Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Ndio utabaki ivo ivo huolewi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mengine mmejitakia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
Mwanamke hata awe mzuri kama malaika akishaninyima kyuma hanifai hata sekunde tatu
 
Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hilo zigo mamaa witty mie nisingeruhusu hata uende dukani tu. We misele yako ingeishia ndani ya fensi yetu tu kutoka mpaka tukiwa wote. Ungezaa kwa uchungu tu itifaki zote zingezingatiwa😂😂😂😂😂
 
Mmmh hupendi kulala na mtu?

Ukimpenda kweli mtu utatamani kila muda na mahali uwe nae.
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje

Mti wenye matunda.
 
Kwa hali hii itabidi usiolewe tu maana utapata tabu sana. Zaa na mtu ulee mtoto tu
 
[emoji23][emoji23] yaani uko kamimi kopi kabisa hakuna kitu sipendi kama kulala Na mtu asee nibora chumbani kwangu nikiwa namaisha
Mazuri niwe navitanda viwili ili sikutukihitaji ndo tunalala pamoja yaani sipendi kabisa ndo bahati mbaya nimguse usiku naweza fukuza mtu nahisi hii ndo
Tabia yangu mbaya zaidi nachukia sana tena sana kulala Na mtu kitanda kimoja
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah noma sana ila sijajua kwa nn wake zetu tukiwaoa wanatupangia kuwagegeda lakini michepuko ukitaka kula mzigo wala haina shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kuna kani gani ya mvutano ila why does mchepuko knows how to behave and treat you perfectly compared to the wife at home?

Yani japo ni foul ila sio siri unapata amani na furaha sana ukiwa kwa mchepuko. Anakusikiliza na anaonesha upendo haswaa ila njoo kwa mke sasa. Mara kanuna, mara amekujibu kunya, mara hakupi ngenya mpaka akusimange wee, mara kachoka aargh! Ila mwanamke huyo huyo kuna mtu anampa papa nje na kumatikia mauno ya uhakika... Unaweza juta kuoa walahi!
 
Back
Top Bottom