Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

Ulitoka Dar saa 7 usiku ukaingia mwanza saa 3 usiku? na bado unatushauri tutembee usiku.. kama uli paa angani unajua wewe.. cut dis shir off
 
Wewe kama unaona usiku kwako dili usitushawishi wengine, Kuendesha kwangu kwangu starehe haya niendeshe usiku naenda vitani au !!?

Sura nitauza saa ngapi manake Ndinga yangu ni yakufanyia ubishoo. Usiku nikutane na madereva malori wanasinzia iweje ??
Wacha weee!
 
Mimi utaratibu wangu kama nasafari ya usiku kwanza nalala sana mchana hapo lazma nipate sex safi kutoka kwa wife nitapumzika nikimka naoga napata kahawa yangu safi.

Nacheki gari kama ipo kuanzia upepo, fire extinguisher , triangle, spare tyre na spana zipo. Hapo sasa nitaweka maji yangu kwa chupa na redbull 2 zinanitosha.

Mara nyingi napenda sana kuanza safari saa 2 usiku raha ya usku unakutana na kampani nyingi sana hadi raha kama morogoro road hii huwez kuwa alone.

Cha muhimu ni kupeana ishara kama una overtake indicate kwanza ikiwezakna mpigie honi wa mbele yako kama una wasiwasi. Ajali nyingi zinatokea kwasababu ya kukosa umakini watu wanasinzia sana.

Kama ni mgeni na barabara acha mtu atangulie wewe mfate kwa nyuma awe kama anakuongoza.
 
Bwaaaana bwana uko na ratiba safi sana inayolingana na yangu (kasoro hapo kwa wife,mabachela tunahaha)

Napendelea night trips hasa ndefu ila kidogo nianze saa nne kuepuka kukutana na mabasi (kasoro njia ya kuanzia singida ,katesh kutoka babati hadi magugu kuelekea arusha huko ni maarufu kwa fuso zenye taa KALI kama unamulikwa na toyota wish)

Saa nne kwenda mbela njia huwa safi sana na mimi na jamaa zangu huwa tu kajina ketu kanaitwa “BUFFER”.. hii buffer ni gari yeyote yenye mwendo zaidi yetu ila unaoukaribia mwendo wetu wa safari.

Tumuacha atangulie ili asafishe njia sisi tuko nyuma kama mita 100 au 60 hivi.

Zaidi ya yote safari za usiku zinataka umakini sana na kutokuwa na mbwembwe hasa njia ambazo sio mwenyeji au ndio mara yako ya pili au ya taku kuipita nikimaanisha huijui vizuri.

Top speed kwetu ni 140kmph hata kama tungekuwa na buggati. Watoto kulelewa na baba wa kambo noma sana.
 
Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani.

Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na gari yangu. Nakumbuka nilianza safari usiku saa 7 kutoka Dar ili kuepusha usumbufu kwenye kipande cha Dar-Moro (kwa wazoefu wa kipande hiki watakubaliana na mimi). Muda wa mchana nilipata shida na usumbufu na traffic pamoja mabus na fujo zao mpaka naingia Mwanza usiku saa 3.

Mpaka nimeamua kuandika ushauri huu ni kwa madereva wenzangu ni ushuhuda niliouona kwa macho yangu wiki hii.

Jumamosi iliyopita nimefanya safari tena nyingine ya kwenda Mwanza kwa kupanda bus hakika vituko vya madereva wa bus ni noma, hawa jamaa wanatumia barabara watakavyo,wanaovertake watakavyo tena sehemu yeyote ile ilimradi amekupita, yaani zile speed za miaka ile zimerudi tena na traffic hawana la kusema kwasababu jamaa alipigwa tochi mara 5 na bado hakupigwa cheti mpaka tunafika Mwanza.

Dereva wa bus alikuwa anaovertake mpaka malori matano hasa pale akiona mbele yake inakuja gari ndogo yaani utake usitake utasimama tu mpaka amalize kuovertake kumbe jamaa wanatudharau sana mpaka wanatuita wamama wa nyumbani (msemo huu alikuwa anautumia dereva wa bus akiwa anafanya fujo zake).

