Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,508
- 94,624
Kisa?Yaan mmeo ni mimi kabisa.Mimi kama mkewangu asipo nianza imetoka hiyo
Kisa?Yaan mmeo ni mimi kabisa.Mimi kama mkewangu asipo nianza imetoka hiyo
6. Yeye ni katibu wa mchungaji?1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.
2. Biashara zimemnyookea?
3. Yuko busy na simu?
4. Anachelewa kurudi?
5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Atakuwa mchungajj huyo.... Mwache katibu amtendee miujizaKisa?
Kwa kweli😅Atakuwa mchungajj huyo.... Mwache katibu amtendee miujiza
Huna adabu mkuu😂6. Yeye ni katibu wa mchungaji?
good advice DadaPole.
Ila tafuta kitu cha kufanya kikukeep busy
Utadhangaa mwezi ubakata huwaziii dude la mtu
Serious,Hamna kulogwa hapo....mikeka tu inamchanganya...addiction ya betting ni mbaya zaid ya kufuta sigara..unaweza kuta asilimia 70 ya ubongo kaiamishia kweny betting..hapo kwel kutakuwa na kunyanduana?mfano chukula jana man city alivyofanya mambo ya kalylinda kwa kuwachania wengi...lazma tu nguvu zikate
Nafurahi ulivyoweza kuji brand kwa ubabu bandia😂😂Mimi sio "mkuu"
Mimi ni BABU
Mbinu nzur Sana,Huyo dawa yake ndogo.
Mtegeshee Viagra kwenye chakula.
Kuna royal honey,black cobra,G7 chocolate na kadhalika.
Kila siku unamchanganyia alafu tulia.
Umetoa sababu za msingi Sana,Kama hakuwa hivyo alivyo sasa vuta kumbukumbu kuna kipindi Cha nyuma mumeo alikuwa akikuomba tendo la ndoa unampa sababu mbalimbali msifanye. Huwa wanaume hatupendi hali hiyo itokee mara kwa mara matokeo yake ile hali ya matamanio kwa mke Huwa inashuka mno!
Mara nyingi wanawake mnakuwa na excuses nyingi hasa mnapokuwa mmetoka kujifungua mapenzi yote mnahamishia kwa watoto mnamsahau kbs baba jambo ambalo hupelekea baba wakati mwingine kukaa kimya akiugulia ndani kwa ndani.
Sababu nyingine inaweza kuwa kipato ,kwenye utafutaji kama hali imezidi kuwa ngumu Huwa wanaume inatupa taabu sana kuwa na hisia za kila wakati za kimapenzi.
Usipende kukaa uchi kila wakati unapokuwa na mumeo, jitahidi kujisitiri hata kwa nguo zinazoweza kuhamasisha mahaba mbele ya mume wako kama vile kufunga kanga nyepesi ,kuvaa night dress na hakikisha unajiswafi ili kumvutia mumeo.
Kuna tabia ya ubinafsi inawasumbua sana baadhi ya wanawake. Unataka mfanyane kila unapokuwa na hamu wewe tu, mumeo akikuomba kama huna hamu unagoma kbs, hii huchangia hamu ya kufanya tendo la ndoa kushuka mno kwa mwanaume, matokeo yake baadhi ya me hujikuta wanaingia kwenye kasumba ya michepuko.
Lakini wanawake msisahau. Kuwatomber ninyi tunahitaji nguvu kwa maana ya lishe bora. Vyakula vyepesi vinatusababisha kuwa dhaifu matokeo yake tukiwapandia vinenani mwenu hatuwakazi kisawasawa / ipasavyo. Hakikisha mumeo anakula anatosheka ili akikukamata anakutikita anatikisa nyegge zako zote sio kukugusagusa tu kuishia kukutia shombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh fanya hvo hivo dear....Alafu na simu iwekee password utaona anahangaika na simu.....akikuuliza password mwambie bila ya kusita hapo ataanza mwenyewe oooh unajua mke wangu sijui nn hapo ww ndo utaweza kumbana vzur na utamwambia hivi mme wangu hata kama unachepuka kua makini hata mim nina moyo na maradhi yapo ukimaliza usiongeze neno hata moja alafu endelea na shughuli zako majibu utayapata muda mfupi kutoka wakati huoNashukuru nimependa ushauri wako nahisi hii njia ndoitatatua hili tatizo coz ni mtu mwenye wivu sana na mm najua nikijikausha lazma ajiulize huyu mtu vipi au ndokashapata mtu uko anamridhisha
Hali yake ya kiuchumi ipo vizuri, pia kazini yupo sawa hakuna shda, pia sijawahi kumkosea Wala yeye hajawahi kunambia Kama Kuna tabia inamkera, pia matumizi ya simu ni kawaida na nikimuambia mme wangu unamchepuko ananiambia ww una wivu sana chukua cm yang kaa nayo hata wiki nzima na huwa nalala na simu yake chini ya mto text ikiingia Mimi ndo wa kwanza kusoma ndonimpe Ila sijawai ona text ikitumwa ya mchepuko na nyumbani huwa hachelew Mara moja moja sana ndo anarud saa 5 ananiaga anaenda kuangalia mpira pia hajawahi kulala nje na pia siyo mtu wa kusafiri kila siku analala ndan na amani ipo ndani kila kitu kipo sawa anahudumia familia vizuri shida ni hiyo moja tu sipewi haki yangu
Nliwaza hivi ila nikaona taonekana mchawiKuna kesi kama hii nshakutana nayo,rafiki yangu nae mmewe baada ya mwaka kwenye ndoa mmewe akawa hana time nae,hata apite mtupu jamaa wala hastuki na akimuomba haki yake jamaa anasema amechoka ana stress za kazi,dada akaamua kumkaushia ila akaanza kumfatilia kisiri ndo kuja kugundua kumbe mmewe nae ana mume na alikua hivyo kabla hawajaoana,na ameshakua very addicted huko!
Sisemi na wako ni hivyo ila kabla hujaforce vitu ambavyo havipo tuliza akili ujue source ilipo na ndo hapo utapata suluhisho!kama hataki usimforce potezea alafu mchunguze taratibu unaweza kuja kugundua chanzo ambacho wala hujawahi kukiwaza na ukashangaa sana!