mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Labda ana allergy ya nyama ya n'gombe.
Na ameacha muda mrefu hapendi kabisaa
Labda ana allergy ya nyama ya n'gombe.
sijajua kwa huyo mtoto,ila kwa nyie watu wazima jaribuni kuacha kutumia vitu vya manukato mfn pafyumu,mafuta au air frsh.
hata mimi nina hilo tatizo yani mafua huwa hayaniishi pia chafya nyingi.wataalamu mtusaidie
Tumia dawa mpaka utakapo pona ukiweza tumia asubuhi na usiku.Mkuu hiyo tiba ni kwamba zote kwa pamoja, yaani tembe ya kitunguu swaumu, juice yake with lemon water na mvuke or moja wapo? Na ni kwa muda gani?
Tumia dawa mpaka utakapo pona ukiweza tumia asubuhi na usiku.
Unaweza kutumia moja kwanza siku 3 kisha ukaangalia kama bado hujapona unaongeza dawa ya pili na ile ya kwanza kwa muda wa siku 3 ikiwa bado hujapona malizia dawa ya mwisho kwa pamoja siku 3 sio mbaya ila kwa mwanamke mwenye mimba asitumie dawa yangu au mwanamke mwenye kunyonyesha asitumie dawa yangu mpaka nimpe ushauri wangu.Dawa zote tatu kwa pamoja or naweza nikafanya moja moja?
Unaweza kutumia moja kwanza siku 3 kisha ukaangalia kama bado hujapona unaongeza dawa ya pili na ile ya kwanza kwa muda wa siku 3 ikiwa bado hujapona malizia dawa ya mwisho kwa pamoja siku 3 sio mbaya ila kwa mwanamke mwenye mimba asitumie dawa yangu au mwanamke mwenye kunyonyesha asitumie dawa yangu mpaka nimpe ushauri wangu.
Jaribu mafuta ya samaki kwenye uji kila siku au tumia calcium ya forever living; huo ni upungufu wa vitamin
mmmmh.....................dr ndondi ameharibu watu??
Naomba munisaidie kupata dawa ya mafua mana nasumbuliwa kalibu mwaka mwaka wa 8 sasa na huwa napiga chafya sana na pua huwa inawasha sana.
Hujambo wa kwetu. Mbona kimya