Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Hahah ujue hornet we kama jina lako tu lilivyo unaonekana upo romantic sana.Kuna kitu hakipo sawa
Hivi huwa mnaomba?
Hahahhaaaaaa mi sijawahi ombwa aisee
Yaani matukio tu hutupeleka mtini!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi unachosema nakielewa sana maana nilishawahi kuwa na manzi ni romantic in each and every way, yeye match nilikuwa siombi ila kuna namna akifanya tu naelewa anataka from the way she talks mnajikuta tu mshavunja nazi. Wote mkiwa romantic then love is full of fun hata mkiishi miaka.
Ila kuna kundi lingine la wanawake ambao wao sio romantic kabisa. Yani mkishazoeana hizo character kwao zinakuwa hazipo, anaeza akakupa match ila hamna vibe lolote na hapo mpaka uombe na awe kadengua dengua weee. Hawa mwanzoni mapenzi yakiwa kwenye high notes wanakuwa sio wakorofi, unapiga gemu unavyotaka ila akishakujua vizuri anakuwa comfortable ndio inakuwa bora liende.