Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Akupe mkopo nani...!?? Bishanga huyu huyu tunayemdai mil.10 hapa FINCA..!?? you can't be serious wewe...

Huyo ni fotokopi ya bishanga,original niko new york sa izi nafanya commerce......check my twitter account
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hivi huyu mtoto wangu wa kiume wa pili unamtakia nini?? eti mwanangu manoah huyu mzee mbona simwelewi.
 
Last edited by a moderator:
siwezi katerereo Bishanga mie
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin usiwe na shaka mwalimu,
mwanao manoah hata mie nilihusika kwenye malezi wakati baba yake
aliponiachia watoto wote akaishia kwenye kambi ya wakimbizi huko kigoma,
lakini kwa kuwa ni damu yake mwache tu ana haki kama mzazi.

Bishanga hivi huyu mtoto wangu wa kiume wa pili unamtakia nini?? eti mwanangu manoah huyu mzee mbona simwelewi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…