LazyDog
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 2,473
- 202
Juice ya limao.
Kamua nusu ya limao, weka kwenye lita ya maji.
Kunywa kidogo kidogo (asubuhi mpaka jioni) kwa siku tatu hivi.
Kwa matokeo bora, njia hizi za asili ni vyema kuzianza mapema dalili inapojitokeza. Kama una kikohozi na umeshapata infection, ni vyema kumwona daktari.