Nimeshuhudia kwenye vibao vya speed 50 magari madogo wanakatwa na traffic huku bus letu linapita tu tena na mwendo mdundo bila shida tena likiwa speed 102 hata ile alarm ya speed hakuna.

Nawashauri madereva wenzangu tembeeni usiku kuepusha majanga mchana haya mambo ya mchana tuwaachiwe wenye njia yao madereva wa mabus kwasabb kama kuna watu wanaenyoj barabaran ni watu wa mabus tu...Wale wenzangu na mm tusione tabu kuendesha usiku
USHAURI WAKO is too general na haujazingatia mambo mengi...

Mathalani, kila safari ya mtu huwa ni ya malengo/madhumuni fulani. Kwa hiyo, kusafiri USIKU au MCHANA inategemea na purpose of your safari/drive...

Kama unasafiri/drive for business purposes au unawahi matatizo fulani let's say msiba, kesi au unasafiri ili mradi uwahi kufika uendako, basi ni sahihi kutembea usiku wa manane kukiwa hakuna pilika pilika za barabarani ili uwahi huku ukichagizwa na kutembea kwa spidi utakayo though it's very risk kuliko kutembea mchana...

But if you are travelling/driving for funny or vocation USIKU HAPANA haiwezi kuwa convenient kwa lengo hili....

Kwa safari ya namna hii, basi mchana ni very convenient kwani hata porini mnaweza kusimama na kufurahia mazingira. Hili usiku haliwezekani kwa sababu ni giza huwezi kuifurahia nature na pia kuna sababu za kiusalama...

Vile vile if you are travelling for funny/vocation enjoyments, mchana ndiyo unapoweza kupata huduma zote hotel, mahindi na mihogo choma barabarani ikiwemo kama nilivyosema kutazama na kufurahia mazingira/nature...

Lakini usiku ni kwa safari za shida au matatizo au "ili kuwahi kufika niendako" na hizi huwa hazijali mambo haya kwa sababu akili na mawazo hufokasi kwenye changamoto iliyo mbele yako...

Kwa hiyo jibu la hoja yako ni safari za usiku wa manane HUTEGEMEA NA LENGO LA SAFARI YENYEWE...!
 
Safar zote mbili nimewahi kufanya yaani kuanzia misiba na enjoyment lakini zote nimefanya usiku...
Kwangu Mimi naona kuanza Safar usiku ndiyo furaha Kwangu kwasabb kila mtu ana mtazamo wake
 
Ofcoz na mimi hii ndiyo hoja yangu...

Nilisema, mtu kusafiri USIKU au MCHANA inategemea na interest (mapenzi) ya mtu na pia lengo la safari ni nini...

If it's just for funny & enjoyment itakuwa ajabu sana kutembea usiku kwa usiku...!!

Lakini all in all, safari iweje na iwe muda gani, bado maamuzi hayo ni ya mtu mwenyewe..
 
Yan ki ist changu kinamurika mita 10 mbele bara bara zenyewe azieleweki usiku ni Danger Baba labda na V8
 
usiku ndo raha asee, unafunika tuu , kukwepa usingizi dirisha zote unafungua
Mkuu nilisafiri usiku kutoka dar to babati juzi kati uh yaani mkuu ni hatar.. kama sio kuwa makini kuzingatia bump3 zile basi unaenda kukutana na tuta kubwa unaruka juu hatari
 
Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani.

Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na gari yangu. Nakumbuka nilianza safari usiku saa 7 kutoka Dar ili kuepusha usumbufu kwenye kipande cha Dar-Moro (kwa wazoefu wa kipande hiki watakubaliana na mimi). Muda wa mchana nilipata shida na usumbufu na traffic pamoja mabus na fujo zao mpaka naingia Mwanza usiku saa 3.

Mpaka nimeamua kuandika ushauri huu ni kwa madereva wenzangu ni ushuhuda niliouona kwa macho yangu wiki hii.

