Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Nenda hospitali acha kusikiliza quacks utatajiwa hadi sumu huku utaenda meza
 
Naomba munisaidie kupata dawa ya mafua mana nasumbuliwa kalibu mwaka mwaka wa 8 sasa na huwa napiga chafya sana na pua huwa inawasha sana.

kabla hujanywa dawa cheki hali ya usafi mahali unapolala na nyumba kwa ujumla angalia kama umetandika mazulia ndani hakikisha hakuna vumbi
 
Wakuu.,kwa siku hizi za usoni nimegundua kuwa hapa DSM watu wengi wamekuwa wakikohoa kikogozi kikali sana.
Mtu mwingine aloona tatizo hili anaweza kutoa ushuhuda.
Watu wanaohusika na masuala ya afya watupe ushauri kujikinga.
 
ni kweli ni mabadiliko ya hali ya hewa tumia dawa ya Menthodex ya maji ukizidiwa muone daktari
 
Post yako imenishtua' nikajua ni dalili ya awali ya Ebora!! Maana mimi ni muhanga wa hako kahoma' na bado sijapona vizuri!
 
Wakuu.,kwa siku hizi za usoni nimegundua kuwa hapa DSM watu wengi wamekuwa wakikohoa kikogozi kikali sana.
Mtu mwingine aloona tatizo hili anaweza kutoa ushuhuda.
Watu wanaohusika na masuala ya afya watupe ushauri kujikinga.

Watu wengi ni idadi gani ya watu?

Sisi watu wa afya hatujaliona hili na wala halipo, wewe na wenzako mnaokohoa kama cherehani mbovu hakikisheni mnazingatia kanuni za afya...
 
Post yako imenishtua' nikajua ni dalili ya awali ya Ebora!! Maana mimi ni muhanga wa hako kahoma' na bado sijapona vizuri!

Una maanisha wewe ni muathirika wa homa ya Ebola?

Note:
muhanga si neno sahihi.
 
oky..poa mkuu.ila mm sikohoi bali nimeona tu humo kwenye ofisi zetu za umma na kwenye daladala..so kanuni zipi za afya.?tujuze mkuu.
 
Hakuna kitu kama hicho wewe mtoa mada umekurupuka hali ya kukohoa huwa inatokea kwa vipindi tofauti kwenye mwili wa binadam na hali hiyo huisha baada ya muda mfupi
 
Wakuu.,kwa siku hizi za usoni nimegundua kuwa hapa DSM watu wengi wamekuwa wakikohoa kikogozi kikali sana.
Mtu mwingine aloona tatizo hili anaweza kutoa ushuhuda.
Watu wanaohusika na masuala ya afya watupe ushauri kujikinga.
Ni kweli mkuu kuna kifua kikali hata mamito wangu kilimtesa almost 3 months mpaka tuka check TB lakini tukajagundua ni alergy, tulitumia dawa ya vidonge kwa siku 10 now she is ok.
 
Hiyo Itakuwa Ni Kifua Kikuu TB Fanyeni Haraka Mkapime Makohozi Yenu.
 
Mleta mada kweli utafiti wako kiboko.
Kuna siku utatuletea uzi ukiuliza kwanini Watu wanaoishi Tandale wanajamba sana kuliko wa Sinza
 
Ni kweli mkuu kuna kifua kikali hata mamito wangu kilimtesa almost 3 months mpaka tuka check TB lakini tukajagundua ni alergy, tulitumia dawa ya vidonge kwa siku 10 now she is ok.
Dawa gani mlitumia mm pia ni mhanga
 
Back
Top Bottom