Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
I feel your pain asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Nikuulize, wakati unaowa uliku na umri gani?
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Mkuu hapo sio bure huenda una mchepuko ambao tayari ushafanya yake ushakupa limbwata ili usimpende mkeo na kumchukia

So hapo jiongeze sasa. kama ni mtu wa kanisani nenda fasta ukaombewe limbwata liondoke, kama ni muumini wa zile imani za upande wa pili nenda kwa mtaalam

Soon mambo yatarudi kama mwanzo
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Umekutana na mwanamke ambaye unajisikia kuwa unampenda sana kwa sasa? Yaani unamfeel.... Kuliko mkeo? Unatamani ndio angekuwa mkeo?
 
Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
Hapa kero moja kuu ni ratiba ya kugegeda. All this time around hajabadilika kweli? Almost 5 years now?!!!
 
Huo ulikua si umri wa ww kuoa,ulikua ni umri wa kutamani tamani tu,umri ulionao saiv ndio ungetakiwa uoe au utafute mke wa kuoa.
Mpende hivohivo,usimtese mtoto wa watu ni binadamu huyo sio mnyama.
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Hebu tuma picha kwanza tumuone.Pili ujue hali kama hiyo hujitokeza kwa sababu ya kuwa na mchepuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekutana na mwanamke ambaye unajisikia kuwa unampenda sana kwa sasa? Yaani unamfeel.... Kuliko mkeo? Unatamani ndio angekuwa mkeo?
aisee....I had a lot of doubts before kuoa...ikafika muda nikapuuzia zote.nikasema nitajifunza tu n'a sikutaka mtoto alelewe n'a mtu mwingine.and Wanawake wengine nawaona.lakini kwa level ya stress anazonipa home hata sina uwezo wa kuwa na mchepuko
 
Hapa kero moja kuu ni ratiba ya kugegeda. All this time around hajabadilika kweli? Almost 5 years now?!!!
Hizi case zipo kibao,kuna mwingine alishakuja humu,analalamika kwa nini alioa mapema,kamchoka mke anadai,mkewe amechoka,maziwa yamelala.
Hili swala la ndoa si lakukurupuka na hisia za ajabu.
 
hivi inakuaje unaanza kutokumpenda/kumchoka mtu?
ukihusisha moyo pekee inawezekana ila ukiweka na ubongo hapo sio rahisi sana.

ukiona unaanza kumchoka/kutokumpenda mume wako jipe likizo na safari ya miezi 2 au zaidi...

Mie nimepatia picha tu kama ikiwa hivyo...labda inawezekana huwa hawachokani kama navyohisi
 
Hizi case zipo kibao,kuna mwingine alishakuja humu,analalamika kwa nini alioa mapema,kamchoka mke anadai,mkewe amechoka,maziwa yamelala.
Hili swala la ndoa si lakukurupuka na hisia za ajabu.
Inaumiza sana. Jamaa nalalamika maziwa yamelala huku mwanamke kamzalia watoto wawili au watatu ambao anasema anawapenda .... anazunguka nao kila mahali kwa kujidai... Watoto wamenyonya miaka 1.5 mpaka 2 kila mmoja ili wawe na afya na akili bora.... Baadhi ya ninyi wanaume mnaudhi sana wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom