Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

ajaribu kuchukua vipimo zaidi ili waangalie tatizo ni nini.nisikutishe lung cancer nayo,dalili zake ni kikohozi kisichopona,kupungua,sauti inabadilika,pumzi zinakuwa za shida.ila sometimes kifua huwa kinasumbua, na huchukua muda kupona.dada yangu anasumbuliwa na kifua miaka nenda miaka rudi,vipimo vyote amemaliza tatizo halijaonekana kbla hana watoto na sasa ana watoto 3.akianza kukohoa kujitengenezea dawa za kiswahili.asali na tangawizi


Mkuu nashukuru kwa ushauri. Ngoja tuchek na hiyo lung cancer. Ni wapi twaweza pata vipimo vizuri kwa hapa dar?
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri. Ngoja tuchek na hiyo lung cancer. Ni wapi twaweza pata vipimo vizuri kwa hapa dar?
sipodar ila ninavyojua hospitali ya ocean road wana deal na magonjwa ya cancer.jaribu huko
 
Ninakohoa sana huku nikiwashwa kooni.TAZIZO NI NINI HASA NA TIBA NI NINI?
 
Wapendwa wa JamiiForums,

Kuna baadhi ya watu wanasumbuliwa sana na tatizo la mafua, kufikia kiasi makamasi yanatoka kama maji. Wengine huambatana na kupiga chafya kali zisizohesabika.

Waathirika wa tatizo hili ni wengi sana, wengine wanaambiwa wana allergy/ mzio, pamoja na jitihada za kujiweka mbali na visababishi vya mizio/ allergy lakini bado tabu.

Wengine huambiwa waboreshe usafi majumbani mwao, hata wengine kufikia hatua ya kuhama mkoa. Lakini bado wanasumbuliwa na tatizo hili.

Wengine wamejaribu kutumia madawa kama Codril, Cetrizine na nyinginezo, lakini bado ni shida. Dawa za kienyeji nazo pia hutumika ila zote pamoja na za hospitali zinatuliza kwa muda then baada ya siku kadhaa tatizo hujirudia kama kawaida.

Sasa naombeni michango katika jukwaa hili ambalo limewasaidia maelfu ya watu dhidi ya matatizo mbalimbali za kimaisha.

Asanteni kwa michango yenu yenye kusaidia waathirika wa tatizo hili.
 
Tiba ya pekee ni kujiweka mbali na visababishi vya allergy au kutumia antihistamines na kama unatokwa sana macho kuna eyedrops which contain antihistamins,Nasalspray(kwa wale kwenye mafua unayoyaongelea au tablets kwa wale wanaopata upele/muwasho.

Tupopata allergic reaction our bodies come in contact with an allergen( like polle) ,IgE(Immunoglobulin E) bindes on the surface of our bodies mast cells that produces histamines which gives the allergic reaction.. So the only way to reduce/avoid the problem is with antihistamines which blocks the production of histamines,thereby avoiding allergic reaction!
 
Mkuu Lamchina Pole sana na hayo Maradhi ya Mafua. Dawa ya Mafuwa.

Kitunguu Saumu

Kitunguu Saumu ni kinga ya maradhi mengi mno, na pia ni dawa ambayo ndani yake kuna vitu vinavyojulikana kwa

"ALLICINE" NA "GARLICINE" ambavyo vina nguvu kubwa ya kupigana na wadudu.


Meza tembe (chembe) moja yaKitunguu Saumu kila baada ya chakula na pia unywe juice ya kitunguu Saumu iliyochanganywa na maji ya ndimu na pia unaweza kujifukiza mvuke wa Kitunguu Saumu.

Inshallah natumai dawa hii itakusaidia ila nakuomba kitu kimoja uwache kula vitu vibaridi sana na vitu vikali sana. Hata

hivo nitachangia kidogo juu ya madhara yaKitunguu Saumu, kitu chochote ambacho utatumia zaidi au utatumia bila mpango

maalum basi lazima huleta madhara kwahivo kila kitu kitumiwe kwa kiwango fulani ili kujiepusha na madhara ya hicho kitu chenyewe.Tumia kwa muda siku 3 au siku 7 kisha uje unipe Feedback.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Hebu nisaidieni, nifanye nini? Hadi afya yangu inapotea, nisaidieni dawa ya kutumia.
 
pole wng,hlo tatzo nlshawah kuwa nalo kwa mıaka 24,chukua tangawaz+asal+lımao then chemsha,yale maj yake kunywa glac 2,mchana na uck.pıa zıngatıa kuwa msaf,epuka vumbı na manukato yenye harufu kal.all the best mkuu.
 
Wandugu,

Ninasumbuliwa sana na mafua mepesi ambayo karibu kila siku lazima niwe nayo.Kwa kifupi yamenianza miaka 15 iliyopita.Uzio nimepima na karibu kila aina ya dawa za mafua nimeshatumia ila tatizo bado lipo.

