Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,532
- 105,240
Nakusubiri maana room nishalipia, labda useme utakula nini tufanye oda..😋Kizee tema mate kabla sijaja hapo
Nakusubiri maana room nishalipia, labda useme utakula nini tufanye oda..😋Kizee tema mate kabla sijaja hapo
Dahhhh dunia simame nishuke😂🤣Nakusubiri maana room nishalipia, labda useme utakula nini tufanye oda..😋
Umeenda kuroga kwenu uko sioNakusubiri maana room nishalipia, labda useme utakula nini tufanye oda..😋
Waache watoto warembo wote waje kwangu...☺Umeenda kuroga kwenu uko sio
Wakat juz mkeo kakukimbia kaenda kwa mama mkwe kushatk sikuiz kimoja ndanj ya dadika mbili teyar 😂😂😂Waache watoto warembo wote waje kwangu...☺
Tatuzi vijana skuizi hamuaminiki tena na mabinti..🤣
Kataa ndoa, ndoa ni uhaini...☹️Wakat juz mkeo kakukimbia kaenda kwa mama mkwe kushatk sikuiz kimoja ndanj ya dadika mbili teyar 😂😂😂
Unamjue Aliyetuunganisha ?Na mtaachana tu...😞
I am not for Sale or RentNakusubiri maana room nishalipia, labda useme utakula nini tufanye oda..😋
Nimeshamtongoza tayari haya unataka nikutongoze na wewe?Ngoja nipite tu hivi
Akuuu nitoe huko ila ngumi itakuhusu soonNimeshamtongoza tayari haya unataka nikutongoze na wewe?
Nikutongoze upya au unamaanisha nini Mrembo MauaAkuuu nitoe huko ila ngumi itakuhusu soon
Hapana wewe ni wabest yangu so mie nilikuwa namtania tu so hapanaNikutongoze upya au unamaanisha nini Mrembo Maua
Kivumbi na Jasho usiwe na wasi Mrembo MauaHapana wewe ni wabest yangu so mie nilikuwa namtania tu so hapana
Aku mie thijui kama niko thingo au dabo ngoja nimuulithe mama thiko thingle ngoja nitakuambia how na kakak fulani jf humu kananitaka ila thimtaki ina namtaka thatha sijui namtaka au thimtaki??Kivumbi na Jasho usiwe na wasi Mrembo Maua
Eee kwa hio unataka nikutongoze na weweAku mie thijui kama niko thingo au dabo ngoja nimuulithe mama thiko thingle ngoja nitakuambia how na kakak fulani jf humu kananitaka ila thimtaki ina namtaka thatha sijui namtaka au thimtaki??
Hapana mie sitakiMrembo Maua mboni unakua hivyo wewe si unataka nikutongoze na wewe
Haya sawa Miss MauaHapana mie sitaki