Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

Asante sana.
Ni kwa vile nimeishia hapo nilipoishia, lakini matibabu ya kuokoa maisha ya Clara na misaada mingine haijamfurahisha jamaa.

Sijutii kuokoa maisha ya Ckara.

Mi niko pembeni, ila hata Clara kanidokeza jamaa anataka talaka.
Hiyi Part VI bado inajifunua.
Sawa tusubiri hiyo part VI, ila kiukweli kama jamaa kajua lazma imuume kichizi.

Na si ajabu huyo mwanamke ashaanza kumuonesha dharau coz anajua wewe upo na unampenda.
 
Sijasoma habari yako ni ndefu mno. Lakini nikushauri kitu "kama Dunia unaiona ni Mviringo basi nikuambie tu kua wewe unaiona dunia katika Uhalisia wake yaani unaiona dunia sahihi bila matatizo. Kama ungeiona dunia ni Pembetatu au kama Tofali aisee hapo kungekua na tatizo kubwa sana
Ningekushauri the other way out. Kwa sasa huna tatzo nami sina cha kukushauri
Soma hadithi yote kwanza mkuu!
 
Mkuu naona umefanya jogoo la kuazimwa na umeazimwa kweli kweli...

Tatizo ya jogoo la kuazimwa, itapofika kipindi haliwezi fukuzia mitetea tena huwa linachinjwa na hadithi yake kuishia hapo...

Sasa mkuu, wewe kama jogoo hapo kati ulishachinjwa lakini naona kama wataka kufanya unimaginable kwa kufufuka na kurejea tena enzi...

Ulifanya kosa mara moja, pengine mara mbili au zaidi, haina maana sasa urudie kosa lile lile...
Mwenzenu kanogewa na shape ya clara
 
Kwa kweli Clara ligi nyingine.
Aliniambia kuna siku, kuna lijamaa likamfuata akitembea barabarani, muda mrefu tu akiomba wawe wapenzi.
wewe umenogewa tu


mtoto wa kike kufuatwa barabarani kawaida


ila nakuhurumia.......maana mkeo akijua.....itakuwa world war III, au atagongwa mpaka na bodaboda........
 
Hapo ndipo watu wengi, hasa wanawake wanashindwa kuwaelewa wanaume.
Mke wangu si kwamba simpendi la hasha.
Wote nawapenda na nina enjoy company zso.
Tofauti ya wanawake , wanaweza kuwa na uhusiano na mwanaume mmoja tu, hadi wakosane.
Utawapendaje wanawake wawili, siye tunaye mmoja tu, ni full matatizo.
 
Mkuu kila la kheri mimi nakuelewa sana na hawa wapiga ramri kuwa siku ikitokea hivi achana nao maisha ni kuifurahisha 𝑁𝑎𝑓𝑠𝑖
 
umeanza thread na mke wa mtu, unamaliza na mke wa mtu...
kilichobaki nawewe utakuwa mke wa mtu soon!
 
Back
Top Bottom