Mafua yakichachamaa ni makamasi kuchirizika kwa wingi,pua kuwasha sana,chafya ambazo hazina idadi,masikio kuwasha na machozi mpaka kuona shida.Lazima niwe na leso zaidi ya tatu au nne kwa siku ili niweze kabiliana nayo

Pua hazizibi ila ni makamasi mepesi kama maji yanachirizia tuu na pua kuuma kwa ndani.

Kwa kweli yananitesa hata kufanya maendeleo inakua shida sana.

Mwenye msaada wa hili tatizo
 
Mkuu.@Manosa Dawa ya mafua kiboko ninayo mimi jaribu kunitumia Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Tuwasiliane nitakwambia kiasi gani na wapi inapatikana haipo hapo Tanzania hii dawa yangu ipo nje ya Tanzania.Boksiö moja kuna Paketi 12 unatumia kuchemsha maji ya moto kisha unamwaga hiyo dawa ndani ya hiyo Glasi 1 ya maji ya moto unakunywa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 4 umepona inshallah. Dawa inaitwa TYLoLHot



2012128163548_tylolhot.jpg


70362.jpg




HOT TYLOL Bag


Pharmaceutical Active Ingredients:
Paracetamol, Chlorpheniramine maleate, pseudoephedrine hydrochloride

Paracetamol 500mg ......................................................

Chlorpheniramine Maleate 4mg ...........................................

Pseudoephedrine hydrochloride 60mg .....................................

Tylol What is Hot?


Tylol Hot antipyretic, analgesic effects and other effects of a medication is also available.


Hot Tylol a drug related to the following conditions:



  • Flu, colds;
  • Malaise due to upper respiratory tract infections, headache, runny nose, nasal congestion, sneezing, sore throat, cough, pain, and fever.
Hot Tylol other than those listed here may also be used for therapeutic purposes


What are the most important information I should know about Tylol Hot?


5 of painful conditions in children, and in adults for more than 10 days in children and adults, recurrent, lasting more than 3


days, and use this medication without consulting your doctor to treat a high fever 39.5 degrees.


With drugs used to treat hypertension and depression Tylol Hot'ın not suitable for use without consulting a physician.


You have liver, kidney, heart, or lung are sick or in the past experienced anemia (anemia), if you have a history of use Tylol


Hot'ı necessarily under the control of the physician.




If you have one or more of the following diseases Hot'ı Be careful when using Tylol:

  • hypertension (high blood pressure);
  • heart disease;
  • diabetes (diabetes);
  • hyperthyroidism;
  • asthma;
  • glaucoma (eye pressure);
  • enlargement of the prostate.


Complaints does not improve, or if it goes bad, and the doctor stop using Tylol Hot'ı sentiment.


Avoid drinking alcohol during treatment with Tylol Hot. When used together they can be harmful to your liver Alcohol and


Tylol Hot. Hot Tylol that alcohol also may occur during treatment may further enhance this effect.


If every day for more than three glasses of alcohol consumption or alcohol-related liver disease without consulting your


doctor first if Tylol Hot. Using this medicine may not be suitable for you, or you may require a lower dose or special control.


Hot Tylol use of paracetamol (acetaminophen Tylol Hot'ın one of the active ingredient.) Or not you use other drugs


containing the note. This way, all drug doses or total daily dose of acetaminophen consume more than recommended, so you
can avoid yourself from paracetamol overdose.


Children under the age of 12, but with the recommendation of the physician Hot Tylol available.

What should I discuss with my healthcare provider before using Tylol Hot?


Hot'ı Tylol If you use one or more of the following conditions:



  • Acetaminophen, chlorpheniramine maleate, pseudoephedrine hidroklorür'e (paracetamol, chlorpheniramine maleate
    and pseudoephedrine hydrochloride active ingredients are Hot'ın Tylol.) Allergy;
  • Allergies to other substances in the composition of the drug;
  • Severe liver disease;
  • Severe kidney disease;
  • Severe heart disease;
  • MAO inhibitors or within two weeks earlier still [moclobemide ( Aurorix
    , Lobe
    )] utilization.


Tylol Hot'ı medications if you have an allergic reaction before using them fully inform your doctor.

If you have one or more of the following conditions inform your doctor before you start using TylolHot'ı:

  • liver failure;
  • renal failure;
  • heart disease;
  • lung disease;
  • experienced in the past anemia (anemia) history.


Hot'ı Tylol you to use if you have any of these diseases or to use medicines safely, or a specific dose adjustment may need


to be tested.

Can I use a pregnancy or breastfeeding period Hot'ı Tylol?


Your doctor during pregnancy and lactation by taking into account the benefit-risk ratio, use a lot of drug use this


medication unless required.

Can I use Tylol Hot'ı using tools and machines?
Hot Tylol may occur during treatment. Therefore, the drug will affect how you see the car and avoid using machinery.

Tylol Hot'ı How Should I Buy?


The full extent of your medication prescribed to you by your doctor or the prospectus in accordance with the instructions


refer to. Pharmacist if you do not understand these instructions, ask your nurse or doctor to explain to. For you by your


doctor or a longer period of time than that in the high-dose use your medicine. Follow the directions on your prescription you described.


