Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Dawa gani au aliandikiwa wapi??Ni kweli mkuu kuna kifua kikali hata mamito wangu kilimtesa almost 3 months mpaka tuka check TB lakini tukajagundua ni alergy, tulitumia dawa ya vidonge kwa siku 10 now she is ok.
Nina mwezi wa tatu siponi mafua hadi nikaitafuta VCT matokeo zaidi.
Dawa nimemeza na Machungwa nimekula wee hata 20 kwa siku.
Nielekeze