipata kimaisha.
Ni mkasa mrefu, ila niwataarifu tu kuwa ni mkasa uliotokea muda mrefu, ingawaje niliyohadithia ni ya kweli kabisa.
Na sasa tuendelee....
Yule mtoto mzuri baada ya kunipa yake ya moyoni kuwa kwanza ameolewa, pili, mume wake hana uwezi kimwili kuzaa kwa vile madaktari wamesha sema hana mbegu za kutia mimba, tatu binti naye kanichunguza vizuri, ananipenda, na haja yake ya moyo ni kupata mimba na kuzaa.
Hili kwangu kama anavyosema Evelyn Salt, ndio bomu la Hiroshima.
Bibie kwa kweli nimempenda bure, ni mzuri na kuongea naye tu inatia hamasa.
Wanaume tulio wengi ukumpata bibi kama huyu unajipiga kifua cha u hero.
Lakini mmmm.... mke wa mtu.
Tena hataki condom, na anataka mtoto.
Hayo masharti na hali ni ngumu.
Nikaimba poo ili tuinane siku nyingine.
Bibie akatambua, nataka kuchomoka.
Na alishaina nimeshaingia mtego, mie nataka vitu, yeye hana shida, sharti ni kumoa mtoto.
Hapo nikakutana na Eva, yule aliyemtongiza Adam ili ale tunda.
Mwanamke uliyemtaka kwa kumtongoza, akikubali, kumchomoka ni miujiza!
Yule dada akajirembua na kuwa laini, sauti laini na si muda mrefu nami nikaingia line.
Tulipanga tukutane siku ya pili , lakini I took no chances, nilibeba kinga,condom.
Tukaenda hoteli ya hadhi nzuri, na baada ya maongezi, kula na kunywa, tukaingia swala la msingi. Na alipovua nguo ndio nilipigwa butwaa!
Yule dada alikuwa viwango vingine kabisa.
Nikisema alikuwa mzuri kwa kumwona kwenye nguo, basi alipotoa nguo zote nilichanganyikiwa.
Mimi napenda beutiful girls, hata mke wangu ni bomba, lakini huyu alipendelewa zaidi.
Wanaume tuna matatizo, tatizo kubwa ni hisia, ukiona mwamke mzuri tayari hisia zako zinakimbilia kula tunda uone utamu wake.
Nami vivyo.
Ila ukweli kuna wanaume, mimi simo, ambao wakiona tu vile alivyo binti mzuri, uchi kama alivyozaliwa, lazima anapata mfadhaiko na wengine kujikojolea!.
Nilichokuwa naona mbele yangu ni mwanamke aliyeumbika haswa, tako lipo ni zuri la wastani, paja na hips zimelifanya tako kuwa na mvuto wa pekee.
Matiti ni makubwa ya wastani, mviringo na chuchu zipo katikati, na hayo matiti wala hayajaanguka , yako imara.
Kakiuno kapo kazuri sana, kadogo na tumbo dogo.
Ndiyo ile figure 8 niliyikuwa naingelea.
Akili ikanirudia kidigo!
Kwanza nikajiulizwa ,what am I doing?
Na nikatoa condom na kuanza kuchana kifungashio.
Bibie alipoona hivyo akatishia kuvaa nguo na kuindoka!
Nikaitupa cindom na kumkubatia
, baada ya romance kidogo mie wazimu kama unanipanda.
Tukala vitu!
Lakini mi nilikuwa over excited, sikudumu dk 3.
Kwishney!
Cha ajabu sana, bibie haraka haraka akavaa nguo, na kushika pochi yake, na kusema naondoka.
Hakuenda kunawa wala nini!
Nikawa bado kama sielewi, ndo nikakumbuka, lengo la bibie ni kupata mimba!
Nikalielewa hilo.
Nami nikarudi Dar nikiwa na mawazo mchanganyiko.
Baada ya kupita mwezi nikarudi tena mkoani.
Nikitaka rematch maana ile ya kwanza nilipigwa off side.
Sasa nataka full match!
Lakini nilipo onana na bibie Clara, I was in for a shock!
Tukaenda mgahawa maridadi na tukala chakula.
Biebie alionekana kuwa na furaha na katika maongezi, bado ni kama ana swala ambalo halijapata ufumbuzi.
Lakini alianza kwa kuangusha bomu!
"Mpenzi "aliniambia,
"nina mimba, ila kuna jambo sikukueleza"
Moyo ukaruka , na nikajiuliza baada ya hili bomu la mimba, kuna nini tena?
PART III inakuja!
Evelyn Salt,
Heaven Sent,
The Monk,
Habun,
Vishu Mtata,
Smart911
View attachment 2071941
kuna mada zikiletwa hapa wanaume wote mioyo inapoaaa, wanageuka washauri wazuri, wanakua kama walokole flani hivi, nahisi hadi pmb husinyaa kama nyanya mbovu , yani kichwani kwangu huwa nawaona kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua.....ikiletwa mada ya kugonga mke wa mtu.
