Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Hahahahakwani mji mdogo hapa Tzn ni dodoma pekee? mbona tunasongesha life kama kawa
Kwa namna yeyote ile sijawahi penda kuishi Dar,kama saizi kila mtu analalamika joto limezidi,mwezi uliopita mafuriko na madimbwi kila mahali sasa hayo sio maisha mar dengue sijui mbu yaani ni tabu tupu