Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Kwanza mvua ya vumbi. Yaani upepo unavuma ukiambatana na vumbi ndo maana jamii ya kule macho yao yamepofuka. So take care vipofu wataongezeka huko.

Maji ni kama yana chumvi, nashangaa mtu mmoja kuamlia nchi kuhamia Dodoma. Nyerere alitaka makao makuu ya nchi yahamie kwasababu kipindi kile miundombinu kama barabara na mawasiliano ya simu, internet havikuwepo sasa hivi mawasiliano yapo, barabara nii rami, mitandao ipo so, hakukuwa na ulazima tena wa Dodoma kuifanya iwe makao makuu badala yake limetengenezwa tatizo tena, watu wanajirundika huko huku huduma muhimu kama maji safi, nyumba nzuri huduma nyinginezo zikiwa za shida. Kwanini mtu ujitengenezee shida na muda wa kuishi ni kidogo??
Hahahaha vipofu nini ??
 
Mzee baba nikajisogeza mpaka mpwampwa kucheki mzigo loh loh log nilipiga ugali wa mtama na majani ya kunde yaliyovunwa miezi mitatu iliyopita yaani yalifanana na tumbaku. Sitaki tena kudanganywa kuhusu Dodoma
Aisee
 
Mbona povu nani asijua Dodoma ndio mkoa maskini na watu wavivu wa huko ninyi Wagogo na kuomba omba ndio zenu hata omba omba maarufu katoka huko? mnalima nini hizo zabibu au hebu nipishe mie
Hahahaha
 
Mzee baba nikajisogeza mpaka mpwampwa kucheki mzigo loh loh log nilipiga ugali wa mtama na majani ya kunde yaliyovunwa miezi mitatu iliyopita yaani yalifanana na tumbaku. Sitaki tena kudanganywa kuhusu Dodoma
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wakuu mmenifungua macho mana Nami nilikuwa nakusanya vijisent kidogo nihamie dom kupiga mishe lakini comments nyingi naona mnaponda hapafai. Hapa acha nikomae tu dar.
 
Back
Top Bottom