MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,104
Uzuri dodoma kitimoto na papuchi ni za kumwaga tena kwa gharama ndogo, tutakuja tu
Wkt wa mikutano Ile vyumba hupati, wadada wanatoka mikoa mbali mbali kwenda huko kudanga......Uzuri dodoma kitimoto na papuchi ni za kumwaga tena kwa gharama ndogo, tutakuja tu
Dodoma,singida hali1 kuanzia ya hewa mpaka ukame wa mzunguko wa pesaDodoma nzima inazidiwa na ilemela
Mwanza mtaan unapata frem kwa 70,80,100 na bishara inazunguka kuliko dodoma mjin sehem ambayo utalipa frem kwa laki nne wakati biashara hakunaFrem tudogooo bei ghali mpaka unawaza unaweka nn kitoshee humo ndani mpaka ulipe mfno 200k per monrh
Maneno ya watu wa dar wakija mikoani ndio hayo.. ooh hakuna mzunguko wa pesa.. ivi na ivo! Afu unamkuta hata kiwanja kashindwa kununua..kwa pesa anazopata huko penye mzunguko
Mzunguko wa pesa hakuna kabisaNdo maana unakuta kwamba tajiri namba moja dodoma ukimpeleka mwanza anakuwa wa mia moja
Andika tena ili ueleweke inaonekana hujui hata maana ya kukutana pesa na huelewi kabisa maana na sababu za mzunguko wa pesa.
Utakuwa mongoni mwa washauri hatari na wakurupukaji sana.
Ulichokiandika kinaonekana kama vumbi lenye funza.
Pia unaweza mchukua tajiri huyo huyo wa mwanza akashindwa kupata anachokipata mwanza akiwa Morogoro au Arusha, kwasababu kila eneo lina upekee wake kwa hyo ni jukumu lako mfanyabiashara kutafiti unachoweza kufanya eneo husika, huwezi lazimisha biashara za eneo fulani zika peak eneo jingine lazima uendane na eneo hilo kwa namna fulani hata kama umeboresha zaidi wazo lako.Kutoka na dodoma kukosa mzunguko wa pesa ndo maana ukichukua tajiri nambari moja dodoma ukimpeleka mwanza atashika nambari ya mia moja
Kama unataka watu wengi nenda Iringa mjini mkuu acha kulalamaShida ina kuja moja ni kimji chenye wakaaz wachache sana