Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Mmmmmh walisema mzunguko umeongezeka au shughuli za serikali zimehamia huko. By the way watumishi wa serikali wako wangapi hao wa kuongeza mzunguko? Siyo Kila kitu lazima kifanywe siasa.
Hao watumishi wenyewe wameminywa na Jiwe. Huo mzunguko utoke wapi?
Furaha yake kubwa ni kuona watu wanalia hali ngumu. Hapo roho yake kwatu.
 
Mimi nipo Dom mwaka wa sita na investment zangu mbili zipo arusha...moja kibanda cha mpesa na guta la kubebea mizigo....kiukweli dom hakuna kitu,mm mwenyewe soon naondoka huku watu pesa hawana kulinganisha na mikoa kama dar,arusha,mwanza,klm,mbeya,iringa na mingine inayofanana na hiyo......kama wakitaka kuja waje,ila wajue watachomwa na jua mpaka wakome
 
Chai tamu sana hiyo! Umeinvest Guta na kibanda cha Mpesa huko Arusha na ni wazi unapiga Pesa huko. Sasa huu mwaka wa sita upo Dodoma si bora ungerudi Arusha kuisimamia vyema miradi yako. Sasa huko Dodoma unafanya nini? Yaani unakubali kuchomwa na jua hadi ukome!
 
Back
Top Bottom