Habun we huwa unawaonaje???![]()

👏👏 Vizuri mkuu ila the way unaileta ni kama story ya kusisimua na kuburudisha si ya kutaka ushauri🤔.PART II
Nawashukuru sana wadau kwa kulitolea neno na maini kwa mkasa huu ambao tayari umenipata kimaisha.
Ni mkasa mrefu, ila niwataarifu tu kuwa ni mkasa uliotokea muda mrefu, ingawaje niliyohadithia ni ya kweli kabisa.
Na sasa tuendelee....
Yule mtoto mzuri baada ya kunipa yake ya moyoni kuwa kwanza ameolewa, pili, mume wake hana uwezi kimwili kuzaa kwa vile madaktari wamesha sema hana mbegu za kutia mimba, tatu binti naye kanichunguza vizuri, ananipenda, na haja yake ya moyo ni kupata mimba na kuzaa.
Hili kwangu kama anavyosema Evelyn Salt, ndio bomu la Hiroshima.
Bibie kwa kweli nimempenda bure, ni mzuri na kuongea naye tu inatia hamasa.
Wanaume tulio wengi ukumpata bibi kama huyu unajipiga kifua cha u hero.
Lakini mmmm.... mke wa mtu.
Tena hataki condom, na anataka mtoto.
Hayo masharti na hali ni ngumu.
Nikaimba poo ili tuinane siku nyingine.
Bibie akatambua, nataka kuchomoka.
Na alishaina nimeshaingia mtego, mie nataka vitu, yeye hana shida, sharti ni kumoa mtoto.
Hapo nikakutana na Eva, yule aliyemtongiza Adam ili ale tunda.
Mwanamke uliyemtaka kwa kumtongoza, akikubali, kumchomoka ni miujiza!
Yule dada akajirembua na kuwa laini, sauti laini na si muda mrefu nami nikaingia line.
Tulipanga tukutane siku ya pili , lakini I took no chances, nilibeba kinga,condom.
Tukaenda hoteli ya hadhi nzuri, na baada ya maongezi, kula na kunywa, tukaingia swala la msingi. Na alipovua nguo ndio nilipigwa butwaa!
Yule dada alikuwa viwango vingine kabisa.
Nikisema alikuwa mzuri kwa kumwona kwenye nguo, basi alipotoa nguo zote nilichanganyikiwa.
Mimi napenda beutiful girls, hata mke wangu ni bomba, lakini huyu alipendelewa zaidi.
Wanaume tuna matatizo, tatizo kubwa ni hisia, ukiona mwamke mzuri tayari hisia zako zinakimbilia kula tunda uone utamu wake.
Nami vivyo.
Ila ukweli kuna wanaume, mimi simo, ambao wakiona tu vile alivyo binti mzuri, uchi kama alivyozaliwa, lazima anapata mfadhaiko na wengine kujikojolea!.
Nilichokuwa naona mbele yangu ni mwanamke aliyeumbika haswa, tako lipo ni zuri la wastani, paja na hips zimelifanya tako kuwa na mvuto wa pekee.
Matiti ni makubwa ya wastani, mviringo na chuchu zipo katikati, na hayo matiti wala hayajaanguka , yako imara.
Kakiuno kapo kazuri sana, kadogo na tumbo dogo.
Ndiyo ile figure 8 niliyikuwa naingelea.
Akili ikanirudia kidigo!
Kwanza nikajiulizwa ,what am I doing?
Na nikatoa condom na kuanza kuchana kifungashio.
Bibie alipoona hivyo akatishia kuvaa nguo na kuindoka!
Nikaitupa cindom na kumkubatia
, baada ya romance kidogo mie wazimu kama unanipanda.
Tukala vitu!
Lakini mi nilikuwa over excited, sikudumu dk 3.
Kwishney!
Cha ajabu sana, bibie haraka haraka akavaa nguo, na kushika pochi yake, na kusema naondoka.
Hakuenda kunawa wala nini!
Nikawa bado kama sielewi, ndo nikakumbuka, lengo la bibie ni kupata mimba!
Nikalielewa hilo.
Nami nikarudi Dar nikiwa na mawazo mchanganyiko.
Baada ya kupita mwezi nikarudi tena mkoani.
Nikitaka rematch maana ile ya kwanza nilipigwa off side.
Sasa nataka full match!
Lakini nilipo onana na bibie Clara, I was in for a shock!
Tukaenda mgahawa maridadi na tukala chakula.
Biebie alionekana kuwa na furaha na katika maongezi, bado ni kama ana swala ambalo halijapata ufumbuzi.
Lakini alianza kwa kuangusha bomu!
"Mpenzi "aliniambia,
"nina mimba, ila kuna jambo sikukueleza"
Moyo ukaruka , na nikajiuliza baada ya hili bomu la mimba, kuna nini tena?
PART III inakuja!
Evelyn Salt,
Heaven Sent,
The Monk,
Habun,
Vishu Mtata,
Smart911
View attachment 2071941
Kweli kabisa, dont try this at home maana mwisho limenigharimu.Kuingia kwenye mahusiano na mke wa mtu ni kuweka maisha yako hatarini.