Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Alegi hiyo inaambatana na kuvimba tundu za pua? "Ukikutana na kinacho-react unapiga chafya kadhaa na ukiangalia tundu za pua zinavimba na hapo hapo mafua yanaanza" kama ndivyo kuna mtaalamu mmoja alieleza kuwa dawa yake ni kutumia vitunguu swaumu punje 3 kutwa mara tatu, Mbegu za mlonge 3x3, na majani yake yakiwa fresh utengeneze juice na unywe kama 20cc mara mbili kwa siku. Dozi hii utadumu nayo hata kwa mwezi mzima na kama itakuwa bado utaendelea mpaka utakaporidhika na maendeleo ya aleji yako. Vitu hivyo ni chakula pia.
 
Exactly,,na tundu huvimba kwa7bu nnapokutana na kitu kama vumb huwa nareact fasta then pua inawasha sana so huwa naifikicha sana mpk yavimba kidogo sometimes na michubuko inatokea,,! Ila nashkuru sana kwa msaada wako ntafanyia kaz naamin mungu atansaidia, Ubarikiwe Sana
 
Mkuu, ni PM nikusaidie. Tatizo lako linaonekana ni sugu.
 
Msaada wana Jamvi,

Ninaye binti mwenye miaka 17, alipokuwa mdogo alikuwa na historia ya kupiga chafya sana hasa wakati wa asubuhi akiamka. Wakati mwingine akipiga chafya hadi damu zinatoka puani.

Akiwa mtoto akifurahi mfano anacheza na wenzake lazima damu itatoka puani, na hata akikasirika damu inatoka pia puani. Nilimpeleka hospitalini akapewa na dawa shida ikaisha.

Kwa sasa tatizo ni chafya nyingi na mafua hayaishi.

Msaada
 
hata mimi nina hilo tatizo yani mafua huwa hayaniishi pia chafya nyingi.wataalamu mtusaidie
 
Kwa wewe tafuta dawa za kusafisha tumbo kisha uwe unatumia vitunguu swaumu kwa kutafuna tatizo litaisha.
 
Pole sana...Mtengenee tangawizi mfano wa chai...ifanye iwe kali kidogo...pia unaweza kukata vipande vidogo vya tangawizi mbichi na akawa anaitafuna kidogo dogo..yaani kama anaifinya tu hivi kwa meno ili yatoke maji...chafya itaisha Insha-Allah
 
na miaka 22 nahili tatizo hadi sasa nimekata tamaa kabisa
 
Pole sana...Mtengenee tangawizi mfano wa chai...ifanye iwe kali kidogo...pia unaweza kukata vipande vidogo vya tangawizi mbichi na akawa anaitafuna kidogo dogo..yaani kama anaifinya tu hivi kwa meno ili yatoke maji...chafya itaisha Insha-Allah

Asante sana. ntafanya hivyo
 
Back
Top Bottom