Waisilamu nchini wamekuwa wakiilamu serikali kwamba imewaundia chombo ambacho ni BAKWATA, na kwamba hawakitaki kwa kuwa hakijaundwa na waisilamu. Waisilamu hao hao wanaitaka serikali iwaanzishie chombo kinachoitwa Mahakama ya Kadhi. Sasa hapa naona kuna ujinga fulani. Unalalamika serikali kuwaingilia kwa kuanzisha BAKWATA, halafu unalalamika kwa nini serikali haiwaingilii kwa kuwaanzishia Kadhi. Waisilamu wawe wazi basi, wanapenda kuingiliwa au kutoingiliwa na serikali?
My take:
Kwa kuwa waisilamu wameshalalamika sana kwa suala la 'kuundiwa BAKWATA', naishauri serikali isijiingize kabisa kujaribu kuwasaidia tena, kwani watakuja kuilaumu tena na tena serikali kwa kuwaingilia. Waisilamu wajipange, waanzishe Mahakama ya Kadhi, waiendeshe wenyewe, wahukumiane wenyewe na hata hukumu zikiwa mbaya, walaumiane wenyewe
Halafu unaweza kukuta hata VAT tu hujawahi kulipa! Unanunua kila kitu kwa wamachinga na mama ntilie.
Kwanini inalazimishwa kuweka kwenye katiba?Sikatai kwamba hao watu wanatoa misaada kwenye nchi yetu. Lakini dhamira yao si kutupa misaada ya kuendesha serikali yetu ambao kama mahakama ya kadhi itakuwepo itakuwa kwenye kundi la uendeshaji, bali ni kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo. Kama serikali inatumia misaada hiyo kuendeshea serikali hayo ni mapungufu yetu sisi kama waTZ.
Hatupingi kuanzishwa tunachopinga ni kutumia kodi zetu kuwalipa hao makadhi wenu na kuliweka suala hili kwenye katiba yetu
Inawahusu sana kwa kuwa Katiba ni ya wote, lakini mahakama ya kadhi ni ya waisilamu. Mkitaka andikeni katiba ya Waisilamu muiingize mahakama ya kadhi. Kwani huko uisilamu hakuna majaji waliobobea kutunga katiba zenu?... Kwani inawahusu nini? ...!
Unaposema hazitatambuliwa kisheria, je ndoa mnazofungishana msikitini nazo ni batili? Mbona vyeti mnapeana huko miskitini a si ahakamani? Kuhusu watoto nje ya ndoa mnapowazaa mnataka wao warithi wapi? Au mnataka wawe wezi mitaani? Kuna mambo mengine yanahitaji busara kuyatatua na si kukaririshana kwa sharia. Je ungekuwa wewe ndo umezaliwa nje ya ndoa ungejisikiaje. Makosa wafanye wazazi wahukumiwe watoto... Tuweni na huruma inaniuma sana.
QUR-ANI haimtambui mtoto wa nje ya ndoa.utatulazimishaje tuweke huruma wakati muongozo wa waislamu unakataa?
kwani ikiwa kwenye katiba hata wakristu watalazimishwa kwenda huko? mf. umezinguana na muislamu au itakuwaje?.... Hivi kuna wanawake wanaweza kwenda kwa kadhi kuamua mirathi....maana sheria zao huko mwanamke hapati kituUkiupenda chukua usipoupemda sepa.
Nawashsuri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na watapeana talaka huko. Ndoa zitasuluhishwa na Waislam wenyewe. Hii itakuwa rahisi kwakuwa waislam wote ktk jumuiya zao watakuwa wanafahamiana. Hii waendeshe kama idara fulani ndani ya jamii zao na hili ni jambo dogo sana ambalo halina sababu za msingi kuliweka kwenye katiba. Ni kama vile wakrisito walivyounda jumuiya zao wala hawakuomba ziandikwe kwenye katiba kwasababu walijua ni ibada yao sio jambo lakitaifa na hivyo halihitaji kuandikwa kwenye katiba.
Kuhusu mirathi tunazo mahakama za serikali iliyochaguliwa na wananchi wote ambazo zinafanya vizuri na zinautaratibu mzuri wakusimamia mirathi hivyo mirathi ya waislam itashughulikiwa huko. Sioni hoja wala sababu yamsingi waislam kutaka mahakama yao special kwa ajili yamirathi wakati tayari kunamahakama inasimamia mirathi hivyo hakuna ulazima wakuandika kwenye katiba.
