Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,999
- 137,038
Na wewe nikutongoze basi km atanuna na aendelee kununa.
mie
Na wewe nikutongoze basi km atanuna na aendelee kununa.
mie
Nikikutongoza vizuri utaomba tu nikudinye hakuna namna au vipi nasema ukweli si ndio 😀Siwezi kununa,huo ni utoto,
Sema nilishatongozwa.siwezi ruhusu mwingine anidinye,
Hakuna kitu kama hichoNikikutongoza vizuri utaomba tu nikudinye hakuna namna au vipi nasema ukweli si ndio![]()
,Mdinyo hauzuiliki ukielewa mtongozo utadinywa tu 😀
Kujiheshimu sio pesaKWahiyo unatupangia maisha?!.
Mtapunguzwa uzito na nani sasa tukisema tukomae na tulio nao pekee yao.?
Loooh basi mie nilishauelewaga mmoja,mingine kelele tu.Mdinyo hauzuiliki ukielewa mtongozo utadinywa tu![]()
Basi utaelewa tu mingine very soonLoooh basi mie nilishauelewaga mmoja,mingine kelele tu.
Bila kutongozana wewe usingekuwapo duniani hivyo acha upuuziKama unamtu serious humu mwambie asiwe anajirahisisha , kama unajua unamtu punguza kuishi humu kama single lady au single man jitoe humu, maana sasa wengine ila sio mie , wanajua waliohumu wapo free kumbe kashikwa.
Unajua bisa mtu wako anasoma unatongoza humu mtu mwingine inakera . Hata kama ukimuhakikishia haupo na mtu humu kama hujipi mipaka sio fresh.
Mwisho pendeni kutopotezea mtu muda kumdanganya yupo mwenyewe , onesha upo na mtu , jieshimu acha kutongoza au kutongozwa kila kitu kiwe na mipaka . Good evening
Wewe hutaki kutongozwa una mapungufu gani?Kujiheshimu sio pesa
Hapana,ningeshaelewaga mbonaBasi utaelewa tu mingine very soon
,,,,,,,,,sema nini sio shida zangu.Hutaki utongozwe kwani una mapungufu gani? Hutaki udinywe kwani una mapungufu gani hapo?Hapana,ningeshaelewaga mbona,,,,,,,,,sema nini sio shida zangu.
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Sio sitaki kutongozwa,elewa nishatongozwa na ninatongozwa sana,Hutaki utongozwe kwani una mapungufu gani? Hutaki udinywe kwani una mapungufu gani hapo?

Kwa hio unamshauri nini Maua anaeogopa kutongozwa?Sio sitaki kutongozwa,elewa nishatongozwa na ninatongozwa sana,
Ukidinywa na mmoja inatosha,nimefundishwa na mama mtoto wa kike ni kuutunwa mwili wake,na kuutunzwa kwenyewe sio kula ugali,
Hapa mama yangu nilimuelewa sana![]()
Asiogope,kwa mtoto wa kike ni kawaida,ata waliopo kwa ndoa wanatongozwa,na mwanaume anajua kabisa huyu ni mke wa mtu lkn anakutongoza,,,,,sembuse humu watu hatujuani,Kwa hio unamshauri nini Maua anaeogopa kutongozwa?
Sawa sawa vizuri kwa kufunguka saafi kabisa, umeshaolewa lakini?Asiogope,kwa mtoto wa kike ni kawaida,ata waliopo kwa ndoa wanatongozwa,na mwanaume anajua kabisa huyu ni mke wa mtu lkn anakutongoza,,,,,sembuse humu watu hatujuani,
Akili kichwani mwako.
Wewe jibu swali hilo mbon mengine ushajibu bila kuteteleka hapo mbon umekua na kigugumizi ghafla?
Nimeolewa.Wewe jibu swali hilo mbon mengine ushajibu bila kuteteleka hapo mbon umekua na kigugumizi ghafla?
Hongera kwa kuolewa 😀Nimeolewa.