Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Belinda ningekushauri ukenda hospitali kufanya allergy test halafu utajua ni kitu gani hasa kinakudhuru.

Mimi mtoto wangu alikuwa kila siku na mafua tukenda kwa Daktari kufanya allergy test na akagunduliwa kuwa anadhurika na manyoya (njiwa, paka.....) na chakula jamii ya kaa (crabs). Nilishangaa sana kuhusu kaa lakini mwenyewe alinithibitishia kwamba anakula akiwa na rafiki zake.
Allergy test shs ngap????...na hospital gan inapatikana????
 
Fanya mazoezi,cheki minyoo, au pima afya yako (body check up) hata mimi nilikuwa na hilo tatizo nilipopima nikakutwa nina fungus kwenye damu nakumbuka ilinisumbua sana hiyo hali, nikapigwa sindano fulani siikumbuki, mbona nilipona hadi leo toka 2007. Kwa hiyo jaribu kucheck hiyo kitu.

Uko mitaa/mkoa gani?
How fungus kwenye damu na mafua?
 
Back
Top Bottom