Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

aisee....I had a lot of doubts before kuoa...ikafika muda nikapuuzia zote.nikasema nitajifunza tu n'a sikutaka mtoto alelewe n'a mtu mwingine.and Wanawake wengine nawaona.lakini kwa level ya stress anazonipa home hata sina uwezo wa kuwa na mchepuko
Anakupa stress gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaumiza sana. Jamaa nalalamika maziwa yamelala huku mwanamke kamzalia watoto wawili au watatu ambao anasema anawapenda .... anazunguka nao kila mahali kwa kujidai... Watoto wamenyonya miaka 1.5 mpaka 2 kila mmoja ili wawe na afya na akili bora.... Baadhi ya ninyi wanaume mnaudhi sana wakati mwingine.
Tatizo watu wanatamani hawapendi,kuoa kwa hisia.
 
Hahah ujue hornet we kama jina lako tu lilivyo unaonekana upo romantic sana.

Kimsingi unachosema nakielewa sana maana nilishawahi kuwa na manzi ni romantic in each and every way, yeye match nilikuwa siombi ila kuna namna akifanya tu naelewa anataka from the way she talks mnajikuta tu mshavunja nazi. Wote mkiwa romantic then love is full of fun hata mkiishi miaka.

Ila kuna kundi lingine la wanawake ambao wao sio romantic kabisa. Yani mkishazoeana hizo character kwao zinakuwa hazipo, anaeza akakupa match ila hamna vibe lolote na hapo mpaka uombe na awe kadengua dengua weee. Hawa mwanzoni mapenzi yakiwa kwenye high notes wanakuwa sio wakorofi, unapiga gemu unavyotaka ila akishakujua vizuri anakuwa comfortable ndio inakuwa bora liende.

Daaaa poleni sana jamani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu vipo kabisaa ndio maana yanakua hayo

* Utakua ww ulioa kwa upendo kabisaa lakn ulipoingia kwenye ndoa umekuta mambo n tofaut na ulivyo tarajia ndio maana upendo umeshuka kabisaa kwa miaka hyo Hilo ata kwangu pia lipo

* Ama kuna jambo unalitenda nje ya ndoa ambalo n faraja sana na kukupa happy kma sio kuchepuka ndio maana ukirudi nyumbani hautamani chochote
Na huyo ulie nae kujiongeza ili akufurahishe kwake n shida n hajui njia ya kukufanya ubaki na furaha yy kwake muhimu apate kula na ww ukiwa umerudi nyumbani uko salam kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Ukioa ukiwa na miaka mingapi?na sasa unaumri gani?Ukinijibu nitapata mwanzo mzuri wakujua tatizo liko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom