Ushauri wenu, dunia naona mviringo!


Hapo mkeo na watoto utawakumbuka baadae😅😅😅
 

Kwa hiyo mwamba amri ya Mungu unaijua kwa mke wa mtu tu, haukusoma kwamba hata hao mabinti unaosema wapo wengi amri inakataza? Pia usiwe vuguvugu. Kama unazotaja amri, fuata zote hauwezi kutekeleza chache tu.

Wewe sema tu nafsi yako inakusuta au hauoni vizuri kuwa na mke wa mtu, usilete mambo ya amri kabisa.
 
Nkamu em lete muendelezo; kama nakuona ulivyoifukuza amani yako na ya ndoa yako, ukaikaribisha vita.

"...Niko chini ya Mwambaa, mwamba juu yanguu...wambie adui zangu, nipo chini ya Mwambaa..."

Hadi hapo ujue tu kwamba sijakuzaa, full amani.

Hizi stress zingine hapana kabisa, najua tu aliharibu, utaona mwisho wa simulizi.
 
kila mtu abaki na necha zake.... wanawake necha zetu nyingi ni siri make pale bustanini rol modo wetu aliongea mengi na baby nyoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli kila mtu abakie na necha zake!
 
Wamekutana pwagu na pwaguzi. Na kila siku tunawasema singo mommas hawana misimamo; sasa sijui hao singo daddies wanaopasha viporo na wazazi wenzao ndiyo wana misimamo? Kuna watu wana allergy na amani; ngoja tusubiri hilo la Hiroshima sisi

Em ongeza kidogo volum iko chini sana, rudia kwa nguvu kidogo tafadhali.
 
Jamaa linataka kuleta series za kihindi sasa
 
We usidanganywe, hatujawahi kuwa wengi kabisaaa.

Ingekuwa heri kama ungefanya kampango ka ubuyu mpendwa.

Hayo tutaongea faragha mpendwa, kwa sasa acha kwanza tumpe ushauri jemedari. Japo kimsingi, wanaume wote tunahitaji ushauri...kinachotutofautisha ni level ya majanga tu.

Heaven Sent sijakuzaa narudia tena, mwaka bado una makaratasi mpyaaa ndio tunaufungua, sijakuzaa.
 
Kuna papuchi za kula kama tulivyokubaliana katika umoja wa wanaume


Ila hizo za wake za watu hazipo kwenye katiba japo we are polygamist in nature


kwa yeyote yule mwanachama atakayetoka nje ya ibara atajua mwenyewe siku akiliwa kiboga
 
Teh una mbwembwe. Usiharibu tu ankal, maana kigugumizi kitahamia kwenye mtetemo
 
Hahaha si nakuona una amani kama zote. Mungu akuepushe na mabalaa

Tazama ya kale yamepita yamekua mapya, hauamini kama hayo ni maneno kutoka kwa Baba K na M

Hapa tu wiki hii nimevuka mitego ya hatari, kama sio tuition ya mwaka jana ingekua najutia. Sasa hivi sidanganyiki!!

Na mie kile kipindi niliiona duara kabisa yaani dunia mviringo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…