Kuna uwezekano mkubwa ni ALLERGY. Unahitaji kudadisi kwa umakini ni kitu gani unatumia au unakutana nacho zaidi usiku uweze kuzuia,
eg. Matandiko ya Sufi, vumbi, mafuta au perfumes zipo wazi muda wote chumbani, mzunguko mdogo wa hewa chumbani, fungal dusts au nyumba yenye unyevu darini kutokana na kuvuja na mengine mengi etc. Jaribu kuboresha hayo na tatizo laweza kupungua au kwisha kabisa.
Je dawa ni nini?maana kuna mengine kwa mazingira yangu hayaepukiki.Anayejua miti shamba anisaidie.Allergy/mzio huwa na tiba?
Hiyo ni allergy, kama sio ya vitu na chakula, basi hali ya hewa ya sehemu unayoishi.
Nakuhakikishia iwapo utaenda mkoa mwingine, hutapata mafua.
Mimi nilikuaga naumwa kifua, nilitumia dawa za kila aina sikupona kwa miaka mingi, nilipobadili mazingira tu nilipona.
Embu jaribu kutumia dozi ya dawa ya clarinase 1x1.
habar zenu, kunadada anasumbuliwa kikohoz toka mwez 2 mwaka jana had leo hajapona, alienda hospital akapma nakukutwa hana tatzo lolo akapewa dawa za kumsaidia dawa hzo hazkufanikiwa kumtib, ame2mia dawa nying xna zikiwemo vdonge na za chupa pia na Nazakienyej bila mafanikio mwenye kujua tiba ya tatzo hli amsaidie