HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,258
- 103,420
Hiyo mikoa itakuwa imesimama?Dom inaikuta Arusha baada ya miaka 5...,Mwanza miaka 10....,Dar miaka 15.."
Alisikika mlevi mmoja katika bar ya kibaigwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mikoa itakuwa imesimama?Dom inaikuta Arusha baada ya miaka 5...,Mwanza miaka 10....,Dar miaka 15.."
Alisikika mlevi mmoja katika bar ya kibaigwa...
Kinachotofautisha hadi mnaona hivyo ni kwa sababu miji kama dar,mwanza,mbeya,kahama,arusha and the likes ni miji ambayo watu wanakuja na kutoka for the sake of business kwa kuwa inakuwa inategemewa na maeneo mengine kama supplies centres zao na pia kama masoko yao lakini pia hiyo miji ina solid resources zinazowavutia wafanyabiashara unlike DodomaMimi nipo Dom mwaka wa sita na investment zangu mbili zipo arusha...moja kibanda cha mpesa na guta la kubebea mizigo....kiukweli dom hakuna kitu,mm mwenyewe soon naondoka huku watu pesa hawana kulinganisha na mikoa kama dar,arusha,mwanza,klm,mbeya,iringa na mingine inayofanana na hiyo......kama wakitaka kuja waje,ila wajue watachomwa na jua mpaka wakome
Huyo jamaa akili za kutambua aina ya biashara ya kuifanya hana ,huu ni mji wa serikali tena uko moto kwa ujenzi kwa sasa eti yeye anataka alete carrot apate bei kubwa lazima apaukenina hardware dodoma, duh, wateja wengi mpaka nawakimbia, sasa we dodoma unaenda kuuza chips yai utaacha kulalamika? uza hata nguo wanachuo wengi utapatapo wateja
Uko sahihi mkuu,acheni kulalamika,watu wanatengeneza pesa kwa kuchangamkia fursa nyinyi mnabaki kulalamika eti watu wachache,kwahiyo atakaewajazia hao watu ni nani badala ya nyinyi wenyewe kwenda kujaza hao watu? acheni kupenda maisha ya kudandia watanzania wenzangu tukiamua kila kitu kinawezekana,pesa Dodoma ipo inategemea unataka kuwekeza kwenye kitu gani...Fursa zipo nyingi, watu wanapiga pesa kama kawaida, ni jicho lako na upeo wako ndio utakufanya uwe bora katika uwekezaji wa pesa zako.
Hamna sehem utaenda utaokota pesa kirahisi kama unavyoaminisha labda uwe ni tapeli ingawa hata wao huitaji akili nyingi nguvu kidogo.
Umesoma hadi mwisho wa comment...?
Define maisha magumu.Aman itamalaki kwenu
Leo nimejitolea kutoa ushauri wa bure kabisa bila malipo. Toka Rais atangaze Dodoma kuwa makao makuu ya nchi watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Dodoma mambo ni shwari sana. Ukweli ni kwamba Dodoma mambo ni magumu sana hakuna mzunguko wa pesa wala nini.
Ni pakame sana na pana watu wavivu sana wasio penda kazi. Kwa hiyo basi ndugu zangu msije Dodoma. Kuna watu wengi sana wanakuwa wanatoka mikoa yao na kuja Dodoma wakidhani kuna maisha mazuri na maisha ni magumu sana
Hakuna pesa wala nini. Kwanza flame bei juu na hakuna pesa kabisa
Shauri yenu
Hawa wanaopondea sio wafanyabiashara ila watumishi ambao hawataki kuhamia dom kwa sababu zao binafsi sasa unfortunately ndio imetokea hutaki unaacha kaziHahahaha vipofu nini ??