1 sachet of powder 1 Tylol and in turn Hot'ı cup (160ml) warm water, drain, and mix with a spoon and a bit hot to drink.


Tylol Hot'ı get 6 hours but more than 4 per day Tylol consume hot pouch.


Children under the age of 12, but with the recommendation of the physician Hot Tylol available.


Complaints does not improve, or if it goes bad, and the doctor stop using Tylol Hot'ı sentiment.

What happens if I miss a dose?
If you forget to take a dose Take the missed dose as soon as you remember. If it is almost time for your next dose, skip the missed dose and take only the scheduled dose. Do not take extra medicine to make the missed dose.
What happens if I overdose?
If you think you have used too much of this medicine need your support to take an emergency service call. Nausea, vomiting, malaise, sweating, drowsiness, dry mouth, flushing, hallucinations, increased heart rate, state anxiety symptoms of overdose.

What should I avoid while purchase Tylol Hot'ı?
Avoid drinking alcohol during treatment with Tylol Hot. When used together they can be harmful to your liver Alcohol and


Tylol Hot. Hot Tylol that alcohol also may occur during treatment may further enhance this effect.


Hot Tylol use of paracetamol (acetaminophen Tylol Hot'ın one of the active ingredient.) Or not you use other drugs


containing the note. This way, all drug doses or total daily dose of acetaminophen consume more than recommended, so you
can avoid yourself from paracetamol overdose.

Tylol Hot'ın Side Effects


Allergic reaction with symptoms of this trouble, and any drug used to stop or Get emergency medical help if you have:


urticaria (hives), breathing difficulties, face, lips, tongue, or throat swelling.


Less serious side effects may also occur, but their presence can continue to use medication, talk to your doctor:

  • redness of the skin;
  • drowsiness, dry mouth, blurred vision;
  • dizziness, urinary retention;
  • palpitations, heart rhythm disorder;
  • sleep disorders;
  • headache, sweating, nausea, vomiting;
  • chills, and weakness.
This list is not a complete list of all side effects that can be seen; side effects other than those listed here may also occur. Talk to your doctor about any unusual or bothersome side effect.


What other drugs will affect Tylol Hot?


Using a combination of the drugs listed below Hot'ın Tylol can be inconvenient for possible drug interactions may not be


available or sufficient activity. For this reason, avoid taking the medication without consulting your doctor Hot'ı Tylol. If you


are using one or more of the following drugs Hot'ı Tylol tell your doctor before starting to use;

Hot Tylol interact with any other medications may also be present. Your doctor all the medications you are using and


provide information about other methods of alternative medicine, these vitamins, minerals, herbal products, and drugs


prescribed by other doctors can be about. Do not start using a new medication without telling your doctor.


Hot Tylol use of paracetamol (acetaminophen Tylol Hot'ın one of the active ingredient.) Or not you use other drugs


containing the note. This way, all drug doses or total daily dose of acetaminophen consume more than recommended, so you
can avoid yourself from paracetamol overdose.

Tylol Hot'ı should be kept in Which Conditions?


Tylol Hot'ı Store away from light and moisture between 15-30 degrees.

Where can I get more information on?


HOT TYLOL Your pharmacist can provide more information about Bag.


DO NOT FORGET! Bag HOT TYLOL keep this and all other medicines out of the reach of children, never shared with others


and TYLOL Poşet'i TYLOL HOT HOT Poşet'i Use only way you see fit.

Warning! İlaçpedia.com and content providers in the collection and presentation of the information contained on this site
to take proper care and that information acquired from sources believed to be reliable. Used for welding and safety


policy please click here

. However, ilaçpedia.com and content providers do not guarantee the accuracy of the information

contained on the site. The information contained in the Site, physicians, pharmacists, nurses or other health professionals


on patient health knowledge, experience, talent and conviction, not substitute for, aims to complete. There is no warning


about the drug or drug combination, the drug or drug combination is safe for your individual circumstances, or for any


patient, bear the idea that an appropriate and effective. Doctors and pharmacists guidelines must be observed. Source.MziziMkavu



 
wadau wiki ya mbili hii naumwa mafua makali yasiyopona nimekunywa dawa mbali mbali ikiwa na pamoja na kutafuna tangawizi lakin bado hayajapona .......cha kushangaza cjawah kuumwa mafua kipindi kirefu km hiki nashindwa kuelewa anayejua dawa pliiiiz msaada
 
Mafua mara nyingi husababishwa na viral infections..Na kama una viral infection haisadii kunywa dawa yoyote unaweza tu kupunguza symptoms lakini hakuna dawa ya kutibu kabisa......Ukiwa na viral infection ya muda mrefu inaweza isababishe secondary bacterial infection..Kwahio nakushauri uende kwa daktari akachukue vipimo na upate matibabu sahihi (ANTIBIOTICS)...
 
Back
Top Bottom