ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,706
- 57,206
Aiseee ndefu Sana nimeishia part one
Kweli kabisa, dont try this at home maana mwisho limenigharimu.
Mwanaume kuchepuka ni jambo dogo Sana na linalinda ndoaUnavyosimulia kwa hamasa sasa, shwain zako kwa kumchepukia wifi yangu. Na ulete muendelezo mwana kuliget![]()
Asante sana mkuu.Mwanaume kuchepuka ni jambo dogo Sana na linalinda ndoa
Asante sana mkuu.
Wengi hawaliekewi hilo.
Mwanaume kuchepuka ni jambo dogo Sana na linalinda ndoa
usitucheleweshee sana, nna hamu ya kujua hilo la HiroshimaKweli kabisa, dont try this at home maana mwisho limenigharimu.
Kuna mtu alikuwa anakutafutaHuyo ni mtumishi ndio ananipatia mafunzo ya kiroho ujue. Vinginevyo na mimi ningekua nimeshaleta thread hapa.
Ananiombea kuliko maelezo. Sasa naachanaje na Dota wa aina hiyo Rafiki?
Sijui ye kasema tu anakutafuta hakuoniNipo hapa nimejaa tele. Ana RB ya Dodoma au Daslam?
Socio interaction ni ngumu sana kutabiri mwisho wake.Em nionyeshe maandiko yanayosema hivyo
Maisha ni kama kitabu, huwezi kuishi maisha yote siku moja, ingawaje unaweza kusoma kitabu siku moja.Mkuu tusichoshane malizia uzi
Sasa naanza kupata picha ya nn kinakusumbuaPART III
"Kuna kitu sikukuambia, mpenzi,mume wangu anaumwa sana, tena kwa muda mrefu" alisema Clara
Moyo ukapiga paaaa.....!
Nikajisemea moyoni , mama yangu ukimwi huo!
Bibie aliona mkanganyiko wangu.
Baada ya muda nami nikapata nguvu ya kumuuliza.
"Ameathirika na ugonjwa gani", nilimuuliza.
Bibie alika kimya kwa muda, hakujua mimi huku moyo unadunda kama pampu ya maji.
Nilimuuliza mara ya pili anachoumwa mumewe, maana nilanza kukosa uvumilivu.
Clara alianza taaratibu kuelezea.
Mme wake katika kazi yake alipata matatizo ta kifua, inaelekea huko kiwanda anachofanya alivuta hewa chafu iliyomuathiri mfumo wa hewa na mapafu.
Aliniambia kwa miaka yote wameoana alianza kuugua taratibu lakini katika mwaka huu mmoja uliopita anashindwa kupumua sawasawa.
Aliniambia mwaka ule mmoja waliooana ndiyo amekuwa angalau anaweza tendo la ndoa,pamoja na mapungufu kuwa hawezi kuzaa, ila mwaka huu mzima uliopita amekuwa akiuguza tu na hawezi hata kudiriki kufanya tendo la ndoa.
Nilimuuliza tena sasa kwa kutaka uhakika, kama hajaathirika na ukimwi.
Clara alijibu, tena kwa kujimini na kushangaa, kuwa hapana, yeye tatizo lake ni hayo mapafu yanayomkosesha kupumua na mwili kukosa nguvu.
Nikashusha pumzi, si kwa furaha bali kwa kushukuru kuwa kawingu ka kufikiria kuwa sasa naweza kuwa nimeathirika na mimi, kamepita, ingawaje bado wasiwasi ulikuwepo moyoni bado.
Baada ya hapo ndio tukarudi kwenye bomu letu.
Mimba.
Nikamuuliza sasa itakuwaje watu wakiuliza umepata wapi mimba, na wanajua kuwa mume wako hawzi.
Hapo ndio nikatambua kuwa wanawake wanatuzidi.
Akanieleza kuwa siri ya ndani kwao ni yeye na mume wake, hakuna anayejua lolote, hata ndugu zake.
Sasa, nikamuuliza mumwe wako je , akiuliza mimba hiyo ya nani.
Bibie alinyamaza, machozi yakamlenga lenga, na alijibu taratibu kuwa kwa hali aliyonayo mumewe hajakata tamaa lakini kwa kweli ni changa moto.
Kwa mazungumzo hayo tuliyokuwa nayo, hata bia iliteremka kwa shida.
Na niliyotaraji ya rematch hayakuwepo tena.
Mpaka narudi Dar kwa kweli niliona kama nimepatikana , wala sijapata.
Ikapita miezi miwili hivi, usiku wa saa mbili nikapata simu toka kwa Clara.
"Mpenzi" , aliniambia
"Mume wangu amefariki"
Niliangusha simu chini kwa mshtuko.
Baada ya kupata fahamu, nikajua nimekula nanasi na maganda yake.
Itaendelea Part IV, coming soon!
Evelyn Salt,
Heaven Sent,
The Monk,
Habun,
Vishu Mtata,
Smart911