Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani

Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani

Mwanaume ni kuwa na msimamo, dats good, usikubali kuyumbishwa kwa uzuri wa mwanamke ikiwa tabia yake ni aibu tupu.

Sisi tunaamini unapomchagua mwanamke, inabidi uwe makini coz popote pale yupo anakuwakilisha.
Ikiwa tabia zake ni kumegewa nje, kubali yaishe (mwache aende tu)..no way out utapata mwingine.
Siongezi neno ntaharibuu
[emoji111]
 
Nyie wanawake hamna formula,,,mtu anaeza kua na nyote ,mashine + pesa,

Ila bado mkamegwa
 
100%

Ubaya zaidi wanataka tuizoee hali yao ya kumegwa maisha yaendelee.
Tuchukulie simple huku moyo unavuja damu
Hahahahaha,tabu sana,mkuu
Ila mtu anayemegewa afu anajua na analala na mkewe kitanda kimoja ana moyo sana,,mi nanyonga
 
Hahahahaha,tabu sana,mkuu
Ila mtu anayemegewa afu anajua na analala na mkewe kitanda kimoja ana moyo sana,,mi nanyonga
Mimi sinyongi..ila naamini ashindwae pia mume.
Nakubali yaishe, I have to move on maisha yaendelee.

Maisha bila yeye yanawezekana
 
Umetupa jiwe gizani,
Na Mara nyingi wenye pesa huwa wanakuwa busy sana,kiasi kwamba muda wa kumsasambua mamsap unakuwa mfinyu sana,
Ila mapanga boyo wapenda vya dezo Mara nyingi wanakuwaga kajamba nani, na asilimia kubwa huwa wanafanya ngono kama sehemu ya kazi ya kujitafutia chochote hivyo hufanya chochote ili kumfurahisha boss
 
Back
Top Bottom