Ushauri wa bure

Ushauri wa bure

Mrembo Maua mboni unakua hivyo wewe si unataka nikutongoze na wewe
Mie huyu dada anaolewa soon so kwasababu nilipewa jukumu yakumlinda hadi ndoa basi nikaingilia kati usiharibu ila mie jomba nasema ukweli sinaga wivu na mtu yeyote humu, napia sitakagi kutongozwa humu sipendi kumuumiza mtu so elewa hilo, natongozwa sana humu ila siwezi kukubali nimeamua kuweka maisha yangu private
 
Sawa Miss Maua nimekuelewa
 
Mkuu kaa kijanja kimasihara inatembea kichizi humu.
Ila pole sana 😂🤣
 
Maisha yalivyo resi unaweza sema niache kutongoza nijiheshimu kwakuwa niko na mtu kumbe mtu huyohuyo huko nje akitongozwa wala hakuwazi 😀

Njoeni tubaki single
 
Back
Top Bottom