Jumamosi iliyopita nimefanya safari tena nyingine ya kwenda Mwanza kwa kupanda bus hakika vituko vya madereva wa bus ni noma, hawa jamaa wanatumia barabara watakavyo,wanaovertake watakavyo tena sehemu yeyote ile ilimradi amekupita, yaani zile speed za miaka ile zimerudi tena na traffic hawana la kusema kwasababu jamaa alipigwa tochi mara 5 na bado hakupigwa cheti mpaka tunafika Mwanza.

Dereva wa bus alikuwa anaovertake mpaka malori matano hasa pale akiona mbele yake inakuja gari ndogo yaani utake usitake utasimama tu mpaka amalize kuovertake kumbe jamaa wanatudharau sana mpaka wanatuita wamama wa nyumbani (msemo huu alikuwa anautumia dereva wa bus akiwa anafanya fujo zake).

Nimeshuhudia kwenye vibao vya speed 50 magari madogo wanakatwa na traffic huku bus letu linapita tu tena na mwendo mdundo bila shida tena likiwa speed 102 hata ile alarm ya speed hakuna.

Nawashauri madereva wenzangu tembeeni usiku kuepusha majanga mchana haya mambo ya mchana tuwaachiwe wenye njia yao madereva wa mabus kwasabb kama kuna watu wanaenyoj barabaran ni watu wa mabus tu...Wale wenzangu na mm tusione tabu kuendesha usiku
Kimsingi Idara ya usalama barabarani inapaswa kuondolewa tu na kuwekwa Camera kila kona, kwenye nguzo za umeme, kwenye miti na hata chini kwenye barabara yenyewe inawezekana, wale Trafik ni kero kubwa sana barabarani, wanaweza kukupiga tu faini isiyo na kichwa Wala miguu, au wachukue elfu kumi yako, hawawazi kabisa kua hizo ni hela za watoto wanachukua, hawajui uko kwenye hali gani, wanacho angalia ni hela, yaani sijui nielezeje lakini wana kero kubwa sana
 
Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani.

Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na gari yangu. Nakumbuka nilianza safari usiku saa 7 kutoka Dar ili kuepusha usumbufu kwenye kipande cha Dar-Moro (kwa wazoefu wa kipande hiki watakubaliana na mimi). Muda wa mchana nilipata shida na usumbufu na traffic pamoja mabus na fujo zao mpaka naingia Mwanza usiku saa 3.

Mpaka nimeamua kuandika ushauri huu ni kwa madereva wenzangu ni ushuhuda niliouona kwa macho yangu wiki hii.

Jumamosi iliyopita nimefanya safari tena nyingine ya kwenda Mwanza kwa kupanda bus hakika vituko vya madereva wa bus ni noma, hawa jamaa wanatumia barabara watakavyo,wanaovertake watakavyo tena sehemu yeyote ile ilimradi amekupita, yaani zile speed za miaka ile zimerudi tena na traffic hawana la kusema kwasababu jamaa alipigwa tochi mara 5 na bado hakupigwa cheti mpaka tunafika Mwanza.

Dereva wa bus alikuwa anaovertake mpaka malori matano hasa pale akiona mbele yake inakuja gari ndogo yaani utake usitake utasimama tu mpaka amalize kuovertake kumbe jamaa wanatudharau sana mpaka wanatuita wamama wa nyumbani (msemo huu alikuwa anautumia dereva wa bus akiwa anafanya fujo zake).

Nimeshuhudia kwenye vibao vya speed 50 magari madogo wanakatwa na traffic huku bus letu linapita tu tena na mwendo mdundo bila shida tena likiwa speed 102 hata ile alarm ya speed hakuna.

Nawashauri madereva wenzangu tembeeni usiku kuepusha majanga mchana haya mambo ya mchana tuwaachiwe wenye njia yao madereva wa mabus kwasabb kama kuna watu wanaenyoj barabaran ni watu wa mabus tu...Wale wenzangu na mm tusione tabu kuendesha usiku
We kweli mama wa nyumbani,usiku ni risk sana,full light za malori,usingizi ,na sie wazee usiku hatuoni vizuri,gari ikikuharibikia usiku utafuta huu uzi wako
 
Back
Top Bottom