Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani

Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani

Kama ana machine ndogo raha inakuwa wap?!
Mapenzi ni kama imani. Sasa ukianza kuchanganya nyumba za ibada mwisho wa siku jiandae kupoteza. Ijumaa waenda kuswali, na J'pili unaenda kanisani (Hapo tukiweke kundi gani?)
Wanaume wastaraabu tunaacha kimya kimya yaan hatupigi simu au kukutumia sms sijui ya mimi na ww basi ila utaona km nipo na ww
ukija kushituka umeachwa zamani sana na ukirudi unakutana na mwanamke mwenzako. Sijui utafanya nin?
N:B
Siku zote ukiingia kwenye mapenzi epuka usaliti sbb usaliti utasababisha uachane na unayempenda au kusababisha ulemavu au kifo ( kuna watu wanauwawa kwa sbb ya wivu wa mapenzi).
 
Mapenzi ni kama imani. Sasa ukianza kuchanganya nyumba za ibada mwisho wa siku jiandae kupoteza. Ijumaa waenda kuswali, na J'pili unaenda kanisani (Hapo tukiweke kundi gani?)
Wanaume wastaraabu tunaacha kimya kimya yaan hatupigi simu au kukutumia sms sijui ya mimi na ww basi ila utaona km nipo na ww
ukija kushituka umeachwa zamani sana na ukirudi unakutana na mwanamke mwenzako. Sijui na utafanya nin?
Aisee
We ongea yote lkn ukweli ndio huo

Uje na huku sheikh Johari a.k.a JoJo Hongera kwa kupata Bwana na Kizungu!..
 
ni mjinga pekee ndio atakuwa na imanikuwa yupopeke yake kwa mwanamke....wee umekuta watu walishagegeda na wewe pia ukamgegeda kabla ya kufunga ndoa, eti kumvalisha pete ndio kumembadilisha kutoka kuwa malaya awe mke....mambo mengine nikujifariji tuu.
 
Kama faida ya kuwa na hela ni nikimegewa mwanamke atarudi
Basi mi spendi hela.
Kama mwanamke hanipendi aondoke mapeema siyo tatizo.
Kwenye kumegewa ni heri shari kamili kuliko nusu shari.
Mwanaume ni kuwa na msimamo, dats good, usikubali kuyumbishwa kwa uzuri wa mwanamke ikiwa tabia yake ni aibu tupu.

Sisi tunaamini unapomchagua mwanamke, inabidi uwe makini coz popote pale yupo anakuwakilisha.
Ikiwa tabia zake ni kumegewa nje, kubali yaishe (mwache aende tu)..no way out utapata mwingine.
 
Back
Top Bottom