🤣🤣🤣 Dada yetu ana tako skonsi sasa tunahitaji ngombe 50 chini ya hapo wacha aendelee kujaza choo cha nyumbani kwetu
Hebu tutajie tutakulindaAchenj kuongeza madanga,kujichanganya na masingle ladies and gents mnaboa
Dada yetu ana tako skonsi sasa tunahitaji ngombe 50 chini ya hapo wacha aendelee kujaza choo cha nyumbani kwetu


sasa usiwe unanisimanga,mara nina gundu yaani
Duuh 50 natanguliza watano hao 45 ntapunguza taratibu taratibu Ila dada yako anasema ameolewa au mnamuoza Mara ya Pili? 😃🤣🤣🤣 Dada yetu ana tako skonsi sasa tunahitaji ngombe 50 chini ya hapo wacha aendelee kujaza choo cha nyumbani kwetu
Tulia dada yetu wewe ni mzuri sie kaka zako hatukutoe bure bure sio kwa tako skonsi ulionalo. Lazima tupate ngombe 50 haposasa usiwe unanisimanga,mara nina gundu yaani
![]()
Muache mchumba wanguLeejay49 njoo nikutongoze km atanuna na anune tu
Tulia dada yetu wewe ni mzuri sie kaka zako hatukutoe bure bure sio kwa tako skonsi ulionalo. Lazima tupate ngombe 50 hapo




Mwenye dada hakosi shemejiTulia dada yetu wewe ni mzuri sie kaka zako hatukutoe bure bure sio kwa tako skonsi ulionalo. Lazima tupate ngombe 50 hapo
Kutongozwa ni kawaida wajina wangu,
Akili kichwani mwako.
Ukiwa unajilegeza humu,utalambwa sana na wahuni.




ongezaa sautiiii.Tulia dada yetu wewe ni mzuri sie kaka zako hatukutoe bure bure sio kwa tako skonsi ulionalo. Lazima tupate ngombe 50 haposasa usiwe unanisimanga,mara nina gundu yaani
![]()
Njoo uchukue mali safi hii weweMwenye dada hakosi shemeji




kwa kweliTulia kwanza nimtongoze hukumsikia Shamsa Fodi anasema ana mume Ila akitokea mwanaume wa kueleweka anamuacha na kuolewa upya maana wameoana Ila wapo wapo tuMuache mchumba wangu
Akuje nimuone huko pm nione hiyo skonsi inayosifiwaNjoo uchukue mali safi hii wewe
Akinuna na anune tu acha nikutongoze kwanza 😃Jamani 😃😃,,me niko na mtu humu nisije nikaachwaa niacheee 😃😃😃🙌
Hebu tuone kwa Leejay49Tulia kwanza nimtongoze hukumsikia Shamsa Fodi anasema ana mume Ila akitokea mwanaume wa kueleweka anamuacha na kuolewa upya maana wameoana Ila wapo wapo tu
Ah wee ukimuona tuu lazima ufindishe. Na alivyo mchapa kazi utafurahiAkuje nimuone huko pm nione hiyo skonsi inayosifiwa