USHAURI: Simuelewi mume wangu

USHAURI: Simuelewi mume wangu

Yani acha tu heka heka haziishi kilichobaki hapa nataka nianze kutafuta dawa ya kukata nyege ili tubaki tu na amani tulee mtoto maana bila hivyo naweza jikuta nimechepuka Jambo ambalo litafanya nijidhalilishe na kuivunja ndoa kwa mikono yangu Bora nifanye mpango na Mimi nisiwe tu na hisia tuishi wote Kama magogo
Dawa yako ni mimi
 
Sasa wewe liachie lomwili liwakake tamaa tu utaipata fresh😂
Hapana sio kwamba usizuie tamaa. Lkn mgegedano ni muhimu kwa afya...unafanya na mmoja kwa raha zenu hakuna tatizo.
Na lengo hasa la ndoa ni kugegedana...sasa unioe hlf usinipe haki yangu unategemea nini?
 
Jikite zaid kweny shughuli zako kitakachofanyika mtengenezee wivu na sio kukutamani
Fanya usafi wa nyumba vzuri kua nadhifu kama kawaida ukifika kitandani sali lala usimguse wala usimtikise akikusemesha mjibu vzuri na kwa upendo. Mwisho wa siku ataanza kujiuliza yeye na sio ww tena
Nashukuru nimependa ushauri wako nahisi hii njia ndoitatatua hili tatizo coz ni mtu mwenye wivu sana na mm najua nikijikausha lazma ajiulize huyu mtu vipi au ndokashapata mtu uko anamridhisha
 
Ohooop ! Something is wrong hapooo!!
Anyways.. Bila shaka Ushapata mwongozo!
 
Kama mumeo anabet, basi chanzo cha hilo tatizo ni betting, huo mchezo ukiliwa unapoteza sana mzuka wa kugegeda mbususu akina Chen Hu @ROOT Mac Alpho vanus leteni experience hapa
 
Dada una chura? Au mume wako alikuoa kwasababu alihisi wewe ni wife material/aina ya mwanamke ambaye angeweza kumpata, na sio kwamba alikuona mzuri miss chuga
Nisiwe tu muongo chura Sina wachaga na chura wap na wapi Ila Kama ni uzuri nimejaliwa mtoto white, lips Kama za wema sepetu na vihips vya uchokoz chura tu ndonimekosa kwakweli
 
Nipambane wapi hapa nimejiweka kimtego mtego Ila mwenzangu hata hategeki ndo kwanza yuko bze anacheza na mtoto natamani hata nikachukue maji ya baridi nimmwagie pengine akili itamkaa sawa inakera kwakweli hapa nawazaa kwanzia kesho nianze kulala na jinsi maana naona najitesa tu na baridi mwenzangu hana habari
Ha haaaaaaaaa jeans tena
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Nilichogundua unapenda sana Motto, Kama sio ushachepukaga na akajua asikwambie ndo ikawa chanzo cha yeye kukata stim au kuamua kukususia Basi utachepuka hivi karibuni maana unavyoililia kama Ugali...
Safiri nenda hata kwenu kasalimie Mwez pengine ukirudi ataiona ya AJAB.
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Duuu...nije na fire extinguisher langu?
 
Kuhusu nyege zangu inabidi tu sasa Mungu aingilie Kati afanye njia pasipokuwa na njia maana nyege ni kitu kingne zikikupanda alafu ukikosa wa kukutoa unaeza jikuta unagombana na kila mtu
Mhhh ni hatari jamani lakini salama karibu.
 
Kuliko kumlazimisha kufanya tendo ambalo ni dhahiri hataki kulifanya ni bora ukamuweka chini ki upole na kumuuliza nini kinamsibu.

Desturi ya mwanaume ni sawa na kujivua nguo hadharani pale anapokiri kuwa kuna tatizo la nguvu za kiume.
Inawezekana asiwe na mapungufu ya nguvu za kiume lakini akawa na mambo yanayomzonga akili kiasi cha kuathiri utendaji wake.

Tiba ya kwanza daima ni kujua kiini cha tatizo. Na hilo hutolijua pasi kumuhoji. Ondoa dhana yeyote kuwa ana mchepuko maana hiyo itapelekea kuhalalisha hisia za wewe kutaka kuchepuka.

Mwisho na kubwa zaidi, linganisha utendaji wake wa kimapenzi wa toka mlipoanzana na wa hivi sasa. Isije ikawa toka mmekutana alikuwa si mpenzi wa tendo (kuashiria kuna tatizo) ukaanza kuhangaikia tiba ya tatizo sugu.
Kila la heri na Mungu akusimamieni katika ndoa yenu.
Una undugu na Mama Maria Nyerere? Umeandika kwa busara sana aisee
 
Kama tendo hakuna ina maana hakuna ndoa hapo. Fanya utu uzima wa kumjenga kisaikolojia... acha kumuuliza maswali. Fanya kama kupiga stori mbalimbali za watu waliowahi kuchapiwa... anza na hii stori ya Masanja & katibu. Hizo stori zitamshtua
 
Yaan mmeo ni mimi kabisa.Mimi kama mkewangu asipo nianza imetoka hiyo
 
Mumeo ni shabiki wa Manchester United? kama jibu ni ndio basi mvumilie kwanza atakaa sawa tu.
 
Pole kwa changamoto unayopitia!! Swali langu ni kama ifuatavyo??
Siku akikubali kufanya mapenzi na wewe perfomance yake inakuaje ukilingnisha na hapo nyuma??
 
Back
Top Bottom