Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Labda una aleji, mimi nikila nyama ya n'gombe kesho yake nikiamka pua zimeziba mafua. Jaribu kuchunguza una aleji ya kitu gani.
 
Labda una aleji, mimi nikila nyama ya n'gombe kesho yake nikiamka pua zimeziba mafua. Jaribu kuchunguza una aleji ya kitu gani.

Ndo hata sielewi mkuu, maana hata nkikutana na vumbi au pafyumu yanafumuka ila hata nisipokutana na hivyo vitu bado huwa yapo tu.
 
Kuna tiba alisema dr ndodi ya vitunguu swaumu ila nimesahau procedures nikikumbuka ntakujuza
 
MziziMkavu km tunaweza pata chochote basi tafadhali

Mkuu Pole sana

kwa hayo Matatizo yanayo kukuta Dawa itakayo kusaidia kutibu Maradhi yako ni kitunguu Saumu kula kila siku unapo amka asubuhi punje 2 za vitunguu saumu kabla ya kula kitu, kisha ukae saa 1 bila ya kula kitu na wakati wa mchana, kula tena kitunguu saumu punje 2 kaa bila ya kula chakula kwa muda wa saa 1, ikipita waweza kula.

Na wakati wa usiku kula tena punje 2 za kitunguu saumu. Fanya hivyo kwa muda wa siku 3 au siku 7 kisha uje hapa unipe Feedback. Kitunguu Saumu mimi huwa ninakiita 'Natural Antibiotic' Kitunguu Saumu kina nguvu ya kutibu Maradhi karibu 40 moja wapo ni Maradhi ya Kensa ,Maradhi ya figo,Maradhi ya Ini, Maradhi ya kisukari, Maradhi ya Mafuwa,Maralia sugu, Homa ya Matumbo na kadhalika.

Kitunguu Saumu kinatibu Maradhi Sugu na kinakinga usipatwe na Maradhi jaribu kukitumia kitunguu Saumu utakuja kunipa Feedback. Unaweza kumaliza kula kitunguu Saumu pia ukala na Tangawizi mbichi ili kukata Harufu yake hicho kitunguu Saumu. Au waweza kula Karafuu baada ya kwisha kula Kitunguu Saumu ili ukate harufu yake hicho kitunguu saumu.

Asante.


View attachment 153715
 
Mkuu nashukuru sana, naomba kuuliza hapo kwneye kula vitunguu asubuhi ni kabla hata ya kupiga mswaki au baada? mana km ni kabla si ninaweza kukata harufu na kupiga mswaki?

Na mfano hivyo vitunguu ukivikata vidogo vidogo af ukameza na maji vp inaweza kufaa? Ahsante MziziMkavu
 
Mkuu nashukuru sana, naomba kuuliza hapo kwneye kula vitunguu asubuhi ni kabla hata ya kupiga mswaki au baada? mana km ni kabla si ninaweza kukata harufu na kupiga mswaki?

Na mfano hivyo vitunguu ukivikata vidogo vidogo af ukameza na maji vp inaweza kufaa? Ahsante MziziMkavu
Kula kabla ya kupiga mswaki itakuwa vizuri zaidi ukisha maliza kula kitunguu Saumu punje 2 ndio waweza kupiga mswaki kisha ukae kwa muda wa saa nzima bila kula na mchana fanya hivyo hivyo kula baada ya saa kupita waweza kula chakula na usiku fanya hivyo hivyo dumisha kwa muda wa siku 7 utapona kabisa.
 
Kula kabla ya kupiga mswaki itakuwa vizuri zaidi ukisha maliza kula kitunguu Saumu punje 2 ndio waweza kupiga mswaki kisha ukae kwa muda wa saa nzima bila kula na mchana fanya hivyo hivyo kula baada ya saa kupita waweza kula chakula na usiku fanya hivyo hivyo dumisha kwa muda wa siku 7 utapona kabisa.

Ahsante sana kiongoz, nimeanza leo, ila baada ya kula hizo punje nimekunywa na maji mana huwa nakunywa maji asubuhi, natumai haiathiri kitu.
 
Kama utapenda nikusaidie number ya mtu atakaye kupa dawa ya miti shamba iliyo sagwa ikawa Kama unga utakayo kuwa unavuta unapiga chafya mpaka utapona ukitaka ni pm nikusaidie
 
mama katoka wapi?

ipo mikoa ukiishi mafua hayakomi! Arusha, mbeya, iringa, kilimanjaro nk.



next time uwe na adabu.
Hivyo inawezekana ni environmental issue tu i.e extent of humidity in the air!
MKUU SAMAHANI SANA, nilikosea ku quote post baada ya kuqot ya angel nkaqot yako, samahani sana,,mm mzaliwa wa dar na miaka yote niko hapahapa
 
Naombeni mnisaidie wanajamvi,

Nina matatizo ya mafua yasiopona, nimeshaenda hospitali nyingi na nimekunywa dawa nyingi za mafua lakini haijasaidia, nkaambiwa kuwa nina allergy na vumbi pamoja na harufu kali kama za spray na perfume.

Nikanywa dawa za allergy kama centrizine n.k. Bila mafanikio yoyote, mwisho nkaambiwa kuwa ugonjwa wangu hauna tiba labda nikae mahali hakuna vumbi, sasa kwa nchi yetu hamna mahali ambako hamna vumbi.

Kikubwa naombeni msaada wenu, mwenye kujua dawa mbadala anisaidie maana nateseka sana yani 24/7 mafua yanatoka na niyale mepesi kama maji. Halafu napiga chafya sana hadi mbavu na kichwa vyauma na sometimes huwa yananibana sana mpaka napumulia mdomo, especially asubuhi na usiku.

Mungu na awabariki nyote.
 
Jaribu kutumia kutumia supplements za foreverliving ni nzuri sana hasa absorbent C( 30,300) na echinacea supreme (37,000) zitakusaidia pia tafuta vyakula vyenye vitamin c pamoja na kuendelea kutafuta hospital nzuri yenye wataalam wa allegi.


10300685_625717010849461_4384918230321297499_n.jpg
 
Epuka barid unaishi mkoa upi tumia hasari nyuki wadogo pole sana mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom