Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Mimi nipo Dom mwaka wa sita na investment zangu mbili zipo arusha...moja kibanda cha mpesa na guta la kubebea mizigo....kiukweli dom hakuna kitu,mm mwenyewe soon naondoka huku watu pesa hawana kulinganisha na mikoa kama dar,arusha,mwanza,klm,mbeya,iringa na mingine inayofanana na hiyo......kama wakitaka kuja waje,ila wajue watachomwa na jua mpaka wakome
Kwanza watapoteza mitaji na wataachia flame ndan miez mitatu
 
Watu wakiendelea kwenda huko ndio watabadilisha mji uwe muhimu...

Hao wavivu wavivu wataukimbia mji wenyewe...
 
Chai tamu sana hiyo! Umeinvest Guta na kibanda cha Mpesa huko Arusha na ni wazi unapiga Pesa huko. Sasa huu mwaka wa sita upo Dodoma si bora ungerudi Arusha kuisimamia vyema miradi yako. Sasa huko Dodoma unafanya nini? Yaani unakubali kuchomwa na jua hadi ukome!
Mkuu mm tatizo huku nina mkataba wa kazi namaliza mwezi wa kwanza mwakani...baada ya hapo nasepa mkuu....acha nikajaribu maisha pengine
 
Ukame lakini kwa kilimo cha chakula wanazalisha kuliko huko makwenu lindi, tabora n.k nenda kibaigwa kacheki mahindi


Mbona povu nani asijua Dodoma ndio mkoa maskini na watu wavivu wa huko ninyi Wagogo na kuomba omba ndio zenu hata omba omba maarufu katoka huko? mnalima nini hizo zabibu au hebu nipishe mie
 
Back
Top Bottom