Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani

Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani

Hivi ni dogo au shemeji ndio aliimba huu wimbo
nimempenda sana kwa tenzi zake.

NI muda watu wajue kuwa wenye hela sio kwamba wake zao hawamegwi wanamegwa nje vibaya mno.

Ila kinachomrudisha mwanamke nyumbani ni pesa sio mashine.

Ndio maana wazee wanatuambia kwenye mafundisho ya ndoa kuwa, " ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani ya mwanaume"

Mwache akamegwe anavyotaka mwisho wa siku mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani, hata kama unammega vepe shemeji lazima atarudi kwa kaka kwenye pesa.

NI hayo tu kwa leo vijana, msijiulize kwanini wasichana hawachomoki kwa mabwana zao wenye pesa na tunawamega uswazi kila leo, hill ndio jibu.

Mkitaka kumkamatia msichana mkali kuweni na vyote, fanyeni kazi vijana la sivyo kila msichana mkali mtakuwa mnamwita shemeji tu! Shemeji salama?!Shemeji mambo! Shemeji kaka hajambo!

Usiku mwema


Ni wachache sana maana hatari yake ni kubwa sana, hatari yake ni kubwa endapo jamaa akijua ndo imekula kwako mazima.
 
Unasema hivo adu huenda huna hela kama mm tu
Sure bado sijawa na hela nazoitaji kua nazo ,,,, lkn Kwan ukiwa nahela, mkeo akiwa anamegwa pemben utamezea wewe km wewe?? Basi ukimezea hapo. Hata ktk umasikin wako bado utamegewa alafu ndo utakua unalia lia "" unanifanyia ivo sababu sina pesaa hiiii hiiiii ,asante.sanaa huuuuuhuuu kweli unatembea na fulani hiiiii hiiii " alafu usiku anakupa mzigo, unasahau kua kuna jamaa kala mbunye yake.

Comooooon kua mwanamme, uanamme hautenganishwi na economic status !! Niwe na helaaaaaaaaa ,nisiwe nazo Sheria zangu nizile zile
 
Back
Top Bottom