Hapana haya hayawezi mzuia mwanaume asiwe na genye. Hapo kuna mchepuko.Mkuu Glenn kataja hapo juu, kwa kuongezea:
1. Unatabia ya kukaa naked sana mkiwa ndani wawili tu. Yaani unakua na chupi tu? Jitahidi uwe unavaa muda wote nguo mfano Tshirt kubwa, unaacha mapaja tu, khanga flani, dera, etc ila usishindie kyupi tu, anakinai.
2. Anzisha kitu taratibu. Mfano unamfanyia massage, unamnyoa nywele za kwenye sirini, unamkata kucha, unamuosha miguu, etc ivyo vitu vidogo vinaamsha hamasa.
3. Usisubiri mwende kitandani ndio umuanze. Na usisubiri ifike saa 4 usiku kila siku ndio muanze. Kua creative, unamwambia ukamuogeshe, amekaa kwenye kochi unaenda kulala kwenye mapaja yake, etc.
4. Mwangalie usoni. Aisee tunapenda sana kuangaliwa usoni sio mchezo.
Ngoja niishie hapo. Mstari wa chini ni nje ya Mada.
Vijana tusioe, tusubiri hali itulie.
Ile saa 11 alfajiri duduzela anasimama?Amina, kila nikijaribu kuongea nae anaishia kunambia tatizo anachoka sana hili ndo jibu lake kila nikimuuliza hana jibu lingine
Mimi sio nabii ila kuna jibu hapa.We unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
Nimeshangaa Sana.Kupitia nyuzi zako, inaonesha umejifungua jun tena kwa operation.. obviously hujarecover vizuri lakin unawaza ngono tu
haishiki ndugu lile tendo linanamna linakufanya unawiri sasa ukinyimwa maji ya baraka mwili nao unasusa mkuuHa ha ha .....
Hadi lotion haishiki mwilini?[emoji38]
😂😂😂😂😂😂Pumba
Nimempa mda... Tukapime.... Simsaidiii AMINI ...kwao mke wangu wako well-off kuliko Mimi na familia yangu.. ni yeye na akili zake... mpaka walimkataa wakamuacha tu... Nikamkuta... Tukarudiana ... Nikamtafutia kazi ..nikamsomesha ..... (Kuna Uzi HUMU).... Alipoanza na yeye kuwa Afisa ndio akaanza dharau... Nkamwambia tu... Unajua nilipokutoa ... Na umaskini wetu kwetu na kwao walimkataa kabisaaaa akawa tu dada wa mtaani.... Unanifanyia hivi... Nikamuachia na nyumba na hati na Kila kitu nikaenda kupanga...... Vikao nilivyoitwa kanisani, Koo , familia ni vingi mnoooo.... Amini Nakwambia. ANAJUA MAKOSA YAKE. Kwa nilivyomkuta Baada ya kuachana shuleni na maisha niliyomjengea na tumefunga ndoa ... Kwani hao WALIOKUWA wanampa kiburi anao!!?? ....Hata kama anajua makosa yake. Mtu kusema ananisaidia maana yake aliniona nina shida sana kunioa ni kama amenipa msaada.
Halafu asilale na mimi kila mtu room yake loh.
Bado sijafanywa hivyo hata kama nina makosa.
Either unisamehe au ijulikane hujanisamehe.
Maisha ya hivyo yanipitie mbali.
Sasa Kwan ni lazma kubet si aache yani mimi nachukia jamani basi tuHhahahaha eti mikeka inavyochanika...
Unajua nini
Kila kitu kwa kiasi...yaani hata kunywa maji kuna kiasi..
Huyo kama amevuka steji ya kawaida kapiliza kiasi...atakua ana msongo wa mawazo.
Anaweka mikeka kadhaa kwa siku yote inachanika
HAISIMAMI KWELI
Yani anakera basi tu hapa sahivi amelala ananikoromea tu napata hasira natamani hata nimpige ukichanganya na hizi nyege basi kila nikimuona natamani hata nimdumbukize kwenye Jana nimfunikie ukoAtahukumumiwa tofauti na hapo kama ana shida anasema kama anaumwa anasema sasa kuacha kumfanya mke ndio manini sasa
Hakuwa hivi na Kama angekuwa hivi nisingekubali anioe ningemkimbia mapema sana nisingetaka kujiingiza kwenye matesoYupo hivi toka muanze mahusiano au kabadilika?
Tatizo Hapo ni Kubeti [emoji3][emoji3][emoji3] akibeti Ana win mikeka yake?? Kubeti Kunasadikika Kupunguza Nguvu za Kiume na Ni addiction mpya.Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Mim kutromba demu wa chuga ni siku hyo nimeamua nipige nyeto kwa staili hyo.Asante dia karibu
Sometimes natamani nione unafananaje!!, nisikie unaongeaje??, nisamehe mkuu Ila nimetamani hayo tu , kulingana na comment zako!!Kishakamuliwa huko mbo0o0 imebaki upepo tu....na michepuko inavojua kuroga sasa mamaeeeh
Muanshe kwa upole zungumza nae mamaYani anakera basi tu hapa sahivi amelala ananikoromea tu napata hasira natamani hata nimpige ukichanganya na hizi nyege basi kila nikimuona natamani hata nimdumbukize kwenye Jana nimfunikie uko