Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,786
Ubarikiwe mkuuKatika moja ya sehemu ambazo hazijawahi hata kunivutia kwenda/kuishi basi ni huko dodoma
Ubarikiwe mkuuKatika moja ya sehemu ambazo hazijawahi hata kunivutia kwenda/kuishi basi ni huko dodoma
Wafanyakazi wa hapa wanaishi dar hivyo ikifika ijumaa huwa wanasepa zao dar na kwenda kufanya manununuzi yote hukoAsanteni kwa kutufahamisha.Nilikuwa na mpango wa kuuza nyumba yangu Sakina Arusha nihamie Dodoma kufungua hardware ,Sije tena Phuck it.
kuna mikoa kama DSM/Mwanza/Morogoro...kilichosaidia kuchangamsha wenyeji ni WAGENI kutoka kila pahala Tanzania..naamini hata Dodoma itakuja changamkaaa
Angalia mikoa/miji waliyopingana na wageni ka imebadilika? ipo vile vile...kuanzia January hadi December...1990's adi 2010's haibadiliki
Wewe Punic mimi nishatoa ushaur wa bure
Aman itamalaki kwenu
Leo nimejitolea kutoa ushauri wa bure kabisa bila malipo. Toka Rais atangaze Dodoma kuwa makao makuu ya nchi watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Dodoma mambo ni shwari sana. Ukweli ni kwamba Dodoma mambo ni magumu sana hakuna mzunguko wa pesa wala nini.
Ni pakame sana na pana watu wavivu sana wasio penda kazi. Kwa hiyo basi ndugu zangu msije Dodoma. Kuna watu wengi sana wanakuwa wanatoka mikoa yao na kuja Dodoma wakidhani kuna maisha mazuri na maisha ni magumu sana
Hakuna pesa wala nini. Kwanza flame bei juu na hakuna pesa kabisa
Shauri yenu
Mkuu hii maada inahusu dodoma
Utakuwa mwenyeji wangu dodoma nakuja huko hivi karibuni...Ni kweli kabisa watu wavivu,frem bei kubwa ,nyumba za kupanga beii
![]()
Utakuwa mwenyeji wangu dodoma nakuja huko hivi karibuni...
Nipokee

♀️Kwa kweli yaan,Dar ingeendelezwa na kupangwa mpya,kama kule luanda Angola.huko pange baki mkoa tu na bunge laoKwanza mvua ya vumbi. Yaani upepo unavuma ukiambatana na vumbi ndo maana jamii ya kule macho yao yamepofuka. So take care vipofu wataongezeka huko.
Maji ni kama yana chumvi, nashangaa mtu mmoja kuamlia nchi kuhamia Dodoma. Nyerere alitaka makao makuu ya nchi yahamie kwasababu kipindi kile miundombinu kama barabara na mawasiliano ya simu, internet havikuwepo sasa hivi mawasiliano yapo, barabara nii rami, mitandao ipo so, hakukuwa na ulazima tena wa Dodoma kuifanya iwe makao makuu badala yake limetengenezwa tatizo tena, watu wanajirundika huko huku huduma muhimu kama maji safi, nyumba nzuri huduma nyinginezo zikiwa za shida. Kwanini mtu ujitengenezee shida na muda wa kuishi ni kidogo??
Luminous or non luminous flame?????Aman itamalaki kwenu
Leo nimejitolea kutoa ushauri wa bure kabisa bila malipo. Toka Rais atangaze Dodoma kuwa makao makuu ya nchi watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Dodoma mambo ni shwari sana. Ukweli ni kwamba Dodoma mambo ni magumu sana hakuna mzunguko wa pesa wala nini.
Ni pakame sana na pana watu wavivu sana wasio penda kazi. Kwa hiyo basi ndugu zangu msije Dodoma. Kuna watu wengi sana wanakuwa wanatoka mikoa yao na kuja Dodoma wakidhani kuna maisha mazuri na maisha ni magumu sana
Hakuna pesa wala nini. Kwanza flame bei juu na hakuna pesa kabisa
Shauri yenu
Ooh. Embu njoo PM mara moja...Nishaondoka nipo mwanza
![]()
Tatizo ni nini?
Wacha serikali iamie uko nyie endeleeni na mishe zenu uko mlipo.

Dodoma sio kabisa kukame sijawahi ona Dodoma pagumu mfano hakuna
dodoma watu weng wanajenga kwa sabab ya huu ujio mpya wa sirikALI(watumishi wengi wanaishi kwa nyumba za kupanga). but in case ikatokea makao yakarudi daresalaam nakwambia dodoma itabaki kijj na sio mji tenanina hardware dodoma, duh, wateja wengi mpaka nawakimbia, sasa we dodoma unaenda kuuza chips yai utaacha kulalamika? uza hata nguo wanachuo wengi utapatapo wateja
Bora niende Kahama kuliko Dodoma. Yaani Dodoma promo nyingi alafu hamna kitu. Kifupi Dodoma ni Overrated