Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

kuna mada zikiletwa hapa wanaume wote mioyo inapoaaa, wanageuka washauri wazuri, wanakua kama walokole flani hivi, nahisi hadi pmb husinyaa kama nyanya mbovu , yani kichwani kwangu huwa nawaona kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua.....ikiletwa mada ya kugonga mke wa mtu.
Habun we huwa unawaonaje???
Na ninyi Wanawake kuna mada zenu huwaziletwa hapa,huwa mnabaki kimyaaaa! Km vile Mtu anayesutwa.
 
We mwamba huo muendelezo upo kweli, Au umesusa ushauri??
 
Na yeye si ameoa, angeanza kuiheshimu ndoa yake kwanza.
Naona umesahau kuwa amekaa nje au mbali na mkewe kwa mwaka. Usisahahu kuwa mwili wa mwanaume Hauna reshuffle, upo active 24/7 na kila siku mbegu zinatengenezwa. Lazima atafute njia ya kuzitoa.
 
Angesafiri kwa mama watoto au mama watoto angemfuata huko alipo wapoozane engines. Hizi hela za kuzitafuta at the expense of your family; madhara yake tunakujaga kuyaona ikiwa too late
Naona umesahau kuwa amekaa nje au mbali na mkewe kwa mwaka. Usisahahu kuwa mwili wa mwanaume Hauna reshuffle, upo active 24/7 na kila siku mbegu zinatengenezwa. Lazima atafute njia ya kuzitoa.
 
Angesafiri kwa mama watoto au mama watoyo angemfuat huko alipo wapoozane engines. Hizi hela za kuzitafuta at the expense of your family; madhara yake tunakujaga kuyaona ikiwa too late
Majukumu dada yanabana. Mke anaangalia watoto hamna wa kumwachia. Najaribu kujiweka kwenye viatu vya mleta mada, hili jambo nalielewa.
 
kuna mada zikiletwa hapa wanaume wote mioyo inapoaaa, wanageuka washauri wazuri, wanakua kama walokole flani hivi, nahisi hadi pmb husinyaa kama nyanya mbovu , yani kichwani kwangu huwa nawaona kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua.....ikiletwa mada ya kugonga mke wa mtu.
Habun we huwa unawaonaje???🙄

Sasa hujajua tu, wagongaji wakubwa wa wake za watu ni waume za watu, na kinyume chake...

Hiyo ndio trend ya sasa...
 
Amekwambia amekosea njia? Na kama alikosea njia, basi angempa mkewe talaka kisha akaoe huyo ambaye yupo kwenye njia sahihi naye.

Ukitaka kuishi maisha ya ufuska kwa uhuru: usioe wala kuolewa. Ndoa ni Agano linalofaa kuheshimiwa
Ngoja tuone sehemu zilizo bakia.
 
kuna mada zikiletwa hapa wanaume wote mioyo inapoaaa, wanageuka washauri wazuri, wanakua kama walokole flani hivi, nahisi hadi pmb husinyaa kama nyanya mbovu , yani kichwani kwangu huwa nawaona kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua.....ikiletwa mada ya kugonga mke wa mtu.
Habun we huwa unawaonaje???
Na vifungu vya biblia vya kukataza dhambi huwa wanavikumbuka
Ila sasa ije iloegemea upande wao sasaaaaaa Suleiman na mitume wake mbona wanakoma
 
kuna mada zikiletwa hapa wanaume wote mioyo inapoaaa, wanageuka washauri wazuri, wanakua kama walokole flani hivi, nahisi hadi pmb husinyaa kama nyanya mbovu , yani kichwani kwangu huwa nawaona kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua.....ikiletwa mada ya kugonga mke wa mtu.
Habun we huwa unawaonaje???
Wanajifanya watakatifu
 
Back
Top Bottom