Karibuni tujadili kwa hoja, matusi njoo PM tutukanane mpaka nikukomeshe.
kwani ikiwa kwenye katiba hata wakristu watalazimishwa kwenda huko? mf. umezinguana na muislamu au itakuwaje?.... Hivi kuna wanawake wanaweza kwenda kwa kadhi kuamua mirathi....maana sheria zao huko mwanamke hapati kitu
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa.
Nawashsuri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na watapeana talaka huko. Ndoa zitasuluhishwa na Waislam wenyewe. Hii itakuwa rahisi kwakuwa waislam wote ktk jumuiya zao watakuwa wanafahamiana. Hii waendeshe kama idara fulani ndani ya jamii zao na hili ni jambo dogo sana ambalo halina sababu za msingi kuliweka kwenye katiba. Ni kama vile wakrisito walivyounda jumuiya zao wala hawakuomba ziandikwe kwenye katiba kwasababu walijua ni ibada yao sio jambo lakitaifa na hivyo halihitaji kuandikwa kwenye katiba.
Kuhusu mirathi tunazo mahakama za serikali iliyochaguliwa na wananchi wote ambazo zinafanya vizuri na zinautaratibu mzuri wakusimamia mirathi hivyo mirathi ya waislam itashughulikiwa huko. Sioni hoja wala sababu yamsingi waislam kutaka mahakama yao special kwa ajili yamirathi wakati tayari kunamahakama inasimamia mirathi hivyo hakuna ulazima wakuandika kwenye katiba.
Karibuni tujadili kwa hoja, matusi njoo PM tutukanane mpaka nikukomeshe.
Nani kakueleza hivyo.........? acha kudandia vitu usivyovijua kwa kufuata ushabiki wa Kidini..............................!!!!!!!Ukiupenda chukua usipoupemda sepa.
Nawashsuri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na watapeana talaka huko. Ndoa zitasuluhishwa na Waislam wenyewe. Hii itakuwa rahisi kwakuwa waislam wote ktk jumuiya zao watakuwa wanafahamiana. Hii waendeshe kama idara fulani ndani ya jamii zao na hili ni jambo dogo sana ambalo halina sababu za msingi kuliweka kwenye katiba. Ni kama vile wakrisito walivyounda jumuiya zao wala hawakuomba ziandikwe kwenye katiba kwasababu walijua ni ibada yao sio jambo lakitaifa na hivyo halihitaji kuandikwa kwenye katiba.
Kuhusu mirathi tunazo mahakama za serikali iliyochaguliwa na wananchi wote ambazo zinafanya vizuri na zinautaratibu mzuri wakusimamia mirathi hivyo mirathi ya waislam itashughulikiwa huko. Sioni hoja wala sababu yamsingi waislam kutaka mahakama yao special kwa ajili yamirathi wakati tayari kunamahakama inasimamia mirathi hivyo hakuna ulazima wakuandika kwenye katiba.
Karibuni tujadili kwa hoja, matusi njoo PM tutukanane mpaka nikukomeshe.
Wasio waislam nao wakiundiwa kitengo chao ndani ya TRA kulipia kodi zao tutafika kweli kama Taifa?Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.
Luna muislam mwenzako kasema hivyo tena katoa na ushahidi kwenye uzi wenye title "Ukawa kuparaganyika kesho". Kaso uone muislam mwenzako alivyojisifu.Nani kakueleza hivyo.........? acha kudandia vitu usivyovijua kwa kufuata ushabiki wa Kidini..............................!!!!!!!
Wewe nani kakwambia mwanamke hapat urith. Ha ha ha yaan nyinyi mpo kuukandamiza uislamu bas siku zote mnaakaa mnaongopeana mnaleta mada .kwa taarifa yenu uislam umempendelea mwanamke kupita kitu chochote na endapo wanawake wa kiislam tungekuwa tunaish kama uislam unavyotaka naapa kwa mola Wangu nyinyi wakristo mngeandamana
umejitahd kuandika gazet but jifunze unajuwa mahakama ya kadh inatakiwa itambulike kitaifa na kimataifa koz ndio inakuwa chombo kikuu cha waisalam sawa na kkkt na Vatican na hio mahakama ya kawaida koz ktk uislam Allah peke yake ndo hakimu so guidelines zpo ktk Quran.... great thinker think great 