Kumbe kuna wahuni humuKutongozwa ni kawaida wajina wangu,
Akili kichwani mwako.
Ukiwa unajilegeza humu,utalambwa sana na wahuni.
Kumbe kuna wahuni humuKutongozwa ni kawaida wajina wangu,
Akili kichwani mwako.
Ukiwa unajilegeza humu,utalambwa sana na wahuni.
Tangia kitambo mbona, sijawahi date mtu.Lenie upo single tokea lini?? Bibie tuambie tangia mwaka gani nani kakuwekea hiyo nuksi
Kwani SI tuna ninininini 😂😁 LenieTangia kitambo mbona, sijawahi date mtu.
Hapa ni full usingle me na mwanangu Intelligent businessman
Mwanao hili lizeeTangia kitambo mbona, sijawahi date mtu.
Hapa ni full usingle me na mwanangu Intelligent businessman
Mshkaji wanguMwanao hili lizee
Yes hapo sasaMshkaji wangu
Haya ni lakiKani ombee msamaha 🙏🤒
Na mtaachana tu...😞Mimi nimempata wa ubavu, hamtaniona tena nalialia humu.
anamchekea sana mshamba_hachekwi ananiuzi na mm nikaona nilipize 😅Kama unamtu serious humu mwambie asiwe anajirahisisha , kama unajua unamtu punguza kuishi humu kama single lady au single man jitoe humu, maana sasa wengine ila sio mie , wanajua waliohumu wapo free kumbe kashikwa.
Unajua bisa mtu wako anasoma unatongoza humu mtu mwingine inakera . Hata kama ukimuhakikishia haupo na mtu humu kama hujipi mipaka sio fresh.
Mwisho pendeni kutopotezea mtu muda kumdanganya yupo mwenyewe , onesha upo na mtu , jieshimu acha kutongoza au kutongozwa kila kitu kiwe na mipaka . Good evening
Eh Hallo unasemaje ?? HalloUnique Flower una mchumba?
Sijaelewa unamanisha ninianamchekea sana mshamba_hachekwi ananiuzi na mm nikaona nilipize 😅
Kizee tema mate kabla sijaja hapoNa mtaachana tu...😞
Nakuja chemba tuyajenge.Eh Hallo unasemaje ?? Hallo
Si unajua nimeibiwa mchumba hapa kwahiyo nakaa kimyaMwachiluwi na mshamba_hachekwi kimya toeni maoni majangili nyie
Mzee hau miliki tunguli kweli🤣😂😂Na mtaachana tu...😞