Nyie wa dar endeleeni kuogelea kwenye madimbwi na kuishi uswahilini/slums zenu uchafu unanuka hovyo watu wengi kama siafu sijawahi penda Dar nimeishi miaka 6 hukoKwa kweli yaan,Dar ingeendelezwa na kupangwa mpya,kama kule luanda Angola.huko pange baki mkoa tu na bunge lao
Mimi Niko Dom na huwa nakuja Mara kwa Mara ....Hawa wanaopondea sio wafanyabiashara ila watumishi ambao hawataki kuhamia dom kwa sababu zao binafsi sasa unfortunately ndio imetokea hutaki unaacha kazi
So far Dodoma imeendelea kuliko miji mingi sana ya Tzn ushahidi ni ujenzi mkubwa unaofanywa na watu binafsi sasa kama watu hawana pesa wanatumia mavi kujenga au?
Miji kama moshi,Iringa,Mbeya,Tanga and the likes kama mwanza sijui arusha inaizidi nini Dodoma? Mwanza inaongoza kwa umaskini sasa kuna nini cha zaidi? hata ukipita tuu unaona pako njema kuliko huko kwingine.Kwa vile huwezi kuta watu wamerundikana kama hiyo miji mingine ndio eti dom haijaendelea,this rubbish and non sense
Ko hata makazi ya watu ni serikali inajenga? Pili huo ni mji wa kiserikali hayo mnayotaka bakieni nayo huko mlikotoka sio kila sehemu panafaa uchuuzi,mnafaa mjue kutofautisha kati ya capital cities na commercial citiesMimi Niko Dom na huwa nakuja Mara kwa Mara ....
Asilimia 70 ya miradi ya Ujenzi hapa Ni ya serikali na sio watu binafsi ... Hizi programs zikiisha Dom itakuwa dormant... Kuna sababu nyingi kwanini dom itasinyaa na zipo wazi labda ujifanye kipofu
Dom haina shughuli nyingi za kiuchumi Kama Mbeya , kahama , mwanza au Arusha ... Huu Ni ukweli mchungu ...
Kinachowavuta watu sehemu ni shughuli za kiuchumi (uvuvi, UFUGAJI, ukulima , madini, usafirishaji n.k))... Hivi vyote Dodoma vipo kwa kiasi kidogo au Hakuna kabisa ....
Kwasasa watu ni Kama wamerusha shilingi ndio maana unaona watu wengi Dodoma ila nakwambia miradi yote ikikamili na mji ukianza kuwa kwenye "Acceleration" hakuna mji utakao kuwa wa hovyo Kama Dom ... Utakuwa Ni mji mzuri ila wa kuspend na sio kutafuta maisha Kama wengi wanavyodhani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichanganye mkoa wa Mwanza na jiji LA Mwanza wewe zwazwaHawa wanaopondea sio wafanyabiashara ila watumishi ambao hawataki kuhamia dom kwa sababu zao binafsi sasa unfortunately ndio imetokea hutaki unaacha kazi
So far Dodoma imeendelea kuliko miji mingi sana ya Tzn ushahidi ni ujenzi mkubwa unaofanywa na watu binafsi sasa kama watu hawana pesa wanatumia mavi kujenga au?
Miji kama moshi,Iringa,Mbeya,Tanga and the likes kama mwanza sijui arusha inaizidi nini Dodoma? Mwanza inaongoza kwa umaskini sasa kuna nini cha zaidi? hata ukipita tuu unaona pako njema kuliko huko kwingine.Kwa vile huwezi kuta watu wamerundikana kama hiyo miji mingine ndio eti dom haijaendelea,this rubbish and non sense
Hawa wanaopondea sio wafanyabiashara ila watumishi ambao hawataki kuhamia dom kwa sababu zao binafsi sasa unfortunately ndio imetokea hutaki unaacha kazi
So far Dodoma imeendelea kuliko miji mingi sana ya Tzn ushahidi ni ujenzi mkubwa unaofanywa na watu binafsi sasa kama watu hawana pesa wanatumia mavi kujenga au?
Miji kama moshi,Iringa,Mbeya,Tanga and the likes kama mwanza sijui arusha inaizidi nini Dodoma? Mwanza inaongoza kwa umaskini sasa kuna nini cha zaidi? hata ukipita tuu unaona pako njema kuliko huko kwingine.Kwa vile huwezi kuta watu wamerundikana kama hiyo miji mingine ndio eti dom haijaendelea,this rubbish and non sense
Mimi Niko Dom na huwa nakuja Mara kwa Mara ....
