Kwa maelezo ya mtoa mada, haijajileta..Braza kum* ya Bure ni NGUMU SANAA KUIACHA.
Yaani K imejileta mwenyewe halafu uipotezee
Hiiii bagoshaaaaa.
#YNWA
Yaliyotokea huko mbele ni ya kusikitisha, kufurahisha na hata kutia moyo.Kwa maelezo ya mtoa mada, haijajileta..
Mtoa mada ndiyo kaanza kumtongoza huyo dada!
Kistaarabu alitakiwa amuache haraka sana baada ya kugundua huyo dada ameolewa.
Anyway, mimi ni nani hata niwapangie cha kufanya..
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Yaani wewe dada ndo unajua.kuna mada zikiletwa hapa wanaume wote mioyo inapoaaa, wanageuka washauri wazuri, wanakua kama walokole flani hivi, nahisi hadi pmb husinyaa kama nyanya mbovu , yani kichwani kwangu huwa nawaona kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua.....ikiletwa mada ya kugonga mke wa mtu.
Habun we huwa unawaonaje???🙄
Tupe muendelezo ndugu....tuone nguvu ya papuchi ilivokugaragaza😁Yaani wewe dada ndo unajua.
Wansume wengi hawajui kuwa kimaisha wanawake huwa wanafikiria mbali zaidi na kupima mambo mengi zaidi.
Na ndiyo essence ya hii stori.
Hahaaaaaa... Kuna comment zinachekesha mno. Sasa wewe Evelyn Salt umefikiria ninikuna mada zikiletwa hapa wanaume wote mioyo inapoaaa, wanageuka washauri wazuri, wanakua kama walokole flani hivi, nahisi hadi pmb husinyaa kama nyanya mbovu , yani kichwani kwangu huwa nawaona kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua.....ikiletwa mada ya kugonga mke wa mtu.
Habun we huwa unawaonaje???![]()
hahahha pitia thread za mwanaume kugonga mke mtu, yani wanaume wanakua wametangaziwa msiba, wanaume wanashusha waraka wa mitume, ila ngoja meza ipinduke mme wa mtu agonge utasikia....piga mbususu ya bure, acha uzembe kula papuchi hiyo.... maneeenah!!!Hahaaaaaa... Kuna comment zinachekesha mno. Sasa wewe Evelyn Salt umefikiria nini
Bado ni yaleyale! Uzinzi hauna justification..hahahha pitia thread za mwanaume kugonga mke mtu, yani wanaume wanakua wametangaziwa msiba, wanaume wanashusha waraka wa mitume, ila ngoja meza ipinduke mme wa mtu agonge utasikia....piga mbususu ya bure, acha uzembe kula papuchi hiyo.... maneeenah!!!
Ha ha ha!hahahha pitia thread za mwanaume kugonga mke mtu, yani wanaume wanakua wametangaziwa msiba, wanaume wanashusha waraka wa mitume, ila ngoja meza ipinduke mme wa mtu agonge utasikia....piga mbususu ya bure, acha uzembe kula papuchi hiyo.... maneeenah!!!
Kwa kweli nimekula somo, usicheze na mwanamke aliyedhamirua yake!Tupe muendelezo ndugu....tuone nguvu ya papuchi ilivokugaragaza😁
Bona siku hizi hofu ya mungu na neno lake hamna au haiko, mtu amekwambia ni mke wa mtu, kusikia hayo tu, ungepiga STOP,ufahamu upandacho ndicho unavuna period, pale huyu mke wa mtu alikuambia hilo ungemwambia asante wa kuwa mkweli kuazia leo sisi ni marafiki tu, hakuna zaidi, haijalishi hana mtoto , mume hazai au hili au kile, ni mke wa MTU. ungempa ushauri kaa hi hivyo muadapt mtoto, yeye na mume wake au umuachie maamuzi, lakini story za awe mpenzi zingeoshia hapo.mimi hata binti akiniambia ako na boyfreand , story mimi nasimalizia hapo, bona mabinti warembo wa kutupa wamejaa, bona niende kuharibu ndoa ya mtu, na nivuje amri ya mungu, NOT ME PLS
Ukishajua mwanamke ameolewa, kwanini uendelee nae?
Jaribuni kuheshimu ndoa za watu!!!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Kuna ndugu yangu mmoja nae namuona kabisa anavoelekea kupigwa na kitu kizito kichwani....ana maisha ya amani na mkewe, kuna gubegube mmoja waliachana wakiwa na mtoto, yule dada karudi tena Mimi wifi mtu nilishapewa alert " huyo mke akae atulie kakako ni mme wangu" sasa broo anarembuliwa anadhani kuna mapenzi ngoja aoneshwe rangi.....Kwa kweli nimekula somo, usicheze na mwanamke aliyedhamirua yake!