Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Na wengi wao ni wapiga kura wa CCM, wanaishi kwenye vibanda vya nyasi, hawana maji safi na salama.Watanzania asilimia 85 wako vijijini, hivi hao wote mnawaonaje?
Na wengi wao ni wapiga kura wa CCM, wanaishi kwenye vibanda vya nyasi, hawana maji safi na salama.Watanzania asilimia 85 wako vijijini, hivi hao wote mnawaonaje?
Wameipenda wenyewe ,chaguao lao milele,Watanzania asilimia 85 wako vijijini, hivi hao wote mnawaonaje?
Wengi wamesema mengi. Wacha nami nitoe ushauri.
Kwanza nashangaa imekuwaje serikali yenye nguvu inasitasita kutoa maamuzi ya kimamlaka kushughulikia hawa wanaoitwa wamachinga. Serikali ina vyombo vya dola na mamlaka zote kuhakikisha Machinga wanaondoka maeneo yasiyo halali kufanyia biashara. Sheria za mipango miji ziko wazi.
Kama walivyoondolewa waliojenga kwenye maeneo hatarishi pale Magomeni Dar es Salaam inashindikana vipi kuwafurumusha hawa? Swala moja linachukua miezi sita? Why all these delays? Kwa wamachinga nawashauri wachane kusuguana na serikali kwani ina nguvu kuliko wao.
Warudi vijijini huko kuna mashamba yenye rutuba na yanafaa kwa kilimo na kuongeza tija ktk uzalishaji mali, biashara na ukuaji wa uchumi kwa mtu mmoja mmoja na hatimaye kwa Taifa.
Angalizo: Wamachinge msirudie tena kutumika kisiasa. Vinginevyo mtaendelea kuonja joto la Jiwe miaka nenda miaja rudi.
... si-support umachinga. Ila pamoja na hayo, kila mwaka Dar es Salaam ndio imekuwa kinara wa maisha bora nchini; nani asiyependa maisha bora hata kama ubora huo wa maisha unatokana na umachinga? Hii inaoenesha umachinga unalipa kuliko kilimo au shughuli nyingine za uzalishaji vijijini!Wengi wamesema mengi. Wacha nami nitoe ushauri.
Kwanza nashangaa imekuwaje serikali yenye nguvu inasitasita kutoa maamuzi ya kimamlaka kushughulikia hawa wanaoitwa wamachinga. Serikali ina vyombo vya dola na mamlaka zote kuhakikisha Machinga wanaondoka maeneo yasiyo halali kufanyia biashara. Sheria za mipango miji ziko wazi.
Kama walivyoondolewa waliojenga kwenye maeneo hatarishi pale Magomeni Dar es Salaam inashindikana vipi kuwafurumusha hawa? Swala moja linachukua miezi sita? Why all these delays? Kwa wamachinga nawashauri wachane kusuguana na serikali kwani ina nguvu kuliko wao.
Warudi vijijini huko kuna mashamba yenye rutuba na yanafaa kwa kilimo na kuongeza tija ktk uzalishaji mali, biashara na ukuaji wa uchumi kwa mtu mmoja mmoja na hatimaye kwa Taifa.
Angalizo: Wamachinge msirudie tena kutumika kisiasa. Vinginevyo mtaendelea kuonja joto la Jiwe miaka nenda miaja rudi.
Ndio maana tunawashauei waende huko waache kujazana mijiniHuwa nachukia sanaaa kilimo kuonekana ndo last choice ,jaman wakulima ndo matajir ,kikubwa kujipanga
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Kwa hiyo kilimo ni shughuli ya watu walioshindwa maisha ya utafutaji mijini?
Hii dhana ya kipuuzi mno,na haipo kwa watu wa chini (wa Aina Yako ) tu Bali Hadi juu kwa Watawala.
Sijapenda
Tatizo huko vijijini hakuna barabara za uhakika za kusafirishia mazao kumfikia mlaji. Mazao yanaozea mashambani.
Hakuna soko la uhakika la mazao. Sasa hivi mahindi yamejaa na soko hakuna.
Na kujenga kiwanda cha kusindika nyanya,Miaka 60 ya uhuru bado tu nchi haijitambui!!! Maccm ni maadui wakubwa wa Watanzania. Imagine nguvu ya machinga ikielekezwa kwenye Kilimo cha kisasa na cha umwagiliaji nchi nzima. Nguvu kazi inapotea bure.
Na kujenga kiwanda cha kusindika nyanya,