Asilimia 70 ya miradi ya Ujenzi hapa Ni ya serikali na sio watu binafsi ... Hizi programs zikiisha Dom itakuwa dormant... Kuna sababu nyingi kwanini dom itasinyaa na zipo wazi labda ujifanye kipofu
Dom haina shughuli nyingi za kiuchumi Kama Mbeya , kahama , mwanza au Arusha ... Huu Ni ukweli mchungu ...
Kinachowavuta watu sehemu ni shughuli za kiuchumi (uvuvi, UFUGAJI, ukulima , madini, usafirishaji n.k))... Hivi vyote Dodoma vipo kwa kiasi kidogo au Hakuna kabisa ....
Kwasasa watu ni Kama wamerusha shilingi ndio maana unaona watu wengi Dodoma ila nakwambia miradi yote ikikamili na mji ukianza kuwa kwenye "Acceleration" hakuna mji utakao kuwa wa hovyo Kama Dom ... Utakuwa Ni mji mzuri ila wa kuspend na sio kutafuta maisha Kama wengi wanavyodhani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe unazungumzia hisia na ushabiki wa kikanda ....Ko hata makazi ya watu ni serikali inajenga? Pili huo ni mji wa kiserikali hayo mnayotaka bakieni nayo huko mlikotoka sio kila sehemu panafaa uchuuzi,mnafaa mjue kutofautisha kati ya capital cities na commercial cities
Naona wanajidanganya na kuishia kucheka...Na utaspend wapi ndugu yangu ? Mji hauna fukwe wala mbuga ya wanyama karibu bali umezungukwa na mitunduri tu. Dodoma ni ya hovyo tu . Full stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe usikurupuke. Nani kakwambia kwamba Jiji la Mwanza ni maskini ? Usichanganye taarifa za mikoa na majiji. Pamoja kwamba unatumia nguvu kubwa kulitetea jiji la Dodoma, lakini ukweli unabaki kwamba Dodoma bado mzunguko wa pesa siyo mzuri kwa sababu ya ukame uliokithiri. Hivyo, mtu anayetaka kuwekeza Dodoma awe mwangalifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzushi,Mwanza gani frame elfu 70?Au unaishi Misungwi?
bitter truthManeno ya watu wa Dar wakija mikoani ndio hayo. Ooh hakuna mzunguko wa pesa.. hivi na hivyo! Halafu unamkuta hata kiwanja kashindwa kununua..kwa pesa anazopata huko penye mzunguko
Pole sana unaongea na mtu amabye yuko Mwanza kabla hujazaliwa. Huko unakotaja Katoro matajiri na wachuuzi wote ikiwemo na Kahama wakitajirika wanawekeza Mwanza. Ukuaji wa Jiji la .Mwanza haujaathiriwa na kuzorota kwa zao la pamba kama unavyotaka kuwa kuwadanganya wasioijua Mwanza. Mwanza inazidi kuoanuka ndio maana sasa hivi upande wa kusini limeungana na wilaya ya Misungwi na ukienda mashariki jiji limeungana na Kisesa ambayo ni wilaya ya Magu. Hiyo Katoro yako unayoisema bado ni kijiji tu na inajengwa bila pla wala mitaa. Hapo watu wakipata fedha wanahamia Jijini. Hakuna mwenye pesa yake ndefu anaweza kuishi Katoro. Hilo ni eneo la kutafuta na kusepa.Wewe usikurupuke. Nani kakwambia kwamba Jiji la Mwanza ni maskini ? Usichanganye taarifa za mikoa na majiji. Pamoja kwamba unatumia nguvu kubwa kulitetea jiji la Dodoma, lakini ukweli unabaki kwamba Dodoma bado mzunguko wa pesa siyo mzuri kwa sababu ya ukame uliokithiri. Hivyo, mtu anayetaka kuwekeza Dodoma awe mwangalifu.
Sent using Jamii Forums mobile app