Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,997
- 137,035
Mie sitaki mitalaLakini sii unakuwa mke wa pili dada yetu. Ujue siku zinaenda na sie twataka kula wali mchafu

Mie sitaki mitalaLakini sii unakuwa mke wa pili dada yetu. Ujue siku zinaenda na sie twataka kula wali mchafu

Alikua ananidanganya kumbe hanipendi 😭Huyo mchumba ana mchumba wake,
Rasmi utakua mwenyeweMie sitaki mitala![]()
🤣🤣🤣🤣 Wataka utulie na mume wako weye peke au sio. Usijali dada yetu mpendwa tutakula kile unachotakaMie sitaki mitala![]()
Hatimaye umeonekana kwa mbaali bwashe mzabzab umekimbiaMie sitaki mitala![]()
Hamnaga kitu kama hicho kwa mwanamke. Waliolewa wanatongozwa sembuse wewe ulie single 🤣🤣🤣🤣Pole, ushawahiwa😃😃🙌
MNa uhakika kwamba mnajiheshim au mna pretend tu but infact mmeamua ku settle for less??.Kujiheshimu sio pesa
Dah😀😁🤒Kutongozwa ni kawaida wajina wangu,
Akili kichwani mwako.
Ukiwa unajilegeza humu,utalambwa sana na wahuni.
Sio wewe kweli unayezungumziwa hapa?Kumbe binti Maua Unique Flower, una teswa na mapenzi 😁🤣😂🤒
KabisaWatu wanawengi na hawataki wengine wapate kama ulipata tulia sio una badili ID hamsini na nduguzi na kuchafulia mtu kwasababu amepata ulipata na hukusumbuliwa so kimya. Mimi nikimwona mtu ambaye ni double anatongozwa humu na muabisha
Mie siwapondi wala ila kuna saa mnakeraMi nna wangu sasa hivi, single mama nilyejitfuta nikapatwa. endeleeni kutuponda😉
Sema tu nina nani humu wataje upewe habari kamili wanaakazi gani??MNa uhakika kwamba mnajiheshim au mna pretend tu but infact mmeamua ku settle for less??.
Eheh..haya maandish yako kuna mufa yanakua kama sio ya kiswahili 😂😂 kwenye nyuzi na comment zako nyingi.Kuna time utadhan unaandika ukiwa high!!😆Sema tu nina nani humu wataje upewe habari kamili wanaakazi gani??
SI Tulikubaliana, Mimi na wewe tuwe masingle 😁🤣😂🤒Sio wewe kweli unayezungumziwa hapa?
Shoo hapana ni mwingine kwani anajitambua basi mpaka aniumize kichwa ?? Nj best kama wengineSio wewe kweli unayezungumziwa hapa?
Aah nikajua ni huyu kijanaShoo hapana ni mwingine kwani anajitambua basi mpaka aniumize kichwa ?? Nj best kama wengine
Ndio nilitaka kushangaa umenisaliti mdau 😅SI Tulikubaliana, Mimi na wewe tuwe masingle 😁🤣😂🤒